Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagame Njoo huku jitetee kwanini sisi wabongo hatukupendi?
Inchi-nchi
Mubaya-mbaya.
Mtutsi uliejaribu sana kujificha katika uandishi wako ila umefeli.pelekeni chuki zenu huko huko
Lakini kusema ukweli jamaa n mjanja sana, anaipenda nchi yake, kapandikiza vibaraka kila sehem, nilishangaa siku moja huko Rufiji kuna jamaa anajifanya mkulima wa mihogo Ikwiriri lakini kasoma hadi chuo kuuliza uraia wake na asili ya jina lake ni Mnyarwanda pure nikajiuliza inakuaje mnyarwanda analima tena mihogo porini anatafuta nini kama si u spy... halafu wengi wao wameoa wabongo ili tu kutupeleleza sisi
Mwambie aendelee kuiba .tutawamaliza .salamu keshazipata .aache kulialiaKama anaiba kwa ajili ya inchi yake , huyo ni shujaa,
Na Hadi anaiba , tz iko wapi , inamaana bado tumelala
Kama wanyarwanda wanampenda , wewe unamchukia wa nini ?Mleta theread ni Mnyarwanda tena Mtutsi NCHI anaita INCHI, NG'OMBE anaita NGOMBE.....kifupi Kagame anachukiwa kwanza anaongozs kwa mkono wa chuma ukionyesha utofauti unapotezwa,pia ukabila kauongezea chuki serikali ya Rwanda ni ya Kitutsi mpaka akalizimisa ile GENOCIDE COMMEMORATION ijulikane kama mauaji ya kimbali dhidi watutsi mpaka ikaleta mvutano na UN,mwisho ikakubalika kuwa wote waliuana Kagame ni Mkabila pia anaongoza kama Gaddaf alivyoongoza Libya!watanzania wanamchukia kwakuwa ana- missread Rais wetu Na anawaua wanajeshi wetu walioko DRC Atunabudi lazima tumchukie pia alimdharau Rais wetu wa awamu ya 4 for no reasons hivyo kwetu ni adui wa Tanzania.
Huna hoja majority rwanda wanamchukia sema wanaogopa na wasio ogopa akina Victoria Ngabire ndo hivyo sekeseke lake tunalishuudia.Kama wanyarwanda wanampenda , wewe unamchukia wa nini ?
Kwani Ni inchi yako ile
Huyu atakuwa kule wanaposikiliza radio Kwizerawewe ni mtanzania wa wapi?
Nenda Rwanda kisha urudi.Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi
Angalieni , katika inchi za Afrika au duniani kote , Ni raisi gani amefanikiwa katika kuiletea maendeleo inchi yake ?
Amewaunganisha wanyarwanda wote , makabira ya Rwanda yote ni wamoja na wanampenda Sana kagàme , hiii Ni kupitia kampeni yake iliyoitwa SOTE NI WANYARWANDA.. na Sasa umoja na mshikamano vinaonekana
Amaefanikisha kumaliza rushwa katika inchi yake , ambapo inchi nyingine zimeshindwa kabisa ..
Elimu Ni Bora kuliko inchi yoyote , mfano kila mtoto ana laptop yake , pia kuonesha ubora wake wa elimu , Tanzania imeazima wataalamu wa IT kutoka rwanda
Anatengeneza ndege zisizotumia rubani maalufu Kama DRONES , na ndizo zinatumika kusambaza madawa inchini
Amewagawia wanyarwanda Ngombe na kuwajengea nyumba nzuri
Ameitangaza rwanda kupitia timu ya kubwa ya England ya ARSENAL kupitia VISIT RWANDA, Leo kila mtu duniani anaulizia RWANDA , watalii wanaongezeka kila kukicha ((nitawaletea takwimu )
Kwakweli Mimi siyo mnyarwanda ila nimependa uongozi wa huyu mjeshi , Ni uongozi unaotakiwa kuigwa na watawala wengine , na tukipata kiongozi wa hivi hata akitawala milele ni sawa tu ..
Angalia Burundi , imepitia matatizo sawa na RWANDA , lakin kimaendeleo na usalama bado iko nyuma Sana , hii Ni kwasababu ya kiongozi mubovu
Nawaomba watanzania wenzangu , tuache chuki binafsi juu ya Paul Kagàme , acha achape kazi kwa ajili ya watu wake ,
Anawaoenda watu wake na watu wake wanampenda Sana , Ni wachahe Sana mainterahamwe ndio hawampendi ,
Kiongozi Bora hawezi kukaa kimya akiona watu wake wanauawa , Ni kiongozi mpumbavu Sana anayeweza kuona watu wake wananyanyaswa na akakaa kimya ..!!
KAGAME ni kiongozi wa watu , na ingewezekana tungefanya awe rais wa Afrika ,
Acheni chuki za kipuuzi
Woman, you don't know what you are talking about.Long may he reign PK walahi
Mijitu masikini ya fikra na mwili ni shida sana walahi
You are not Tanzanian. Nina majina kama kumi ya jf members ambao nawafahamu kama wanyarwanda humu na wewe ukiwa ktk list.Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi