Kwanini JF?

Acha kuchakachua thread nitamwambia MOD akupige BAN:dance:

Hivi hujagundua kwamba siongei na wewe?!Haya kama picha huoni maandishi nayo yakushinde basi!!

Sorry partner kwakuchakachua hapa...ngoja nirudi kulala!!
 
Mimi nilijiunga kwa ajili yako, nilijua tu utakuja JF nikakutangulia.sababu hii haiwezi kuwa ndogo!
 
Hivi hujagundua kwamba siongei na wewe?!Haya kama picha huoni maandishi nayo yakushinde basi!!

Sorry partner kwakuchakachua hapa...ngoja nirudi kulala!!
Wewe jiteteee tu lakini fahamu fika kwamba una kesi ya jibu wewe jifanye bubu tu halafu kwanini unaniongelesha sasa:biggrin1::biggrin1:
 
Hivi hujagundua kwamba siongei na wewe?!Haya kama picha huoni maandishi nayo yakushinde basi!!

Sorry partner kwakuchakachua hapa...ngoja nirudi kulala!!

Nishaondoka kitandani
 
Nakumbuka nilikuwa natafuta unlock code ya nokia yangu then google ikanipa link ya jf ambayo niliweza kupata solution ila kilichosababisha nijiunge nilikuta mtu anataka support ya serial number fulani ambazo nilikuwa nazo hivyo nilifanya registration ili kuweka post yangu na uzuri wa jf ni kuwa ukijisahau kidogo lazima upate mail. siku hizi lazima nifike humu daily... i love jf!
 

CPU dear... impressive resume umetupa nimepata an insight ya you as a person behind the Avatar...lol... Thank you, sorry nime edit post! Naamini AD will be happy kusikia ulimvutia na najua pia yawezekana unatingisha tu kiberiti kwa Partner wangu maana nisha anza kukusoma traits zako wewe pale in short hukooi... kama vile Nyani Ngabu alivyoonionesha.

Thank you for sharing...:A S-rose:




Ganesh MMU, ndo hii forum ambayo ina uzi huu and there are people who belong here more than other members na kujiona kama a family fulani katika jamii forun (in fact ya amano kuliko yoote)

Nakubaliana na maneno yako kuhusu JF hivyo nimefurahi na THANK YOU for sharing....:A S-rose:


Nilipoona JUKWAA LA WAKUBWA nikajiuliza ni wakubwa gani wanaenda kule, labda wakubwa walioko Serikalini:dance::dance::dance::biggrin1::biggrin1: )


Kweli hapa kijana nimempoteza... huko mimi sigusi mana there is No turning back.... lol... The Finest fanya haraka uje na a concrete reason before i am 😡

Thank you for coming back i was almost dying:biggrin1:


Unaongea nini! Don't die and that is a COMMAND... Still need you...:A S-rose:



Huyu usipomkumbusha ataharibu kila kitu hafai kabisa)


Nimeliona hilo dear... mara kwa mara wa kumrudisha katika mstari....:A S-rose:




Danzi dada wa maombi... THANK YOU for sharing na nafurahi saizi upo online kuweza share, ni mmoja wa watu adimu hapa.... Mungu akubariki pia...:A S-rose:
 
Asha,awali ya yote nikumwagie misifa mitatu mikuu:
1.Unajituma.Post zaidi ya alfu mbili ndani ya siku 45 si mchezo mwanawane.Wengine tuko humu toka 2008 hata post alfu moja hatuna.
2.Unathamini mamemba wenzio. Ndani ya kipindi kifupi ushamwaga mi semks zaidi ya mia nne na mi likes kibao.Kwa niaba ya ma memba wote nasema senks mmmmmwwwwwaaaaaaaaa!!!!
3. U msikivu. Kuna siku nili ku PM nikakupa ushauri,uliutekeleza.Kusema kweli wakati natuma PM nilidhani ungenipotezea(kwa lugha ya MMU)!

