Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Walirudishwa nyuma mara tatu,akawalazimisha wasonge mara ya nne wakarudishwa tena,akaona isiwe taabu kama kawaida yake mbabe wa Toyota war akatangulia mbele kuongoza akifuatwa na wanaye watatu na shemeji yake,wakashambuliwa gari aliyekuwemo ikanasa kwenye vumbi,zikaendelea kumiminwa mpaka helicopter ikaja akapelekwa Djamena akajifia kishujaa.Pale kuna mchezo mbaya ulifanyika, na yule kijana wake anajua. Vipi ukubali chief awe mbele kuongoza strike na yeye hata bado ako madarakani kama rais? Hivi hakukua na vijana mahiri wangekuwa frontline? Africa hii dadeq! 🤣 🤣 🤣
But kuna kitu sijaelewa kidogo but kinaendana na mada. Kipindi Hitler anavamia Poland, warusi walimpotezea tu lakini vile vile baada ya Ujerumani kufeli kuingia Moscow na kugeuza walipovamia tena Poland Urusi haikureact... In fact walipokaribia Warsaw wali weka kambi kusubiri hadi mjerumani aondoke mwenyewe. Kibaya zaidi Urusi pia walipovamia Poland wakaimalizia tena kwa kuua zaidi na kuteka maelfu.Hapana mkuu hakuna uzi specifically nilikozungumzia ila mara chache inatokea nagusia kidogo. Mostly humu wanapenda kuzungumzia current trending issues. Alafu pia sipendi kuanzisha uzi kwa hiyo unakuta vitu vingi vya kusema lakini tunakosa pa kuchangia.
Dessert Fox alikuwa vizuri kapigana na kina Field Marshall Monty wakiwa na silaha kibao na supplies za kutosha ila wakaja kumshinda alipoishiwa ammunition. Namkubali kwa vile pia alikuwa na utu sio kama kina Himmler na Reinhard Heydrich ambao ni wakatili alafu vitani wazembe.
Ila SS walikuwa na jeshi kamilifu bahati nzuri Hitler alikuwa mjuaji. Alitoka jeshini akiwa na rank ndogo mno ila akataka kuongoza majenerali wake kupigana na nchi nyingi wakati hakuwahi ongoza hata company wala group. Bora Stalin aliwaachia kina Rokossovsky na Zhukov
Kule vyeo ni vya kuhenyea wakati kwetu ni kugawiwa tu
Nenda wakugee na wewe kama vya kugaianaKule vyeo ni vya kuhenyea wakati kwetu ni kugawiwa tu
Hebu nitajie general mwenye kitambiIsrael upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Huyu wa sasa nafikiri alishiriki Yom KipurIna maana mkuu Netanyahus kule Entebe walikuwa wawili? Yona Netanyahu alikuwepo na ndiye aliyeuwawa kwenye tukio hilo. Vipi kuhusu Benyamini naye alikuwepo?
Nenda wakugee na wewe kama vya kugaiana
Kama hujui kitu bora unyamazeKwani uongo? Kuna mission gani hawa wa kwetu wanafanya mpaka wanapata hayo mavyeo.Ni kupeana tu.
Wee unajua nini wewe Utopolo.Hicho unachojua kiko wapi.Tulia!!Kama hujui kitu bora unyamaze
Ni utaratibu tu unaweza amua cheo kikaishia hata luteni(nyota2).Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina.
Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3 Stars General)
Kwa nin iko hivyo na wakati Majeshi ya Kiafrika ambayo ni very weak lakini yana mpaka Marshall?
Kaka yake yona netanyahu alikuwepo.Kwa hiyo mleta mada katupiga kudai waziri mkuu wa Sasa wa Israel alikuwepo Entebe siku hiyo.
Kaka mtu sio yeyeIsrael upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.