Kwanini Jeshi imara kama Israel halina 4 stars General?

Kwanini Jeshi imara kama Israel halina 4 stars General?

Israel viongozi wake wa jeshi huwa wako competent mno sio kama Nigeria uko. Hata Ufaransa ile vita ya pili ya dunia walikuwa na majenerali hamna kitu mpaka alipojitokeza Charles de Gaulle akiwa uhamishoni
Dah, umenikumbusha mbali ulipomtaja Charles de Gaulle 👏🏽
 
Ina maana mkuu Netanyahus kule Entebe walikuwa wawili? Yona Netanyahu alikuwepo na ndiye aliyeuwawa kwenye tukio hilo. Vipi kuhusu Benyamini naye alikuwepo?
Benjamin hakuwepo Entebbe, alikuwa anaongoza kikosi chake cha spec ops kingine. Ndugu yao wa mwisho ndiye aliyekuwa team member kwa unit ya Sayeret Matkal, hakuwahi kuwa commander kama wenzake wawili.
 
... ha ha ha! Umenikumbusha Iddris Derby Marshal of Chad aliyeuwawa kwa mkuki na mwasi mmoja hivi haribuni siku chache kabla ya kuapishwa tena kwa awamu ya sita ya urais Chad!
Pale kuna mchezo mbaya ulifanyika, na yule kijana wake anajua. Vipi ukubali chief awe mbele kuongoza strike na yeye hata bado ako madarakani kama rais? Hivi hakukua na vijana mahiri wangekuwa frontline? Africa hii dadeq! 🤣 🤣 🤣
 
... kaka; Rav Aluf (Lieutenant General), the highest military rank in IDF ni zaidi ma-Field Marshall unaowajua wewe! Kuwa Lieutentant General isikuchanganye ukadhani ni sawa na Lieutenant General wa shitholes! Hizo ni namba nyingine!
Hajui licha ya Benjamin na nduguze kuwa viongozi wa vikundi Special vya kijeshi na kufanya Operation kibao successful, hakuna aliwahi kufikia hicho cheo cha Rav Aluf. Ingekuwa nchi nyingine hao jamaa wangekuwa na minyota kibao mabegani! 🤣 🤣 🤣
 
Hata huyu alishiriki,brother wake ndio alipoteza maisha uwanja wa vita.
Nafikiri familia yao wote,watoto wa kiume ni members wa elite force
Acha uongo, Benjamin hakushiriki Entebbe, hakuwezi kuwa na ma commander wawili kwenye elite commando unit moja ya Sayeret Matkal. 😂
 
Hapana yule alikuwa kaka yake na alikua operation kamanda ,kabla ya oparation kifanyika alijua kabisa yeye atakufa maana kabla ya operation walifanya rehersal ikaonekana kuna watu watapigwa risasi akiwemo yeye
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Tupe link ya hiyo rehersal basi...! 🤣
 
Katika sheria za israel kwenye mission yoyote ya hatari kama ile ni marufuku ndugu wa tumbo moja kushirikia kama wewe na kaka yako ni makomandoo basi anachukuliwa mmoja tu.benjamin netanyahu hakuwemo kwenye ile operation kwa kuwa alikuwemo ndugu yake huyo.
Wacha hata sheria yao mkuu, hiyo iko kila pahali, huwezi pata kundi/Unit moja ya special ops, sana sana huwa na members 4-5, ikiwa na Commander wawili. It's a No!
 
Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Mwamba unatuuza aliyeshiriki ni al mahrum kakake Jonathan ' Yono ' Netanyahu....mwaka 1976 mission in Entebbe alikuwa military colonel wa Special forces ilipotekwa ndege ya Air France..
Benjamin'Bibi' Netanyahu ni mchumia tumbo kama wanasiasa wengine tu..ndo maana hata Benny Gantz alimpiga kwenye election kaishia Ministry of Defence ambayo kwa Israel ndio roho na survival ya nchi....
 
Siyo Haganah peke yake kulikuwa pia na Palmach na vingine.
Hivo vikundi vingine hata visingekuwepo kazi zingeenda. Haganah ndio lilizusha revolts kwa Waingereza, likavamia maeneo ya Palestinians na kulinda Jewish settlements. Yitzhak Rabin mwenyewe alikuwa member wa kundi hili. Hili ndio lilikuja kurasimishwa kuwa jeshi, hivo vingine role yake ndogo.
Hata jina rasmi la jeshi la Israel hivi sasa lina neno Haganah
 
Hebe weka mtiririko wa vyeo vya jeshi hapa na sifa zao toka chini hadi rank ya juu kabisa!!!
Kuanzia juu hadi chini 👇

Screenshot_20210515_110348.jpg


Screenshot_20210515_110427.jpg


Screenshot_20210515_110448.jpg


Screenshot_20210515_110521.jpg


Screenshot_20210515_110549.jpg


Screenshot_20210515_110609.jpg


Screenshot_20210515_110625.jpg


Screenshot_20210515_110642.jpg


Screenshot_20210515_110705.jpg


Screenshot_20210515_110722.jpg


Screenshot_20210515_110740.jpg


Screenshot_20210515_110757.jpg


Screenshot_20210515_110816.jpg


Screenshot_20210515_110835.jpg


Screenshot_20210515_110854.jpg


Screenshot_20210515_110913.jpg


Screenshot_20210515_110932.jpg


Screenshot_20210515_110950.jpg


Screenshot_20210515_111006.jpg


Screenshot_20210515_111023.jpg
 
Hivo vikundi vingine hata visingekuwepo kazi zingeenda. Haganah ndio lilizusha revolts kwa Waingereza, likavamia maeneo ya Palestinians na kulinda Jewish settlements. Yitzhak Rabin mwenyewe alikuwa member wa kundi hili. Hili ndio lilikuja kurasimishwa kuwa jeshi, hivo vingine role yake ndogo.
Hata jina rasmi la jeshi la Israel hivi sasa lina neno Haganah
Famous members of the Haganah included Yitzhak Rabin, Ariel Sharon, Rehavam Ze'evi, Dov Hoz, Moshe Dayan, Yigal Allon and Dr. Ruth Westheimer.
 
Hivo vikundi vingine hata visingekuwepo kazi zingeenda. Haganah ndio lilizusha revolts kwa Waingereza, likavamia maeneo ya Palestinians na kulinda Jewish settlements. Yitzhak Rabin mwenyewe alikuwa member wa kundi hili. Hili ndio lilikuja kurasimishwa kuwa jeshi, hivo vingine role yake ndogo.
Hata jina rasmi la jeshi la Israel hivi sasa lina neno Haganah
Siyo kweli,vikundi vyote viliunganishwa na kuunda IDF chini ya David Ben Gurion.Tafuta kundi lilomuua Count Benadote ,utamkuta Yitzak Shamir aliyekuja kuwa waziri mkuu wakati wa intifadha ya kwanza.
 
Back
Top Bottom