Kwanini JK asiuze nyumba aliyojengewa na serikali akajenge chuo, shule au hospitali kule Chalinze?

Fikra za kimasikini. Yaani agawe mali zake kuwanufaisha wengine?

Mawazo kama haya ndiyo yanachochea umasikini Tanzania
Mbona wazungu wanafanya, yani uwezi kukuta Viongozi wa Ulaya wakimiliki Utajiri kupitia pesa za walipa kodi itakuwa wazungu utajir kwao siyo kipaumbele chao kwa watumishi wa umma.
 
Ni matumizi mabaya ya mali za umma na uhujumu uchumu
 
Nashauri ungeweka hoja vizuri. Labda iwe kuna umuhimu wa kumpa kiongozi mkuu nyumba? Kwani marupurupu na kiinua mgongo wanafanyia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…