Kwanini Jeshi la Polisi mnamuacha Mdude Nyagali anamdhalilisha Rais wetu pasipo kumchukulia hatua?

Lucas, aliyopitia Mdude Nyagali Chadema yanatosha, hebu mfumbieni macho kwanza!
Ajifunze kutumia lugha na kujenga hoja kwa lugha za staha ,adabu na hekima na ujumbe wake utafika bila shida yoyote ile.kuliko kutumia lugha chafu za udhalilishaji na kutukana watu bila sababu
 
..yaani mtu afanye jambo la kinyang'au halafu anawapangia watu namna ya kumkosoa?!
 
Hivi we b.wege una watoto au familia? Wanajisikiaje kusoma u.haro wako humu JF?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki? Mnataka mpaka aseme nini na atumie lugha gani kumdhalilisha Rais wetu ndio mchukue hatua? IGP upo wapi mzee wangu?

Huoni? Huguswi? Unaona ni sawa? Ni kawaida? Ni demokrasia? Kwanini ukae kimya wakati Rais wetu ana dhalilishwa kiasi hiki? Mtu huyu kwamba amekushinda wewe na jeshi lako kumchukulia hatua Kali za kisheria? Yaani Mdude mtoto mdogo akae akimdhalilisha Rais ,mkuu wa nchi? Kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama? Huku wewe ukiwepo Ofisini? Rais Wa Nchi Adhalilishwe kiasi hiki? Kwanini iwe hivi? Mnamuogopa? Kwa lipi? Kwa kipi?

Hamuoni lugha anayotumia ni ya kutweza utu wa Mheshimiwa Rais? Naomba niseme kuwa Watanzania tunapenda na tungependa demokrasia ,uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao vinaendelea kushamiri hapa Nchini kwa afya ya Taifa letu na maendeleo kwa ujumla wake.

Lakini uhuru wa kumdhalilisha Rais wetu,kumtukana,kumshushia heshima haikubaliki hata kidogo,haivumiliki wala haipendezi wala hakuna mtanzania anayeweza kupenda kuona matumizi ya lugha chafu unaofanywa na Mdude Nyagali kwa Rais wetu.watanzania tunapenda ustaraabu , kuheshimiana,kukosoana kwa hoja na kukubaliana kutokukubaliana kwa lugha za kiungwana kabisa.

Hivi kweli mtu aliyepata malezi mazuri ya mama yake au wazazi wake,akakua katika mazingira na malezi yenye kumheshimu mkubwa wake au mtu yeyote yule pamoja na kuwa na hofu ya Mungu,anaweza vipi kutumia maneno na lugha chafu atumiazo Mdude? Ni kweli amewahi kukiri kuwa Mama yake alikufa zamani akiwa mdogo ,lakini mbona wapo watu walizaliwa na mama zao wakafa wakiwa bado wadogo lakini wana maadili mazuri na hawajazibuka na kukosa staha,adabu ,maadili na hekima kama alivyo Mdude Nyagali?

Mdude Nyagali ni mtu aliyekosa adabu,staha,hekima na busara.Ni mtu mropokaji na mkurupukaji tu. Ni mtu ambaye ni kama akili yake alishakatika kabisa mishipa ya fahamu,ni mtu ambaye ni kama ameshaathirka kisaikolojia.

IGP mzee wangu hii haikubaliki kabisa kuona Rais wetu akiendelea kudhalilishwa pasipo kuchukuliwa kwa hatua kwa wahusika aina ya Mdude.inaleta hasira na kuchochea chuki. Tunahitaji ukosoaji lakini siyo udhalilishaji na matusi kwa Rais wetu. Ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anaweza kufurahia na kuunga mkono ayafayayo Mdude? Hapana hii haiwezekani hata kidogo.na kama tukiacha utamaduni huu wa kumdhalilisha Rais wetu ukaendelea utajenga picha mbaya kwa vizazi vijavyo.ni lazima tujenge Taifa linalojali utu wa mtu na kuheshimiana hata kama tunatofautiana Mitizamo.

Sitaki kuweka maneno aliyo tumia maana itakuwa ni kuendelea kumdhalilisha Mheshimiwa Rais wetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Maelezo marefu ya kipuuzi, hakuna heshima yoyote kwa viongozi wanaoingia madarakani kwa chaguzi za kishenzi.
 
