Kwanini kabla ya tendo unampenda sana, ukishamaliza unataka kurudi kwako?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kuna hii tabia unakuwa na hamu sana kabla ya tendo halafu baada ya kumaliza ghafla hata ile hamu ya kumuona mwanamke inapungua, tumetoa wapi?

Naangalia hata kwa wanyama kina simba madume mengi baada ya mating yanaonekana kama maisha yanaendelea tu Hakuna habari za romance wala nini.sawa hao huwa wanangonoka kwa ajili ya kuzaliana tu ila akimaliza tu ndukiiiii

Sasa nikajiuliza, hii ni nature ya madume ambayo tumeibeba mpaka sisi binadamu, au ni psychology yetu tu?

Maana kabla ya kushenyetana unafanya kila kitu, simu, message, mipango kibao ukipata Mali tu ghafla akili inarudi

Najua kuna kitu kinaitwa refractory period ambapo hamu hushuka baada ya orgasm, lakini je hiyo inaelezea mpaka kupungua kwa interest kwa mtu mwenyewe?

Au hapo ndipo tofauti ya tamaa na kumpenda mtu kweli inapoonekana?

Wajuzi wa biology na psychology mtupe elimu. Unachukua namba vzr kwa daladala Una isave unafika gheto unakula nyeto hapohapo akili Zina rudi namba unaifuta haina maana tena unaiona kama DANGER
 
Kampeni na bakshish hukoma uchaguzi ukiisha
1791066101575.jpg
 
Akili za nyege zinaponza. Unaweza kupata hata magonjwa yasiyo na jina sababu ya nyege.
 
Kuna hii tabia unakuwa na hamu sana kabla ya tendo halafu baada ya kumaliza ghafla hata ile hamu ya kumuona mwanamke inapungua, tumetoa wapi?

Maana kabla ya kushenyetana unafanya kila kitu, simu, message, mipango kibao ukipata Mali tu ghafla akili inarudi
Kuna wanawake hata umtiindue mara ngapi, ukimtupia tu macho unamtamani tena...

Cc: Mahondaw
 
Kama mlikutana kwa mihemko ya nyege lazima iwe hvy
 
Kuna hii tabia unakuwa na hamu sana kabla ya tendo halafu baada ya kumaliza ghafla hata ile hamu ya kumuona mwanamke inapungua, tumetoa wapi?

Naangalia hata kwa wanyama kina simba madume mengi baada ya mating yanaonekana kama maisha yanaendelea tu Hakuna habari za romance wala nini.sawa hao huwa wanangonoka kwa ajili ya kuzaliana tu ila akimaliza tu ndukiiiii

Sasa nikajiuliza, hii ni nature ya madume ambayo tumeibeba mpaka sisi binadamu, au ni psychology yetu tu?

Maana kabla ya kushenyetana unafanya kila kitu, simu, message, mipango kibao ukipata Mali tu ghafla akili inarudi

Najua kuna kitu kinaitwa refractory period ambapo hamu hushuka baada ya orgasm, lakini je hiyo inaelezea mpaka kupungua kwa interest kwa mtu mwenyewe?

Au hapo ndipo tofauti ya tamaa na kumpenda mtu kweli inapoonekana?

Wajuzi wa biology na psychology mtupe elimu. Unachukua namba vzr kwa daladala Una isave unafika gheto unakula nyeto hapohapo akili Zina rudi namba unaifuta haina maana tena unaiona kama DANGER
Umeumbwa kuhisi,kutumia,kutosheka,kusaza, kusahau na ukomo.Tafakari hapo mkuu.
 
Jibu....ni aina mojawapo ya UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
 
Back
Top Bottom