Kwanini JF?

Kwanini JF?

Mku Asha D,
Karibu sana kwenye jamvi letu hili au kiota au mahala pazuri penye kila aina ya fikra.
Mimi ni mmoja wa wanachama wa mwanzo wakti JF ilipoanzishwa na nina muhtasari wa wasifu wangu hapo juu.
Miaka inavyozidi kwenda napunguza kasi ya kuchangia ufahamu wangu wa mambo hapa kutokana na majukumu mengi kikazi na kifamilia.
Lakini usiwe na wasiwasi ninyi ndio chimbuko jipya la leo (kwenye Jamvi hili) na mimi nipo tayari kuja hapa pale nipatapo nafasi kusaidia kunyoosha mambo.Mimi nacheza mahala pote kwenye michezo, sayansi, teknolojia na current affairs kwahio karibu.
JF ni ngome imara iliyojengwa na wanachama wengi tu wenye fikra mbalimbali, na kwa mantiki hio wanachama kama sisi hatutakuwa tayari kuona hali ya hewa inachafuliwa bila kutafuta "air freshers" za kusafisha.

Maneno ulioandika na the way umeyaandika hata kama usingegusia
kua ni wa mda mrefu lazima ningetupia jicho hapo juu kusoma na kuobserve..
Wewe ni mmoja wa mfano mzuri wa guru wa JF na pia member ambae ni
committed despit the pressures of family and responsibilities za kazi...
Naamini kama wewe Mwenyezi Mungu akijalia iko siku speed itakwama na
kupungua for as we go on mambo yanabadilika... But hata hivyo umejitahidi
mpaka leo upo... 2006 ni mda, members wengine wameacha, wengine wamefariki
wengine BAN na mambo kibao... wewe kuwepo leo ni priviledge moja wapo..
nimenda post yako...

Thank you for sharing...
 
I appreciate that,

Thanks a lot.
 
Nilijiunga JF kwa sababu za kisiasa na mapenzi yangu kwa siasa,nakumbuka kuna mtu aliniuliza umeona thread fulani Jamii Forums,nikamuuliza ndo nini,akaniambia you are not serious kwamba hauko JF.....nikamjibu am serious.....basi akanielekeza nikajiunga lengo likiwa sana siasa.....!!
huh! niliposoma muelekeo wa jukwaa lile nikasema sihitaji stress zaidi ya nilizo nazo,manake kuna kitu kinasemwa unajua ukweli ni upi,ila unaposema ukweli unakuwa kama umechafua moods,nikagundua muelekeo wa jukwaa lile na kuona its impossible to do constructive politics...ni kubomoana tu A-Z.....
nikapata jukwaa la mapenzi,nimejifunza mengi,nimekuwa kiroho na nimepanua ufahamu wangu,zaidi najisikia kuwa useful.....nikapata marafiki wengi na maadui wachache,nikajifunza pia kuna watu mkitofautiana kwa PM,ni bifu kwa thread pia,nikajifunza kuna watu ukiwa friendly wana assume mengine...na namna ya kujadili issues na watu nisiowajua....its crazy but interesting.....!!! Naipenda JF kwa kuwa inanisaidia sehemu ya kazi kwa kunipa taarifa na muelekeo wa walio wengi....Asha,this is a very useful thread!!!

Michelle one of my admirers... nakupongeza kwanza kwa guts ya kugusa that
forum... mimi naangalia nakutoka maana wahusika wenyewe wanavyojibishana
unaona kabisa wanataka kufunga mlango wa forum wapigane!

Nashukuru the fact kua umeona it is a useful thread... THANK YOU...
Nakubaliana na wewe kuhusu finding a home in MMU - I bliv
the thread says it all.... Na kuhusiana na jinsi ya hanling ya watu..
hio nayo ni issue ambayo yahitaji uwe diplomatic hasa wasio elewa...