Ungekuwa wa maana kama ungeongelea pesa iliyochorwa BOT chini ya usimamizi wa huyo Mzanzibari unayemwita rais wenu
Acheni upotoshaji na uzushi wenu hapa.pesa zipi zilizochotwa kutoka BOT? Soma ufafanuzi wa Mheshimiwa waziri wa fedha na siyo kuleta uongo wako hapa.
Huyo waziri ndiye mwizi namba moja akishirikiana na boss wake kufilisi nchi. Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha
 
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki? Mnataka mpaka aseme nini na atumie lugha gani kumdhalilisha Rais wetu ndio mchukue hatua? IGP upo wapi mzee wangu?

Huoni? Huguswi? Unaona ni sawa? Ni kawaida? Ni demokrasia? Kwanini ukae kimya wakati Rais wetu ana dhalilishwa kiasi hiki? Mtu huyu kwamba amekushinda wewe na jeshi lako kumchukulia hatua Kali za kisheria? Yaani Mdude mtoto mdogo akae akimdhalilisha Rais ,mkuu wa nchi? Kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama? Huku wewe ukiwepo Ofisini? Rais Wa Nchi Adhalilishwe kiasi hiki? Kwanini iwe hivi? Mnamuogopa? Kwa lipi? Kwa kipi?

Hamuoni lugha anayotumia ni ya kutweza utu wa Mheshimiwa Rais? Naomba niseme kuwa Watanzania tunapenda na tungependa demokrasia ,uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao vinaendelea kushamiri hapa Nchini kwa afya ya Taifa letu na maendeleo kwa ujumla wake.

Lakini uhuru wa kumdhalilisha Rais wetu,kumtukana,kumshushia heshima haikubaliki hata kidogo,haivumiliki wala haipendezi wala hakuna mtanzania anayeweza kupenda kuona matumizi ya lugha chafu unaofanywa na Mdude Nyagali kwa Rais wetu.watanzania tunapenda ustaraabu , kuheshimiana,kukosoana kwa hoja na kukubaliana kutokukubaliana kwa lugha za kiungwana kabisa.

Hivi kweli mtu aliyepata malezi mazuri ya mama yake au wazazi wake,akakua katika mazingira na malezi yenye kumheshimu mkubwa wake au mtu yeyote yule pamoja na kuwa na hofu ya Mungu,anaweza vipi kutumia maneno na lugha chafu atumiazo Mdude? Ni kweli amewahi kukiri kuwa Mama yake alikufa zamani akiwa mdogo ,lakini mbona wapo watu walizaliwa na mama zao wakafa wakiwa bado wadogo lakini wana maadili mazuri na hawajazibuka na kukosa staha,adabu ,maadili na hekima kama alivyo Mdude Nyagali?

Mdude Nyagali ni mtu aliyekosa adabu,staha,hekima na busara.Ni mtu mropokaji na mkurupukaji tu. Ni mtu ambaye ni kama akili yake alishakatika kabisa mishipa ya fahamu,ni mtu ambaye ni kama ameshaathirka kisaikolojia.

IGP mzee wangu hii haikubaliki kabisa kuona Rais wetu akiendelea kudhalilishwa pasipo kuchukuliwa kwa hatua kwa wahusika aina ya Mdude.inaleta hasira na kuchochea chuki. Tunahitaji ukosoaji lakini siyo udhalilishaji na matusi kwa Rais wetu. Ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anaweza kufurahia na kuunga mkono ayafayayo Mdude? Hapana hii haiwezekani hata kidogo.na kama tukiacha utamaduni huu wa kumdhalilisha Rais wetu ukaendelea utajenga picha mbaya kwa vizazi vijavyo.ni lazima tujenge Taifa linalojali utu wa mtu na kuheshimiana hata kama tunatofautiana Mitizamo.

Sitaki kuweka maneno aliyo tumia maana itakuwa ni kuendelea kumdhalilisha Mheshimiwa Rais wetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mdude_Nyagali njoo umjibu huyu chawa wa ccm...inaonekana hakujui vizuri
 
Kwa sasa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vijikite kupambana na Utekaji wa watoto ambao umeshamiri nchini!
Siyo kushughulika na wale wanaomsema Rais! Mbona wale Mawaziri wanaomtukana Rais kama Makonda alivyosema hawajashughulikiwa?
 
Itakuwa wanamuona kama Nabii Tito ukimkamata ndiyo unazidi kumpa umaarufu.
 
