Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Walirudishwa nyuma mara tatu,akawalazimisha wasonge mara ya nne wakarudishwa tena,akaona isiwe taabu kama kawaida yake mbabe wa Toyota war akatangulia mbele kuongoza akifuatwa na wanaye watatu na shemeji yake,wakashambuliwa gari aliyekuwemo ikanasa kwenye vumbi,zikaendelea kumiminwa mpaka helicopter ikaja akapelekwa Djamena akajifia kishujaa.Pale kuna mchezo mbaya ulifanyika, na yule kijana wake anajua. Vipi ukubali chief awe mbele kuongoza strike na yeye hata bado ako madarakani kama rais? Hivi hakukua na vijana mahiri wangekuwa frontline? Africa hii dadeq! 𤣠𤣠š¤£