Kwanini JF?

Mi nilipotea njia nikajikuta nipo huku.

Niece una vituko wewe! Khaa.....lol.... Thanks for sharing Dearest...

mi nilikuwa napenda kupata habar za wasanii na siku nikaamua kujiunga kabisa na nipo na nitaendelea kuwepo


Mtu wa entertainment eeeh? Nimefurahi upo hapa Ma'swagga... Pamoja saana.
 
mie sikuwa na sababu
full mkurupukaji
from wakubwa na kitaulo to siasa.

hahaha.... Hii ndio typical Kongosho..... Wee ni moja ya members very very interesting hapa JF, Nafurahi tupo wot

nilikuwa nikiskia sikia tu, baadae nikawa napita pita kila asubuhi nikiingia ofisini, wakati napitia magazeti basi nikajikuta nimejiunga kuwa memba. ila tangu 2006 nilikuwa napita kama mgeni tu


Dah! Kumbe wa zamani Mabagala... Alafu siku nyingi Mkuu.... Kazi na huu mwaka mpya waenda vizuri I hope.
 
Kuna mtu kaileta hii thread ya zamaniiiiiiiiii dah kweli watu wana kumbukumbu

Erick nimepokea Zawadi.... THANK YOU.



Mamndenyi Thank you for sharing.... Hapa JF hapachagui Umri, pana mambo ya kila aina na kila rika, ndio hufanya pasichoshe... Naamini kua as time goes on unazifi kufurahia kuwepo hapa. Nafurahi kua tupo woote. Pamoja Saana.
 
Heshima yako Big sisy,
Mie kuna mdada hapa oficn ilikuwa kila tukiwa free yeye yuko bize na komputa,
Na akianza kucheka utafikiri anatekenywa,kwavile namie napenda kucheka nikawa namuuliza huwa anacheka nn,
Akanifungulia jukwaa la jokes na mie nikawa nacheka sn yani kila nikipata mda naingia km msomaji,
Ikatokea siku kuna mada uliandika ww mmu(Siikumbuki) yule bidada akaisoma then badae akanambia kuna mdada anaitwa Ashadii yani huwa anaandika vitu vya ukweli,
Mie wala sikuhangaika ikawa anafatilia post zako alafu anahadithia,
Hapo ndio nikataman kufungua MMU,khaaaaa nikakutana na uzi wako wa "Do you Feel LOVED"
Siku hiyo ilikuwa km wiki 2 tayari tangu uandike,niliposoma nilifurahi sana watu walivyokuwa wakifunguka,
Sikukufikiri mara mbili ndio nikaamua kujiunga rasmi tar 26 sep.2011,
Na mpaka leo naenjoy kuwa JF.
 
mie nilikuwa naijua way back ila nilikuwa naingia kama guest iv nasoma nacheka especially jokes na uku mmu.
cz huwa nakuwa addicted na iv vi2 nikasema nitajiunga lazima soon nikiwa done na stuff zangu za kielimu.
lol nw nimejiunga naenjoy 2 kila siku ni furahi dei.
siboreki hata.
VIVA JF.
 



This post of yours has humbled me Cantaliia... One of my Kid sis hapa JF..... THANK YOU. Imenisukuma na kunifurahisha na kuipatia a "Reputation moja kwa moja"

Wewe na Mwali ni moja ya members ambao waliingia hasa baada ya kutaka changia thread nilorusha.... Kwa Mwali ilikua "I think I am in Love" na wewe "Do you feel Loved" hii inaonesha dhahiri the way LOVE ina evolve katika maisha yetu. Nimefurahi saana kwa hii habari, nimefurahi kwa uwepo wako hapa na namshukuru huyo dada offisin kwenu kwa kuni promote... Really appreciate.


What can I say more? Naona ni conclude tu by sayiing I am really Greatful you shared this.... Thank you Dearest.:A S-rose:


Pamoja Saana
AshaDii.
 
Thx Big sisy,taratibu tutajengeka kwa sapoti yenu mliotangulia,
Mimi iko penda sana wewe Big sisy,
May God Bless you sana,
Pamoja dada.
 
mie nilikuwa naijua way back ila nilikuwa naingia kama guest iv nasoma nacheka especially jokes na uku mmu.
cz huwa nakuwa addicted na iv vi2 nikasema nitajiunga lazima soon nikiwa done na stuff zangu za kielimu.
lol nw nimejiunga naenjoy 2 kila siku ni furahi dei.
siboreki hata.
VIVA JF.
 


Obsesed tena hua nakuona mara nyiingi na almost every day....
That is really good na napenda kua yaelekea wa Prioritise vitu vyako.

Nafurahi kua tuko woote hapa JF... For mie pia na enjoy...
THANK YOU For sharing dear....

I reciprocate.... Viva JF!
 
Thx Big sisy,taratibu tutajengeka kwa sapoti yenu mliotangulia,
Mimi iko penda sana wewe Big sisy,
May God Bless you sana,
Pamoja dada.


Nafurahi kwa maneno yako Cantalisia
Mie niko penda wewe zaidi na namuomba
Mungu atubariki woote.

Pamoja Saana.
 
lol..... tena nimewaadd wengine kama kumi iv wa hapa job.
cz huwa wananikuta nacheka ol the tym bs wananiuliza nawaadhithia had na wao wakajoin.
 
Ahadi ni deni aisee......Cantalisia nakudai maparachichi yangu lol!!!
Hahahaha,
Heri ya mwaka mpya Kipipi,
Zawadi ipo tatizo nawe ulipotea sana,
Nitumie namba yako ili nikutumie parachichi kwa MPESA lol!
 
lol..... tena nimewaadd wengine kama kumi iv wa hapa job.
cz huwa wananikuta nacheka ol the tym bs wananiuliza nawaadhithia had na wao wakajoin.


Dah! 10 from the same office? kazi yafanyika kweli? lol
 
Dah! 10 from the same office? kazi yafanyika kweli? lol

hahaha umeona enh...
ila kiukweli nakukubali dadayangu uko juu kwa kila ki2.
naomba niwe mdogo wako lol.
 
Nlikuwa na mastress cku hyo nkawa narud narafk yangu toka kazn.
akawa busy na cm yake anacheka,akanishamishi kuwa naingia tangu cku hyo ni msomaji wa kla cku humu ndani.
 
hahaha umeona enh...
ila kiukweli nakukubali dadayangu uko juu kwa kila ki2.
naomba niwe mdogo wako lol.



Obsesed AshaDii humbly and Proudly accepts Obsesed kua mdogo wake wa hiari.

Nimefurahi saana.... Na nashukuru for the acknowledgement na kwa kunichangua pia.

Pamoja Saaana:grouphug:
AshaDii.
 
Obsesed AshaDii humbly and Proudly accepts Obsesed kua mdogo wake wa hiari.

Nimefurahi saana.... Na nashukuru for the acknowledgement na kwa kunichangua pia.

Pamoja Saaana:grouphug:
AshaDii.
asante sana dada asha.
ubarikiwe sana sana big sisy wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…