AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
- Thread starter
- #261
Mku Asha D,
Karibu sana kwenye jamvi letu hili au kiota au mahala pazuri penye kila aina ya fikra.
Mimi ni mmoja wa wanachama wa mwanzo wakti JF ilipoanzishwa na nina muhtasari wa wasifu wangu hapo juu.
Miaka inavyozidi kwenda napunguza kasi ya kuchangia ufahamu wangu wa mambo hapa kutokana na majukumu mengi kikazi na kifamilia.
Lakini usiwe na wasiwasi ninyi ndio chimbuko jipya la leo (kwenye Jamvi hili) na mimi nipo tayari kuja hapa pale nipatapo nafasi kusaidia kunyoosha mambo.Mimi nacheza mahala pote kwenye michezo, sayansi, teknolojia na current affairs kwahio karibu.
JF ni ngome imara iliyojengwa na wanachama wengi tu wenye fikra mbalimbali, na kwa mantiki hio wanachama kama sisi hatutakuwa tayari kuona hali ya hewa inachafuliwa bila kutafuta "air freshers" za kusafisha.
Maneno ulioandika na the way umeyaandika hata kama usingegusia
kua ni wa mda mrefu lazima ningetupia jicho hapo juu kusoma na kuobserve..
Wewe ni mmoja wa mfano mzuri wa guru wa JF na pia member ambae ni
committed despit the pressures of family and responsibilities za kazi...
Naamini kama wewe Mwenyezi Mungu akijalia iko siku speed itakwama na
kupungua for as we go on mambo yanabadilika... But hata hivyo umejitahidi
mpaka leo upo... 2006 ni mda, members wengine wameacha, wengine wamefariki
wengine BAN na mambo kibao... wewe kuwepo leo ni priviledge moja wapo..
nimenda post yako...
Thank you for sharing...