Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hadaa zote za mwanzo zimekwisha julikana. Hakuna tena namna ya kuwadanganya waTanzania. Bunduki zetu tutazichukua na kuzielekeza kwenu mkifanya kiburi.
kukosa fikra mpya na mawazo mbadala ni utumwa mbaya wa kiwango cha juu sana aise...

unajikuta ni mtu wa kulaani na kujipa matumaini hewa tu muda wote 🤣
 
Utumwa mbaya ni kufanywa kuwa watumwa na wapumbavu wa aina yenu. Huo ndio utumwa tunao ukataa.
 
Unajuwa, huyu siyo kijana.
Namjuwa toka siku nyingi huyu.
Yes,
mie ni dingii jomba, wakati ule tulikua pamoja na chairman wenu tukisoma masuala ya uongozi kule uingereza 🐒
 
Ndiyo sababu sikupuuzi, kwa sababu najua sababu inayo kuleta hapa jukwaani kila siku.
 
Tuishi sio mda yana mwisho , kwani Zambia kiko wapi, wale wale waliokua ila kwa sasa wamepigwa pasi na kunyooka kama kaniki iliyopigwa pasi ni swala mda tu
 
Utumwa mbaya ni kufanywa kuwa watumwa na wapumbavu wa aina yenu. Huo ndio utumwa tunao ukataa.
ukiishi au kulelewa kwenye Taasisi mbovu ni Lazima tu, mawazo na mtazamo na fikra zako pia zitakua mbovu ,

nawaonea huruma vijanaa wahalifu waliotiwa nguvuni huko mbeya, ni kwasabb ya ubovu wa malezi watoto wa watu wanateseka dah 🐒
 
Ndiyo sababu sikupuuzi, kwa sababu najua sababu inayo kuleta hapa jukwaani kila siku.
sababu kuu inayonileta humu ni mihemko na ghadhabu za makamanda,

nataka kuona mwisho wake na faida wanazozipata kwa kuyaporomosha 🤣
 
ukiishi au kulelewa kwenye Taasisi mbovu ni Lazima tu, mawazo na mtazamo na fikra zako pia zitakua mbovu ,

nawaonea huruma vijanaa wahalifu waliotiwa nguvuni huko mbeya, ni kwasabb ya ubovu wa malezi watoto wa watu wanateseka dah 🐒
Hakuna malezi mabovu zaidi ya mliyopitia nyinyi, siyo wewe pekee, bali hata hao wanaokulisha sasa hivi. Ndiyo maana mnajifanya kuwa kama machizi vile, mkidhani watu hawajui mnachofanya.
 
malezi ya mihemko, ghadhabu, kutukana na kuporomosha matusi 🤣
 
Kaondoka Magufuli mwenye tabia hizo, watu wakadhani kutakuwepo na nafuu. Ambacho hawakukijuwa ni kwamba tabia zenu ni mbovu zaidi hata zile alizokuwa akionyesha magufuli.
Sasa ndiyo watu wametambua hilo.
 
unamzungumzia tabia za kubwekabweka pembeni, kwamba ati ndani ya chama kuna rushwa unaotembea kumbe jamaa anamuogopa chairman 🤣
 
Yeye alibweka bweka watu wakajuwa ukichaa wake ulipo. Huyu unayempigania hapa ukichaa wake ni wa kujichekesha huku akifanya maovu yale yale; kama wewe unavyojifanya kuwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…