ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Mali hazitoshagi mpaka siku ya mwisho wa safari !! 🙏Fikra za kimasikini. Yaani agawe mali zake kuwanufaisha wengine?
Mawazo kama haya ndiyo yanachochea umasikini Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali hazitoshagi mpaka siku ya mwisho wa safari !! 🙏Fikra za kimasikini. Yaani agawe mali zake kuwanufaisha wengine?
Mawazo kama haya ndiyo yanachochea umasikini Tanzania
Badala yake kimeongezwa kingine cha Wenza kupewa mafao ! 🙏Kipengele hicho kiondolewe kwenye katiba,
Kwa sababu wao ndio wao wale wale wenye matamaa ya maisha ambayo kwa kawaida ni maisha mafupi kabisa kabisa ,Kwanini hao wanaowajengea nyumba na kuongeza mafao ya wenza wao wasione umuhimu wa kujenga vyuo na hospitali kusaidia wananchi?
This is AfricaJK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
Kwa sababu wao ndio wao wale wale wenye matamaa ya maisha ambayo kwa kawaida ni maisha mafupi kabisa kabisa ,
Kabisa,maana ni mali yake na familia yakewatatumia watoto wake, wajukuu zake, ndugu, jamaa na marafiki zake wenye mahitaji muhimu mbalimbali 🐒
As if tutaishi milele and as if watoto na wajukuu watakuwa wavivu wavivu wasioweza kujitafutia riziki zao,This is Africa
Wanakwambia n assets
Sisi hasa Tz hatujawah kujua kuwekeza ni nn na aset nn,As if tutaishi milele and as if watoto na wajukuu watakuwa wavivu wavivu wasioweza kujitafutia riziki zao,
Afrika tuna mawazo yetu ya ajabu ajabu .
Roho mbaya tu,Sisi hasa Tz hatujawah kujua kuwekeza ni nn na aset nn,
Uwez kuw na jengo ata kupangisha hutak unasema ni asset.
Uwe kuw na shamban kulima hulima kuwapa watu walimu au kukodi huwez unasema assets
Hana haja ya kuuza,pale Ikulu si ana mtu wake tayari,sema watu wa Pwani siyo watu wa maendeleo,ni watu wa fitina,uvivu,uchawi na roho mbaya.JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
IPO ya Mkapa, mjini kabisa, Dar, pale wanaishi panya tu, Ila inalindwa 24/7, IPO, ya mwinyi Dodoma, area D, 2010,ilikuwa inalindwa na wana jeshi, ni matumizi Malaya Sana, ya, pesa, ya, umma,ukichukua nusu ya ukwasi ya viongozi wastaafu, kuanzia jaji, spika,kwenda juu, unaweza ukajenga hospitsri nyingine kama muhimbili pale Masasi mtwara,JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
Kwa nini wawasaidie wananchi wa maeneo yao ya asili?JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
Ushauri iwapo itawapendeza Waheshimiwa wawasaidie wahitaji kama yatima,wahanga wa majanga asili,kama mafuriko,pale jagwani ,rufiji na wahitaji wengine,wavune baraka kwani hapa duniani soteni wapitaji tuu,na mali zozote zile zitabaki,je zitakuwa zikienselea kukupatia barakaJK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?
mwanadamu hajawahi kuridhika na vile alivyo navyo ndugu, hata angekuwa na dunia nzima. kuna watu hawana hata pa kulala, ila kuna wanadamu wana nyumba hawana hata mtu wa kwenda kulala humo. hii ndio dunia.JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.