Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

Vyema, sasa kama ni kweli ni mwerevu wa takwimu na mambo mengine, mbona hiyo ni sifa nzuri kabisa na anapaswa kuheshimiwa
Nimekuambia hapo juu siasa za bongo, (pia hata za sehemu nyingi duniani) sio rafiki sana kwa watu wa calibre hiyo. Raia wengi huwa wanapenda wanasiasa populists, wenye kufanya amsha amsha, comedians, waswahili swahili
 
Nimekupata vyema mkuu, ndyomaana viongozi wengi wamekuwa comedians nowdays, wanatafuta njia ya ku trend kwenye mitandao ya kijamii na vichwa vya habari.
 
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.

Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?

Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.

Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
Huu si utetezi, hapo umekubali January ni fisadi na mlozi.

Ni hivi, ukiwa unapita barabarani ukakamatwa na polisi wa trafiki kupewa tiketi kwa speed kubwa, ukimwambia trafiki kila mmoja anakimbia kwa speed kwa nini unanikamata mimi, huo si utetezi, hapo umekubali kosa.

Trafiki hawezi kukamata watu wote, ataanza na mmoja wa mfano.

Maongezi haya si ya kumhusu January Makamba, ni ya kuhusu utetezi wako.
 
Nimekupata vyema mkuu, ndyomaana viongozi wengi wamekuwa comedians nowdays, wanatafuta njia ya ku trend kwenye mitandao ya kijamii na vichwa vya habari.
Ndio siasa za zinavyoenda, sasa January hawezi kufanya siasa za ku trend zinazoendana na walalahoi na wenye akili ndogo ambao ndio wengi kwenye jamii, ukichanganya na jina lake kwenye jamii iliyojaa nepotism lazima chuki dhidi yake iwe kubwa.
 
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.

Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?

Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.

Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
Mitandao gani hiyo? Mbona wapinzani

Mitandao gani hiyo? Mbona wapinzani ndio walikua wanamsema sana vibaya enzi za utumishi wake akiwa Waziri?? Lakini baada ya kuenguliwa wapinzani haohao wamegeuza gia saivi
 
Kwani ni lazima apendwe?
 
January hachukiwi na wanachi bali ni fitna tu ndani ya CCM kutuaminisha kwamba ni kijana ambaye hafai kuwa Rais wa nchi ajaye.

Sisi tuliosoma cuba tunajua kwamba mbio zake za kuutaka Urais ndizo zimemletanizia haya yote.

Nafasi bado anayo tena ndani ya CCM, acheze kete zake chache zikizobakia kwa umakini mkubwa.
 
Hatarii kwa madili huyo! Hata dada yake moto wa kuotea mbali!
 
Mitandao gani hiyo? Mbona wapinzani

Mitandao gani hiyo? Mbona wapinzani ndio walikua wanamsema sana vibaya enzi za utumishi wake akiwa Waziri?? Lakini baada ya kuenguliwa wapinzani haohao wamegeuza gia saivi
Wapinzani nao wakati mwingine hawaeleweki, ndyomaana watu hawana inani nao, wanashangilia anguko la watu wengine wakisahau jukumu lao la msingi
 
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.

Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?

Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.

Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
Hana lolote ni mroho wa madaraka halafu hawezi uongozi ni kama wa singida TU hawatoboi!
 
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.

Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?

Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.

Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
Like father like son
Watu wazuri hawafi
Unadhani wajane wanajisikiaje
 
Back
Top Bottom