King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kila mtu atasemwa kwa ufisadi wake ,kama alifanya kidogo atasemwa kidogo ,akiwa mpigaji sana atasemwa sana tu.Kweli ukiwa kiongozi lazima usemwe, lakini kama nia ya kusema ni kupinga ufisadi, basi ni vyema wote wasemwe kwa usawa, sio kubagua nani asemwe nani asisemwe.