Akili ya Mdude inaonyesha dhahiri namna alivyo kosa malezi ya wazazi wake.ni mtu mwenye matatizo katika mfumo wake wa fahamu.
Hapo ndo tunapokosea binadamu wengi! Kwanini unawahukumu wazazi wa Mdude kwa tabia yake? Je unaweza kuwahukumu wazazi wa Hayati Lowasa kwa kufanya ufisadi? Sio sahihi Mkuu
 
Mamlaka ya teuzi nchini hebu mgeukieni na huyu Kijana Lucas - anajitahidi mno kuwafurahisha ila kila mkeka ukitoka ni OUT.
Mnamvunja moyo kwa kweli hebu mpeni hata ka uDC walau kwa miezi 06 ili muone utendaji wake.
 
Hapo ndo tunapokosea binadamu wengi! Kwanini unawahukumu wazazi wa Mdude kwa tabia yake? Je unaweza kuwahukumu wazazi wa Hayati Lowasa kwa kufanya ufisadi? Sio sahihi Mkuu
Ufisadi upi wa Lowassa unaouzungumzia. Maana hajawahi kushitakiwa kwenye mahakama yoyote ile
 
Ndugu zangu Watanzania,

Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki? Mnataka mpaka aseme nini na atumie lugha gani kumdhalilisha Rais wetu ndio mchukue hatua? IGP upo wapi mzee wangu?

Huoni? Huguswi? Unaona ni sawa? Ni kawaida? Ni demokrasia? Kwanini ukae kimya wakati Rais wetu ana dhalilishwa kiasi hiki? Mtu huyu kwamba amekushinda wewe na jeshi lako kumchukulia hatua Kali za kisheria? Yaani Mdude mtoto mdogo akae akimdhalilisha Rais ,mkuu wa nchi? Kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama? Huku wewe ukiwepo Ofisini? Rais Wa Nchi Adhalilishwe kiasi hiki? Kwanini iwe hivi? Mnamuogopa? Kwa lipi? Kwa kipi?

Hamuoni lugha anayotumia ni ya kutweza utu wa Mheshimiwa Rais? Naomba niseme kuwa Watanzania tunapenda na tungependa demokrasia ,uhuru wa watu kuzungumza na kutoa maoni yao vinaendelea kushamiri hapa Nchini kwa afya ya Taifa letu na maendeleo kwa ujumla wake.

Lakini uhuru wa kumdhalilisha Rais wetu,kumtukana,kumshushia heshima haikubaliki hata kidogo,haivumiliki wala haipendezi wala hakuna mtanzania anayeweza kupenda kuona matumizi ya lugha chafu unaofanywa na Mdude Nyagali kwa Rais wetu.watanzania tunapenda ustaraabu , kuheshimiana,kukosoana kwa hoja na kukubaliana kutokukubaliana kwa lugha za kiungwana kabisa.

Hivi kweli mtu aliyepata malezi mazuri ya mama yake au wazazi wake,akakua katika mazingira na malezi yenye kumheshimu mkubwa wake au mtu yeyote yule pamoja na kuwa na hofu ya Mungu,anaweza vipi kutumia maneno na lugha chafu atumiazo Mdude? Ni kweli amewahi kukiri kuwa Mama yake alikufa zamani akiwa mdogo ,lakini mbona wapo watu walizaliwa na mama zao wakafa wakiwa bado wadogo lakini wana maadili mazuri na hawajazibuka na kukosa staha,adabu ,maadili na hekima kama alivyo Mdude Nyagali?

Mdude Nyagali ni mtu aliyekosa adabu,staha,hekima na busara.Ni mtu mropokaji na mkurupukaji tu. Ni mtu ambaye ni kama akili yake alishakatika kabisa mishipa ya fahamu,ni mtu ambaye ni kama ameshaathirka kisaikolojia.

IGP mzee wangu hii haikubaliki kabisa kuona Rais wetu akiendelea kudhalilishwa pasipo kuchukuliwa kwa hatua kwa wahusika aina ya Mdude.inaleta hasira na kuchochea chuki. Tunahitaji ukosoaji lakini siyo udhalilishaji na matusi kwa Rais wetu. Ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anaweza kufurahia na kuunga mkono ayafayayo Mdude? Hapana hii haiwezekani hata kidogo.na kama tukiacha utamaduni huu wa kumdhalilisha Rais wetu ukaendelea utajenga picha mbaya kwa vizazi vijavyo.ni lazima tujenge Taifa linalojali utu wa mtu na kuheshimiana hata kama tunatofautiana Mitizamo.

Sitaki kuweka maneno aliyo tumia maana itakuwa ni kuendelea kumdhalilisha Mheshimiwa Rais wetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Punguani kuliko Mdude.
Mdudu syo chawa kama wewe mwendawazimu
 
Back
Top Bottom