Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hili ni too personal, mtafute ukamshauri. Ni yeye kuamua kwa hiari halazimishwi. Mwacheni mzee wa watu apumzikeJK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
Kwa nini tusiondoe sheria ya kujengea wastaafu nyumba na kulipa mafao ya wake? Hili ndio swali lakoJK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
Huyo hawezi kupumzika!! Sasa hivi kawa msaidizi wa Samia Kitengo cha Safari za njeHili ni too personal, mtafute ukamshauri. Ni yeye kuamua kwa hiari halazimishwi. Mwacheni mzee wa watu apumzike
Mkuu acha roho mbaya, wale ni watanzania kama walivyo wengine na wanastahili kwa mujibu wa katiba.JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
watatumia watoto wake, wajukuu zake, ndugu, jamaa na marafiki zake wenye mahitaji muhimu mbalimbali πJK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
Sawa mjukuu wa Jk lunch wapi leoFikra za kimasikini. Yaani agawe mali zake kuwanufaisha wengine?
Mawazo kama haya ndiyo yanachochea umasikini Tanzania
Katika Mkoa wa Pwani, hakuna Jimbo lenye kuhudumiwa vizuri kama Chalinze.Sawa mjukuu wa Jk lunch wapi leo
Mkuu acha roho mbaya, wale ni watanzania kama walivyo wengine na wanastahili kwa mujibu wa katiba.
Ni jukumu la serikali kujenga shuleni na hospitali kwa ajili ya wananchi, sio la wastaafu.
Nyumba si ni zake, sidhani kama ni sawa kumpangia mtu matumizi ya Mali zake.JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
Hawatoshekagi !JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
Kipengele hicho kiondolewe kwenye katiba,JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
Jogoo mmoja atatosha familia yetu yote, hapo najua hakosekaniKatika Mkoa wa Pwani, hakuna Jimbo lenye kuhudumiwa vizuri kama Chalinze.