Kwanini Jukwaa kama hili hakuna wazee wa busara maana uku kuna vijana wa ovyo, malezi zero

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu.
..Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana.

👇
Lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu wanatokea familia za aina gani ? utagundua familia hizo ni za walevi au baba alikimbia familia akabaki mama au mama alikimbia akabaki baba, na baba nae akawamlevi watoto wakakuwa kwa style hiyo ya kujilea. Katika maisha ya kujilea kuna mambo mengi sana hasa pale unapokumbana na changamoto.

Mtoto kuvumilia changamoto inakuwa ngumu tofauti na mtu mzima, pia mwanamke nae sio kiumbe cha kuvumilia changamoto ndo maana familia nyingi za zamani kidogo kama mwanaume alikimbia familia utakuta mwanamke ni dangaa la kijiji kama wa mjini danga la mjini.... sasa hapo unategemea mtoto atakuwa wa aina gani kama mama ake ni mdangaji?.

Hizi familia zilizalisha watoto wengi wahuni majambazi..waliojaliwa na kubarikiwa na kuyavumilia kwasasa wanapambana sana maana walikopitia hawatamani watoto wao au kizazi chao kije kurudi kule. Watoto ni watoto tu hakuna mtoto anayeshindikana kwa mzazi.

👤 Utasikia ili toto ni jeuri.. mtoto anakuwa jeuri kwasababu we ndo ulimwandaa kuwa jeuri..kwa kipindi fulani , toto linatukana wakubwa au watoto wenzie umkanyi unajichekesha we unafikiria nini au unatengeneza motto wa aina gani?.

Me sishangai hata kwa viongozi tulionao kwasasa maana wote wametoka kwenye jamii ona wanapopata madaraka wanajipa ukuu wanasahau aliyetuumba wanajisahau. Malezi ni kitu muhimu sana kwa watoto wetu.

Sisi tulipigwa..kwanini watoto wetu tusiwapige ...mwanao huwezi kumuadhibu kama mnyama.. watu ambao uwaga wanatoa vipigo vya ajabu ni kutokana na watu wenye (hasira kali kama asili ya familia au ulevi)

....... HITIMISHO.......
Mabadiliko yanayoonekana kwenye malezi nikutokana na jamii nyingi kujikita kwenye utafutaji wa pesa/maisha na kusahau kuwa kuna viumbe vinahitaji kupata elimu ya maisha. Kingine wanawake wengi nao wako bize kutafuta pesa hichi kitu kimekuja kubadili mfumo mzima wa malezi kwasababu gani ? mwanamke (mama)ndo mtu wa karibu na motto ila kwasasa hivi mtu wa karibu na mtoto ni Dada wa kazi(nyumbani).

Mwanamke kufanya kazi masaa sawa na mwanaume hili nalo ni tatizo,tushakuwa na kizazi ambacho mama na mtoto wanapashana habari za mabwana wapya.
.....

👤 PENDEKEZO KWA WAAJIRI /SERIKALINI AU WATU BINAFSI.

👤 Mwanamke kama kaolewa asifanye kazi muda sawa na mwanaume ili apate muda wa kuongea na mtoto na kumfunza kitu. Ila baba anarudi saa moja jion mama saa moja jion dooh Taifa linaenda hatarini.

👤 MALEZI NI FULSA KWA SASA TANZANIA.
........ chochote unaweza changia......
 
Hakika Mkuu
 
Nimempa hela, nataka bandari zangu, mengine mtajuana wenyewe. Mbona Ngorongoro mmenipa freshi tu. Nimeshasema ntawaletea tende na kifaa cha kuangalia mwezi shida iko wapi?
 
Tundu Lissu keshaachiwa, mapambano yanaendekea.
 
Back
Top Bottom