Baada ya utangulizi huo turudi sasa kwenye mada.
Mimi nimeijua JF wakati niko kijiweni napata supu na siku hiyo tukawa tunaongelea skendo ya meremeta,ndo hapo jamaa mmoja akawa anamsifia mtu anaitwa Mwanakijiji kuwa huyo jamaa kwa kumwaga upupu ni hatari.Nikamuuliza 'Mwanakijiji ni nani?' jamaa alinishangaa kweli akaniuliza yaani we Bishanga hujui website ya JamiiForum,humjui Mwanakijiji? Ndo kutokea hapo nikaigugo JF na kwa kuwa lengo lilikuwa ni kumsoma Mwanakijiji basi tokea mwanzo niligota kwenye jukwaa la siasa na nikawa nachangia sana.Lakini kama mnavyolijua jukwaa lile,yataka moyo kudumu pale.Nilipooona maji yamezidi unga ndo nikajimuvuzisha MMU,sijawahi kujutia maamuzi hayo na kusema kweli nikiingia MMU roho yangu inakuwa bariiiiiiidi na kikubwa zaidi kupitia MMU( mambo ya PM) nimeweza kufahamiana hadi kukutana na........................ hadi tukaaaaaaaaaa,,,,,,,,,,,,
Wasalam,
Wako mtiifu
Bishanga Abashaija.
 
Nakumbuka wakati inaitwa JAMBO FORUMS kabla ya misukosuko na kuamua kubadilisha kuwa JAMII FORUMS nilikuwa napita nachungulia ingawa kipindi hicho sikuwa na interest sana.
 
Ahaaa ahaaa Bishanga me Watching You.
 
Dah! Nilifanya mistake nikarusha uzi huki busy kidogo.... naona uzi kidogo utoke out of hand... naamini sasa tuko pamoja!




Bishanga dear umenifurahisha kwa maneno ulonipa hapo juu, inanifanya nifurahi na ni refer katika uzi nilotuma kua sababu za kua JF zaongezeka day by day and minute by minute... Nimecheka in fact kuhusu hayo mambo ya thanks na likes.... naona inachangiwa na the fact kua hua siangalii alotuma post bali naangalia nini kimepostiwa na hicho kikinivutia au niko hapa kwenye key board ikanifanya ni smile, cheka au blush... i really have to give that person a LIKE au THANK YOU pamoja na kusema hawezi jua but hua na appreciate kilichinifurahisha... in special cases hua natoa thanks kwa mtu alonikwaza au nitukana directly kama vile jukwa la International kumuonesha i don't give a damn.... Hata hivyo nashukuru kua hata mimi hupokea....

Kuhusu ku PM, mtu yeyote anae PM kukurekebisha ama kukupa ushauri ina maana anakujali so that you notice tatizo lako, haitakiwi wewe useme Asante hapa... I am the one supposed to say ASANTE and i mean it!

That KISS Bishanga is going to keep me blushing the whole day... ingewezekana nigonge thanks mara mbili katika hio post i would have done that....:hug: please pokea my warm HUG!




Nashukur Bishanga for sharing the real reason na kum acknowledge mwanakijiji - i believe atafurahi, ila usishangae asipokushukuru mana yupo distracted kidogo, roho hake imeibiwa na aelewi kama anataka au lah... you are one of my good friends and i appreciate that... Hua unanichallenge usipokubali (napenda saana) na kukubali na kubofya likes and thanks unapokubalina na mimi.... napenda mtu ambae mnajadili maana haiwezekani kua a person is always rite! Sina Mengi.... THANK YOU

Asha D.
Pamoja Sana.:A S-rose:
 
Afadhali nimejua......!
Thanks partner for this veeeeery usiful thread!


Partner me waiting for your sababu... bado unatafuta post ilo ku inspire??? Kuhusu CPU worry not i kno what he is doing na it is not harmful!
 
Nakumbuka wakati inaitwa JAMBO FORUMS kabla ya misukosuko na kuamua kubadilisha kuwa JAMII FORUMS nilikuwa napita nachungulia ingawa kipindi hicho sikuwa na interest sana.


Hapa sasa tuko pamoja na hapa sasa naweza admit Missed you..... Thank you for sharing..
 
I am out of words Asha,thanks kwa likoment la nguvu!
 
Mimi nilijiunga kwa ajili yako, nilijua tu utakuja JF nikakutangulia.sababu hii haiwezi kuwa ndogo!



lol........lol...........lol............

Naona umeamua M Shossi thankyou for sharing na nitamuarifu Asha D akae chonjo.....:A S 39:
 

I am out of words Asha,thanks kwa likoment la nguvu!
Abegwoo Abegwoo Abegwoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…