Thank you for sharing dear..
 
kuna kitu jf ambacho nime notice

kuna members wanaingia kama college vile mnaita class of 2011

au class of 2009

sasa naweza sema hii class ya asha d,lizzy.dena amsi na michelle ni class ya aina yake

very very active na full of substance
 
Zamani nilikuwa spendi siasa sana, ila naona kama JF inataka kuniloga sasa. Halafu lile jukwaa la wakubwa nilidhani kule ndio kulikuwa kwa ma great thinkers wenyewe. Nikawa najiuliza hivi kama watu wanakata issues namna hii kwenye majukwaa ya kawaida, kule lazima itakuwa balaa. Nilidhani kule ni exclusive kwa maprofesa, au watu wenye nafasi nyeti kwenye jamii. JF bwana!!

hahahaha.... Umenikumbusha The Finest..... nadhani ulipoingia ulipigwa shock in areas not good to mention.. i.e the heart.
 
kuna kitu jf ambacho nime notice
kuna members wanaingia kama college vile mnaita class of 2011
au class of 2009
sasa naweza sema hii class ya asha d,lizzy.dena amsi na michelle ni class ya aina yake
very very active na full of substance

The Boss I second the motion ....
 
kuna kitu jf ambacho nime notice

kuna members wanaingia kama college vile mnaita class of 2011

au class of 2009

sasa naweza sema hii class ya asha d,lizzy.dena amsi na michelle ni class ya aina yake

very very active na full of substance

Hahhahaha...soon tutapigwa mtama wakali wakijitokeza!!Can‘t wait to put my hat down...
 
Well for me it was a culmination of many things...I never knew this forum existed(sp) ...then whilst @ site someone called me infact many people called and said they've seen my name listed in jamiiforum siasa thread! By...

Well I just had to get in and see for myself as a guest... I didn't rectify anything but thank God the thread dissapeared whenever I search it, it doesn't come up!

After sometime I started contributing avidly in the same Siasa forum(immediately after elections).....then to my utter dissapointment my brother who is a member here and I guessed his nam..just blurted out my name to my husband ( thank you...revenge...!!)(because this is my real name but only known to my mom and siblings so its not used anywhere even @ home)..I shouldn't have put this engineer thing either I was letting on too much...(Majuto!!), he guessed through the type or style of my writing!!!!

Grrrrr..and my husband had to join and check me out...thinking I don't know his IDentinty... I do! Bwahahahahah!!!hope he's not reading today...maybe I will come back and wipe this out coz that will throw him off.....hahah!!!

All in all, after a days work I just relax here and try to challenge and provoke issues...not yet hooked but getting there...
 
Dah back in the days....... nilikua darhotwire nikaingia young african nikatua JF!! Back when I trully believed a revolution can be started inTZ from a PC!! Dah back in the days, kwenye nchi za watu unaona uchungu kwanini yako iko kama ilivyo!!
Dah the naive hunger and belief of bringing progress overnight!!

Dah asha D umenipeleka mbali!
 
mimi nilipata email ikinialika kuingia Jambo Forum. nilijua ni zile spam staff nikaignore. badae nikakutana na washkaji wakijadili politcs na wakawa wanairefer JF. ikanikumbusha ile email niliyoifuta bila ya kuizingatia. then nikaigugu na kuingia. mwanzoni nilikuwa nasoma tu bila kuchangia chochote japo nilijiunga. ni hivi karibuni tu nimeanza kuchangia seriously baada ya kukubaliana na wadau wengi na hoja zao. the good thing about JF ni kuwa (Walau kwangu mimi) kabla hujachangia hoja, u need to think and digest what you are about to contribute kina mbolea au unaingiza pumba. wapo watu ambao ukiwasoma unajua kabisa wanachochea mijadala zaidi kuliko hizo 'pumba' zinazoonekana on the face value.

JF pia imekuwa sehemu nzuri sana ya kujuana na watu. so far sijawahi kukutana na any member wa JF. But i believe one of these days ntakutana na baadhi yao. i look forward towards that blind 'date' ya JF manake avatars na haya majina viinatoa imagination za ajabu.

Long live JF. one thing i would like to know is, how one would know kama one of us amefariki? we normally send our rambirambi kwa wenzetu waliofiwa, but what about one of us akitutoka, how will we know? Asante Asha D for this very useful thread na hongera sana kwa kuwa such an active member. if there was an award for that, I would have proposed you best budding contributor! you keep the deep thinking and make more thinkers deeper and greater thinkers!
 
