einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,674
Narrow-minded thread.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa vizuri sana mkuu.....!!Hahahaahaa.
You sound like me there!
Ifikie mahali binadamu tukubali tu kuwa mpaka sasa kuna mambo hatuyajui ila tunajitahidi kwa kiasi fulani kuutafuta ukweli wake.
Hizo habari za bing bang kwangu haziingii kabisa akilini.
Kwa sababu mpaka sasa hatuujui ukweli ndo maana huwa tunadhani na kusadiki tu juu ya mambo flani flani.
Mimi nimeshakubali kuwa binadamu mpaka sasa kuna mambo hatuyajui lakini kutokuyajua huko hakutufanyi ndo tuache kabisa kuendelea kujaribu kuutafuta ukweli.
Hahahahaaa.
Na mungu ilikuwa kuwaje hadi akawa mungu?
Alitokea wapi yeye?
Huo uwezo na hizo nguvu zake alizitoa wapi? Nani alimpa? Alijipa mwenyewe?
By:Nullpointer
Ok tunaweza sema its just a theory and not proven, still what if we are just a computer simulation? A very advanced computer ambayo imetengenezwa na a more intelligent race, and we think we have free will but in reality its all just mathematical expressions? How would we know? Shouldn't we call God whoever wrote the code that runs us?
Nani kakwambia nataka jibu hili???Naona wewe unataka ujibiwe ni mungu wako ndio uridhike.
Wew ndiye umesema hivyo utuambie ni kitu gani hicho.Hahaha ndo lengo lake hilo, kama ni hivyo basi hata kabla ya mungu kuna kitu kilichokuwepo, atuambie ni nani hiyo, ukimpa sababu hii anauliza kabla ya hiyo ilikuwa nini
Huyu mingu unayemzungumzia hapa siye mwenye sifa ya kuwepo kabla ya chochoye.siye muumba.Aione Eiyer na wengineo
Hahaha ndo lengo lake hilo, kama ni hivyo basi hata kabla ya mungu kuna kitu kilichokuwepo, atuambie ni nani hiyo, ukimpa sababu hii anauliza kabla ya hiyo ilikuwa nini
Hakika umegusa penyewe mi nilitaka twende tu tungefika tu.
Hahaha ndo lengo lake hilo, kama ni hivyo basi hata kabla ya mungu kuna kitu kilichokuwepo, atuambie ni nani hiyo, ukimpa sababu hii anauliza kabla ya hiyo ilikuwa nini
Mkuu mbona Hueleweki?Upo upande gani sasa?
kuwa na Msimamo basi hata Mataira wana Msimamo pia
Au wewe ndiyo wale wanaoamini kuwa kuna tofauti Kati ya "'MUNGU"' na "'mungu"?
Hata mimi nimemshtukia
Mkuu unakusudia kusema nini, kwamba kwa kila kinachoshangaza ktk ufundi na ujuzi basi kinamuanzilishi/mjuzi wake ?????????
Ha ha haaaa. Wanasayansi bwana.....At the beginning there was nothing and then pwaaaa it erupted! Aaaaargh!!!Who was there Before the Bing-bang?Your Question Doesn't Make any sense
I'll not Going Deep into technical details But this is what I know.
All stuff In Our universe came After Bing bang and Not moment before.
space,Matter,Energy and Even time all those Existed after Big bang during Plack's Epoch,nothing was there Before BB
In Addition,there was no time before BB For your the so called Creator to Create
In that sense,Our Universe is self-creator,Pop into Existence without cause
so Don't Ask for cause of the Universe Again..!
Ha ha haaaa. Wanasayansi bwana.....At the beginning there was nothing and then pwaaaa it erupted! Aaaaargh!!!
Inashangaza kwa kweli kila kitu kina source bwana isipokua Mungu
Inashangaza kwa kweli kila kitu kina source bwana isipokua Mungu
Binafsi naamini hiv labda uniambie hata sebure inaweza jipamba yenyewe na kupendeza pasipo mtashi kishiriki.
Science inahusika na HOW not WHY.