Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upumbavu wa tamaduni zenu huko usifikiri unatumika kila mahali kwa ufanisi.
Mbona unatumia muda wako kujibizana na kicho kichaa? Huyo ni wa kupotezea tu ndugu yangu na kuliko kujadiliana naye heri ujadiliane na meza. Yeye maskani yake ni chini ya meza anakonenepeana kwa makombo.
 
Jeshi la polisi linafuata amri. Walaumu wanaotoa amri
Vijana walioshiriki kongamano la ccm walilipwa. Vijana wanaozuiwa kwenda Mbeya kwenye kongamano la Chadema wamejikipia wenyewe gharama za kufika huko...hapo ndio shida inapoanzia kwa watawala
 
Shida siyo hawa machokodari punguani. Wao wanasema ilikuwa ni amri ya huyo Bibi kabla hajasafiri.

Hawa machokodari wetu ambao wengi wao uelewa ni zero, wanatekeleza kila upumbavu wanaopewa. Hata wakiambiwa wakawaue wazazi wao wasio na hatia, watatenda maana ni watu walioamua kuishi bila akili.

Huyu bibi amegeuka kuwa laana kwa ardhi yetu hii.
 
Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako

Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi

View attachment 3067189

View attachment 3067190

Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba

Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa

View attachment 3067194

Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao

View attachment 3067197

Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile

View attachment 3067199

Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?

Pia soma:
Mnatakiwa kuelewa kuwa dhumuni ndio limezuiwa.
 
Kumbe upo huru?

Baada ya kutokuona nyuzi zako kwa muda nikihisi na wewe ni miongoni mwa waliokamatwa Mbeya! Nisamehe kwa kukuhisi hivyo?

Kuhusu Polisi, hata wakiletwa wa Canada kwa Katiba iliyopo hakutakuweko na jipya!
 
Jeshi la polisi linafuata amri. Walaumu wanaotoa amri
Hii ya kutoka maekekezo yasiyozingatia katiba wala Sheria ni hatari, kwa maana inaonyesha wakielekezwa kuachana na wake zako au waume zao watatekeleza?!! Mambo ya ajabu!!!!
 
Mbona unatumia muda wako kujibizana na kicho kichaa? Huyo ni wa kupotezea tu ndugu yangu na kuliko kujadiliana naye heri ujadiliane na meza. Yeye maskani yake ni chini ya meza anakonenepeana kwa makombo.
Haya ninayo yafanya ni kwa maksudi mazima. Nilisha amua baadhi ya hawa watu ambao kazi yao kuu wanapo ingia humu JF ni kushangilia maovu ya CCM, au kukebehi waTanzania wanao umizwa na matendo ya hao wanaowaleta humu.

Kwa hiyo siyo kwamba sielewi ninachofanya, na kupoteza muda bure.
Huyu Tlaatlaa' ni mtu mzima, mwenye akili timamu kabisa, na siyo hawa mamluki vijana wasiojua kitu. Huyu ni mwajiriwa kabisa wa 'Chura Kiziwi', siyo hawa wanao tumwa na akina Nape kuja kuvuruga humu. Huyu ni timu ya Waziri Masauni, yule wa Wizara ya Mambo ya ndani, pamoja na mwenzake wa Wizara ya Tamisemi. Hawa ndio wenye mikakati ya kurudisha 'Chura Kiziwi madarakani 2025 kwa kila njia iwezekanayo. Hawa siyo watu wa kuwaacha tu.

Usiwe na shaka. Najuwa vyema kabisa ninachofanya, na yeye anajuwa ninalokusudia ninapo jibishana naye.
Ukiangalia majibishano yangu na yeye toka mwanzo, hakuna lolote la maana katika majibu hayo. Hiyo ndiyo kazi ninayoitimiza. Kukabiri ujinga wao wanao uleta humu.
 
Polisi tz wanafuata amri sio katiba ya nchi!
polisi tz wanadeal na mambo madogo madogo tu makubwa hawayawezi!
Yaani Ni ZERO KABISA!
 
Back
Top Bottom