Kwanini jua, Mwezi, Nyota, vinaelea angani?

Nimekuelewa vizuri sana mkuu.....!!
 
Hahahahaaa.

Na mungu ilikuwa kuwaje hadi akawa mungu?

Alitokea wapi yeye?

Huo uwezo na hizo nguvu zake alizitoa wapi? Nani alimpa? Alijipa mwenyewe?

Ndugu, hapo ndio mwisho wa ufahamu wa mwanadamu.

Mungu alikuwepo, Yupo, na Ataendelea kuwepo.
 
well.

You think that,Mankind is just the same as Computer program operated By binary codes,that were Once Designed By God.
But unfortunately,you're Analogy will no longer be Applied,if we'll take theological consideration Into Account

In Roughly speaking,Computer can't Do Anything unless you Give it An Instruction via various programs
If Humans are Merely Computer program that were Designed By God,then Why there is Heaven and Hell?

Because Even codes of Doing Good and Evil would Also be Originated From God,since Computer can't Do anything without Instruction,then Mankind will Never be Punished for Doing Evil?
 
Hahahahaaa.

Na mungu ilikuwa kuwaje hadi akawa mungu?

Alitokea wapi yeye?

Huo uwezo na hizo nguvu zake alizitoa wapi? Nani alimpa? Alijipa mwenyewe?

Aione Eiyer na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Naona wewe unataka ujibiwe ni mungu wako ndio uridhike.
Nani kakwambia nataka jibu hili???

Hahaha ndo lengo lake hilo, kama ni hivyo basi hata kabla ya mungu kuna kitu kilichokuwepo, atuambie ni nani hiyo, ukimpa sababu hii anauliza kabla ya hiyo ilikuwa nini
Wew ndiye umesema hivyo utuambie ni kitu gani hicho.

Aione Eiyer na wengineo
Huyu mingu unayemzungumzia hapa siye mwenye sifa ya kuwepo kabla ya chochoye.siye muumba.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha ndo lengo lake hilo, kama ni hivyo basi hata kabla ya mungu kuna kitu kilichokuwepo, atuambie ni nani hiyo, ukimpa sababu hii anauliza kabla ya hiyo ilikuwa nini

Hakika umegusa penyewe mi nilitaka twende tu tungefika tu.
 
Hahaha ndo lengo lake hilo, kama ni hivyo basi hata kabla ya mungu kuna kitu kilichokuwepo, atuambie ni nani hiyo, ukimpa sababu hii anauliza kabla ya hiyo ilikuwa nini

Hata mimi nimemshtukia
 
Mkuu mbona Hueleweki?Upo upande gani sasa?
kuwa na Msimamo basi hata Mataira wana Msimamo pia

Au wewe ndiyo wale wanaoamini kuwa kuna tofauti Kati ya "'MUNGU"' na "'mungu"?

Acha kutetemeka embu msaidie mwenzio.kasema

Kuna nguvu ya uvutano inayoshikilia sayari katika umbali tofauti bila bughudha, hii inazalishwa na kasi ya mzunguko wa sayari kuzunguka jua.well

Niambie sayari zinapata wapi kasi ya kuzunguka jua????na mwezi pia.

Habari ya mungu au Mungu tuiache kwanza.
 
Mkuu unakusudia kusema nini, kwamba kwa kila kinachoshangaza ktk ufundi na ujuzi basi kinamuanzilishi/mjuzi wake ?????????

Binafsi naamini hiv labda uniambie hata sebure inaweza jipamba yenyewe na kupendeza pasipo mtashi kishiriki.
 
Ha ha haaaa. Wanasayansi bwana.....At the beginning there was nothing and then pwaaaa it erupted! Aaaaargh!!!
 
Binafsi naamini hiv labda uniambie hata sebure inaweza jipamba yenyewe na kupendeza pasipo mtashi kishiriki.

Hahahaha..!

sababu nyingine zinachekesha sana,kwahiyo Mkuu mkorinto unaamini kuwa Kitu chochote kilichopangiliwa kwa Ustadi Mkubwa Lazima kiwe na Fundistadi aliyekipanga?
Wewe umetoa Mfano wa sebure,wengine wanatoa Mfano wa DNA lakini Point yao Moja..so Nijibu swali langu Hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…