Well for me it was a culmination of many things...I never knew this forum existed(sp) ...then whilst @ site someone called me infact many people called and said they've seen my name listed in jamiiforum siasa thread! By...
Well I just had to get in and see for myself as a guest... I didn't rectify anything but thank God the thread dissapeared whenever I search it, it doesn't come up!
After sometime I started contributing avidly in the same Siasa forum(immediately after elections).....then to my utter dissapointment my brother who is a member here and I guessed his nam..just blurted out my name to my husband ( thank you...revenge...!!)(because this is my real name but only known to my mom and siblings so its not used anywhere even @ home)..I shouldn't have put this engineer thing either I was letting on too much...(Majuto!!), he guessed through the type or style of my writing!!!!
Grrrrr..and my husband had to join and check me out...thinking I don't know his IDentinty... I do! Bwahahahahah!!!hope he's not reading today...maybe I will come back and wipe this out coz that will throw him off.....hahah!!!
All in all, after a days work I just relax here and try to challenge and provoke issues...not yet hooked but getting there...

As much as you don't often use the name.. i like it for it is kind of unique..
You have been a member since 2009... not bad at all thus my great
belief is you will still be hanging on.. Personally if somebody close to me
asks if i know about JF, I simply say NO... for if they no they will simply and
eventually find out me despite hiding behind the Avatar...lol... i like the
fact that both of you (hubby) are members... challenging but good..

Thank you for sharing....
 
Kwa mda mrefu nilikuwa nikifanya browsing kwenye internet na kugoogle habari kwa lugha ya kiswahili nilikuwa naletwa kwenye JF,mara sikujua jinsi ya kutumia,nikawa naangalia hoja za kisiasa na sikujua hata jinsi ya kuchangia mana kweli kama hujui sio rahisi kutumia kama site zingine ingawa ndani kumejaa uhondo,nilikuwa naangalia SIASA na JOKES,kweli avatar za watu zilinivutia sana,huwa napenda kutafakari signature za watu zenye upeo wa hali ya juu na fikra tofauti.
 
Dah back in the days....... nilikua darhotwire nikaingia young african nikatua JF!! Back when I trully believed a revolution can be started inTZ from a PC!! Dah back in the days, kwenye nchi za watu unaona uchungu kwanini yako iko kama ilivyo!!
Dah the naive hunger and belief of bringing progress overnight!!

Dah asha D umenipeleka mbali!

I understand and get the feeling... The PC is just a start for
we Tanzanians for we are very used in solving issues peacifuly
adui yako akija home unampikia chai na kukaa nae mezani kuanza solve
matatizo.. wapi na wapi... Iko siku tutakua na guts ya kutumia IDs za kweli
na kua na guts za kumface the true enemy... tusiende huko lakini...
Nashukuru kwa kua nimekukumbusha mbali...

Thank you for sharing..
 
Hahahhaa...pole dearest!!Kumbe watu ugomvi wa ndani wanahamishia nje!!

aaaa dearest,labda we wanakuogopa....kuna thread moja ulianzisha,nafikiri kuhusu masuala ya simu na vitu usivyopenda,basi kuna sehemu nikachomekea watu fulani,i wanted to know how far they can go....l.o.l.....nikagundua watu iko heshimu dearest.....mi waga nacheka tu,na pale inapobidi kugombana basi nagombana poa tu....manake ukishakuwa myonge basi kila mtu atataka akukalie kichwani.....:dance::dance:hujambo lakini dearest Lizzy? umeona comment ya the Boss lakini???
 
Mimi nimeanza nayo tangu inaitwa Jambo forum, actually tangu YA.....so am kind of a legend here

Thanks Asha D....Mi sikumbuki kushawishiwa, niliingia kwa akili na utashi wangu mwenyewe....ndio kusema niliigundua mwenyewe kabla ya hivi vipaza sauti vya siku hizi

Pamoja sana....
 
Kumbe na wewe ni alumnus wa YA? Daaaah aisee...
 
Michelle one of my admirers... nakupongeza kwanza kwa guts ya kugusa that
forum... mimi naangalia nakutoka maana wahusika wenyewe wanavyojibishana
unaona kabisa wanataka kufunga mlango wa forum wapigane!

Nashukuru the fact kua umeona it is a useful thread... THANK YOU...
Nakubaliana na wewe kuhusu finding a home in MMU - I bliv
the thread says it all.... Na kuhusiana na jinsi ya hanling ya watu..
hio nayo ni issue ambayo yahitaji uwe diplomatic hasa wasio elewa...

