Xubzero
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 243
- 413
Tumepigwa chenga mzee alieuwawa ni Jonathan netanyahuKwa hiyo mleta mada katupiga kudai waziri mkuu wa Sasa wa Israel alikuwepo Entebe siku hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumepigwa chenga mzee alieuwawa ni Jonathan netanyahuKwa hiyo mleta mada katupiga kudai waziri mkuu wa Sasa wa Israel alikuwepo Entebe siku hiyo.
Hata Mimi ndivyo nijuavyo kiongoziTumepigwa chenga mzee alieuwawa ni yona netanyahu
Vita inaonyeshwa channel gani?Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina.
Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3 Stars General)
Kwa nininiko hivyo na wakati Majeshi ya Kiafrika ambayo ni very weak lakini yana mpaka Marshall?
Usidanganye aliyeshiriki Entebe hakuwa Benyamini huyu waziri mkuu,Bali alikuwa kaka yake ambaye alikufa katika operation huyo kaka alijulikana Kama Yonathan NatanyahuIsrael upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
... ha ha ha! Umenikumbusha Iddris DerbyNilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina.
Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3 Stars General)
Kwa nininiko hivyo na wakati Majeshi ya Kiafrika ambayo ni very weak lakini yana mpaka Marshall?
Marshal of Chad aliyeuwawa kwa mkuki na mwasi mmoja hivi haribuni siku chache kabla ya kuapishwa tena kwa awamu ya sita ya urais Chad!Mai Mai wamejaa mejenerali tupu!DRC KUNA MAJENERALI😂😂😂
... kaka; Rav Aluf (Lieutenant General), the highest military rank in IDF ni zaidi ma-Field Marshall unaowajua wewe! Kuwa Lieutentant General isikuchanganye ukadhani ni sawa na Lieutenant General wa shitholes! Hizo ni namba nyingine!Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina.
Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3 Stars General)
Kwa nininiko hivyo na wakati Majeshi ya Kiafrika ambayo ni very weak lakini yana mpaka Marshall?
Hapo Rwanda kale kakikundi kao kaliko kuwa kawaasia kana majenerali 4star kibao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kule vyeo ni vya kuhenyea wakati kwetu ni kugawiwa tu
Hata huyu alishiriki,brother wake ndio alipoteza maisha uwanja wa vita.Nikusahihishe kidogo yule wa mission Entebbe ni kaka wa huyu kwa jina Jonathan Netanyahu. Na alipoteza maisha yake hapo hapo Entebbe
Hapana yule alikuwa kaka yake na alikua operation kamanda ,kabla ya oparation kifanyika alijua kabisa yeye atakufa maana kabla ya operation walifanya rehersal ikaonekana kuna watu watapigwa risasi akiwemo yeyeKwa hiyo mleta mada katupiga kudai waziri mkuu wa Sasa wa Israel alikuwepo Entebe siku hiyo.
Hebe weka mtiririko wa vyeo vya jeshi hapa na sifa zao toka chini hadi rank ya juu kabisa!!!Israel hawatumii neno General wala zile ranks za Western military hutozikuta. Wao rank yao inayofanana na General inaitwa Rav Aluf ambayo hutumika kwa forces zote za jeshi. Tofauti na General inayotumika kwenye Army, Admiral inayotumika kwenye Navy na Marshall kwenye Air Force.
Nchi nyingine kama North Korea pia hazina ranks kama hizi tunazojua. Ndio maana NATO wana rank zenye namba badala ya majina kama General, unakuta cheo kutoka North Korea kimepewa namba sawa na labda Lieutenant General basi unajua hivi vyeo ni sawa.
Israel imekuwa na Rav Aluf kadhaa kina Moshe Dayan na wengineo
Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Mkuu iko hivii?Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina.
Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3 Stars General)
Kwa nininiko hivyo na wakati Majeshi ya Kiafrika ambayo ni very weak lakini yana mpaka Marshall?
Wasafi tvVita inaonyeshwa channel gani?
Israel hawatumii neno General wala zile ranks za Western military hutozikuta. Wao rank yao inayofanana na General inaitwa Rav Aluf ambayo hutumika kwa forces zote za jeshi. Tofauti na General inayotumika kwenye Army, Admiral inayotumika kwenye Navy na Marshall kwenye Air Force.
Nchi nyingine kama North Korea pia hazina ranks kama hizi tunazojua. Ndio maana NATO wana rank zenye namba badala ya majina kama General, unakuta cheo kutoka North Korea kimepewa namba sawa na labda Lieutenant General basi unajua hivi vyeo ni sawa.
Israel imekuwa na Rav Aluf kadhaa kina Moshe Dayan na wengineo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Marshall kauawa na mkuki... ha ha ha! Umenikumbusha Iddris DerbyMarshal of Chadaliyeuwawa kwa mkuki na mwasi mmoja hivi haribuni siku chache kabla ya kuapishwa tena kwa awamu ya sita ya urais Chad!
Kwa hiyo mleta mada katupiga kudai waziri mkuu wa Sasa wa Israel alikuwepo Entebe siku hiyo.
Kaka yake na siye yeye. ndiye mwanajeshi pekee wa Israel aliyeuawa kwenye operesheni hiyo.Katika sheria za israel kwenye mission yoyote ya hatari kama ile ni marufuku ndugu wa tumbo moja kushirikia kama wewe na kaka yako ni makomandoo basi anachukuliwa mmoja tu.benjamin netanyahu hakuwemo kwenye ile operation kwa kuwa alikuwemo ndugu yake huyo.