Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.

Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?

Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.

Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
 
Nani anamchukia? Nilodhani kwamba unasema Samia ndio anachukiwa
 
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.

Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?

Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.

Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
Ukiitaka nafasi namba 1, unakaribisha uchafu usioujua.
 
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.

Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?

Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.

Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
Tatizo wanafanya ufisadi hadi wanapitiliza ,wanakunywa hadi uji wa mgonjwa ,Lameck Madelu na February marope anamdanganya mama kizimkazi kuweka mitozo ya kila aina halafu wanazipiga wao tu.,wanajinunulia mibus esther na kuanzisha ma club kidimbwi/tipsy kila sehemu.
 
Wana fisiem wanaona anabebwa hasa ile yop 5.....baada pale akajipata yeye bright zaidi wote akili sana....President Material kazi ilianzia hapo kupiga kila waziri mpigaji tuuuu
 
Tatizo wanafanya ufisadi hadi wanapitiliza ,wanakunywa hadi uji wa mgonjwa ,Lameck Madelu na February marope anamdanganya mama kizimkazi kuweka mitozo ya kila aina halafu wanazipiga wao tu.,wanajinunulia mibus esther na kuanzisha ma club kidimbwi/tipsy kila sehemu.
Kwa maana hiyo wote serikalini ni mafisadi, sasa kwanini nguvu na chuki kubwa imeelekezwa kwa Mgosi? Au kuna jambo nyuma ya paazia?
 
Back
Top Bottom