Thank you for sharing dear..

My dear,hao hata majimboni/familia/kazini wapo tu.....watu wako bitter mpaka unajiuliza what next? na wana direct hiyo bitterness kwa watu ambao si wahusika wa matatizo yao,ila naelewa kwanini wako hivyo, so nimejifunza na nazidi kuwa diplomatic as days go....Lile jukwaa si la kuogopa,sema tu ukishaona hakuna manufaa ya kubishana,unaacha,pale unapoona umuhimu wa kutoa opinion yako unatoa,atakayetukana poa,ukipewa BAN poa pia....si mwisho wa maisha.....!!Nimekuzawadia kwa thread nzuri....!!!
 
mimi nilipata email ikinialika kuingia Jambo Forum. nilijua ni zile spam staff nikaignore. badae nikakutana na washkaji wakijadili politcs na wakawa wanairefer JF. ikanikumbusha ile email niliyoifuta bila ya kuizingatia. then nikaigugu na kuingia. mwanzoni nilikuwa nasoma tu bila kuchangia chochote japo nilijiunga. ni hivi karibuni tu nimeanza kuchangia seriously baada ya kukubaliana na wadau wengi na hoja zao. the good thing about JF ni kuwa (Walau kwangu mimi) kabla hujachangia hoja, u need to think and digest what you are about to contribute kina mbolea au unaingiza pumba. wapo watu ambao ukiwasoma unajua kabisa wanachochea mijadala zaidi kuliko hizo 'pumba' zinazoonekana on the face value. JF pia imekuwa sehemu nzuri sana ya kujuana na watu. so far sijawahi kukutana na any member wa JF. But i believe one of these days ntakutana na baadhi yao. i look forward towards that blind 'date' ya JF manake avatars na haya majina viinatoa imagination za ajabu.

Manumbu that was such an insight and am also thankful that you joined
and you are one of the JF members... Nakubali na yoote uloongea na it explains
why i rarely see your posts... mpaka u digest kwanza - that is good...

Thank you for sharing.....:A S-rose:

Long live JF. one thing i would like to know is, how one would know kama one of us amefariki? we normally send our rambirambi kwa wenzetu waliofiwa, but what about one of us akitutoka, how will we know?

Nimependa saana this part ni ya muhimu mno,
i think something should be done about this...

Asante Asha D for this very useful thread na hongera sana kwa kuwa such an active member. if there was an award for that, I would have proposed you best budding contributor! you keep the deep thinking and make more thinkers deeper and greater thinkers!

Manumbu Asha D appreciates the compliment with pleasure...
This is enough as any reward for you saying that and I am humbled...:humble:
THANK YOU...
 
Kwa mda mrefu nilikuwa nikifanya browsing kwenye internet na kugoogle habari kwa lugha ya kiswahili nilikuwa naletwa kwenye JF,mara sikujua jinsi ya kutumia,nikawa naangalia hoja za kisiasa na sikujua hata jinsi ya kuchangia mana kweli kama hujui sio rahisi kutumia kama site zingine ingawa ndani kumejaa uhondo,nilikuwa naangalia SIASA na JOKES,kweli avatar za watu zilinivutia sana,huwa napenda kutafakari signature za watu zenye upeo wa hali ya juu na fikra tofauti.

Excellent kuna Avatar nyingine kabla hujasoma post inakuchukua
dakika kadhaa ndo usome post... nyingine ukisoma post unarudi kuangalia
Avatar na signature... other zina justify, others...mmmmh! Enways

Thank you for sharing..
 
Mimi nimeanza nayo tangu inaitwa Jambo forum, actually tangu YA.....so am kind of a legend here

Thanks Asha D....Mi sikumbuki kushawishiwa, niliingia kwa akili na utashi wangu mwenyewe....ndio kusema niliigundua mwenyewe kabla ya hivi vipaza sauti vya siku hizi

Pamoja sana....

Hongera kwa kujitambua kua ni legend (not only in that...)
na nakupongeza kwa akili yako ya utashu mpaka leo hii tumeweza
kua members wote JF... naamini you are still having fun na exposure
Plus ma knowledge...

Kaizer Dear Thank you for sharing..
 
Back
Top Bottom