Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Nitakufa nikiwa lofa lakini sitathubutu kumpenda MUUAJI yeyote duniani.
 
Anachukiwa kwasababu labda kuna kitu anasupport na watu hawakipendi
 
jiwe linapewa mbinu na PK zilizo outdeted ammbazo hazikuisaidia Rwanda mwanzoni wakt pk anachukua nchi.
ila sababu ni jiwe kwa watu wake ukiwa binadamu mweye akili huwezi kuzungumza na jiwe maana kazi ya jiwe ni kutumiwa tu kama pk anavyofanya afu mtu anakuja kuuliza kwa nini pk anachukiwa ?
 
Mleta theread ni Mnyarwanda tena Mtutsi NCHI anaita INCHI, NG'OMBE anaita NGOMBE.....kifupi Kagame anachukiwa kwanza anaongozs kwa mkono wa chuma ukionyesha utofauti unapotezwa,pia ukabila kauongezea chuki serikali ya Rwanda ni ya Kitutsi mpaka akalizimisa ile GENOCIDE COMMEMORATION ijulikane kama mauaji ya kimbali dhidi watutsi mpaka ikaleta mvutano na UN,mwisho ikakubalika kuwa wote waliuana Kagame ni Mkabila pia anaongoza kama Gaddaf alivyoongoza Libya!watanzania wanamchukia kwakuwa ana- missread Rais wetu Na anawaua wanajeshi wetu walioko DRC Atunabudi lazima tumchukie pia alimdharau Rais wetu wa awamu ya 4 for no reasons hivyo kwetu ni adui wa Tanzania.
 
Mkuu mi nilikutana na mmoja bonde la Kilombero, ndani ndani kabisa ukipita Mlimba kuna kibarabara nadhani kinaenda kutokea Songea. Anapasua mbao na kulima mpunga! Nilijiuliza maswali mengi sana. Jamaa aliniambia alijipa miaka 5 ya kutengeneza pesa ndio arudi kwao!
 
Kama anaiba kwa ajili ya inchi yake , huyo ni shujaa,

Na Hadi anaiba , tz iko wapi , inamaana bado tumelala
Mwambie aendelee kuiba .tutawamaliza .salamu keshazipata .aache kulialia
 
Halafu jw wetu 14 walipigwa chuma Kule Congo kisa mhuni mmoja tu....kama vipi jiwe nae akaze aache kumchekea...wakienda kule DRC wawachape kwelikweli
 
Kama wanyarwanda wanampenda , wewe unamchukia wa nini ?

Kwani Ni inchi yako ile
 
Kama wanyarwanda wanampenda , wewe unamchukia wa nini ?

Kwani Ni inchi yako ile
Huna hoja majority rwanda wanamchukia sema wanaogopa na wasio ogopa akina Victoria Ngabire ndo hivyo sekeseke lake tunalishuudia.
 
Nenda Rwanda kisha urudi.

utupe mrejesho Tena
 
You are not Tanzanian. Nina majina kama kumi ya jf members ambao nawafahamu kama wanyarwanda humu na wewe ukiwa ktk list.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…