Kwa kuanzia inatia moyo , mi nakumbuka nimeanza kutumia kompyuta nikiwa pale mlimani udsm , nilipata shida Sana kutumia mouce , na siyo Mimi tu , tuko wengi SanaMAHORO, hili jina tu linatosha kutoa utambulisho wako Mkuu!! Kwahiyo sishangai haya uliyoandika hapa mkuu! Halafu ubora wa elimu haupimwi kwa kugawia watoto laptop mkuu, tafakari.
Siyo kweli , mbona yule Dada ameshaachiwaUmesahau hii hapa , AMEUWA NA KUFUNGA KILA MNYARWANDA ANAYEMPINGA .
wangapi amewafufua baada ya kuwauwa ? kijana kumtetea Kagame unapaswa kuwa mwehu kwanzaSiyo kweli , mbona yule Dada ameshaachiwa
amaharo ni amani kwa kiswahili kwahiyo msimzingue sana huyu umukunda igihugu
yes amahoro stadium huu nadhani uko remera,KigaliNa uwanja wao wa taifa unaitwa Amahoro Stadium.
Umesahau hii hapa , AMEUWA NA KUFUNGA KILA MNYARWANDA ANAYEMPINGA .
dunia nzima inajuaWananchi hawana amani pale kabisa, jamaa anatumia jeshi kutekeleza manbo yake
Uwe unaacha uongo mkuu, wametengeneza drones lini? Zile zilizofanyiwa majaribio hazikutengenezwa Rwanda, saa nyingine uongo wenu ndo unafanya tumchukieNimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi
Angalieni , katika inchi za Afrika au duniani kote , Ni raisi gani amefanikiwa katika kuiletea maendeleo inchi yake ?
Amewaunganisha wanyarwanda wote , makabira ya Rwanda yote ni wamoja na wanampenda Sana kagàme , hiii Ni kupitia kampeni yake iliyoitwa SOTE NI WANYARWANDA.. na Sasa umoja na mshikamano vinaonekana
Amaefanikisha kumaliza rushwa katika inchi yake , ambapo inchi nyingine zimeshindwa kabisa ..
Elimu Ni Bora kuliko inchi yoyote , mfano kila mtoto ana laptop yake , pia kuonesha ubora wake wa elimu , Tanzania imeazima wataalamu wa IT kutoka rwanda
Anatengeneza ndege zisizotumia rubani maalufu Kama DRONES , na ndizo zinatumika kusambaza madawa inchini
Amewagawia wanyarwanda Ngombe na kuwajengea nyumba nzuri
Ameitangaza rwanda kupitia timu ya kubwa ya England ya ARSENAL kupitia VISIT RWANDA, Leo kila mtu duniani anaulizia RWANDA , watalii wanaongezeka kila kukicha ((nitawaletea takwimu )
Kwakweli Mimi siyo mnyarwanda ila nimependa uongozi wa huyu mjeshi , Ni uongozi unaotakiwa kuigwa na watawala wengine , na tukipata kiongozi wa hivi hata akitawala milele ni sawa tu ..
Angalia Burundi , imepitia matatizo sawa na RWANDA , lakin kimaendeleo na usalama bado iko nyuma Sana , hii Ni kwasababu ya kiongozi mubovu
Nawaomba watanzania wenzangu , tuache chuki binafsi juu ya Paul Kagàme , acha achape kazi kwa ajili ya watu wake ,
Anawaoenda watu wake na watu wake wanampenda Sana , Ni wachahe Sana mainterahamwe ndio hawampendi ,
Kiongozi Bora hawezi kukaa kimya akiona watu wake wanauawa , Ni kiongozi mpumbavu Sana anayeweza kuona watu wake wananyanyaswa na akakaa kimya ..!!
KAGAME ni kiongozi wa watu , na ingewezekana tungefanya awe rais wa Afrika ,
Acheni chuki za kipuuzi
dunia nzima inajua
ndio inakoelekeaKwanini wasimfanye kama wale wa nchi za mafuta walivyo fanywa
ndio inakoelekea
Huyo mtu ndio anamuendesha huyu wa kwetu, amemshika mashikio.Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi
Angalieni , katika inchi za Afrika au duniani kote , Ni raisi gani amefanikiwa katika kuiletea maendeleo inchi yake ?
Amewaunganisha wanyarwanda wote , makabira ya Rwanda yote ni wamoja na wanampenda Sana kagàme , hiii Ni kupitia kampeni yake iliyoitwa SOTE NI WANYARWANDA.. na Sasa umoja na mshikamano vinaonekana
Amaefanikisha kumaliza rushwa katika inchi yake , ambapo inchi nyingine zimeshindwa kabisa ..
Elimu Ni Bora kuliko inchi yoyote , mfano kila mtoto ana laptop yake , pia kuonesha ubora wake wa elimu , Tanzania imeazima wataalamu wa IT kutoka rwanda
Anatengeneza ndege zisizotumia rubani maalufu Kama DRONES , na ndizo zinatumika kusambaza madawa inchini
Amewagawia wanyarwanda Ngombe na kuwajengea nyumba nzuri
Ameitangaza rwanda kupitia timu ya kubwa ya England ya ARSENAL kupitia VISIT RWANDA, Leo kila mtu duniani anaulizia RWANDA , watalii wanaongezeka kila kukicha ((nitawaletea takwimu )
Kwakweli Mimi siyo mnyarwanda ila nimependa uongozi wa huyu mjeshi , Ni uongozi unaotakiwa kuigwa na watawala wengine , na tukipata kiongozi wa hivi hata akitawala milele ni sawa tu ..
Angalia Burundi , imepitia matatizo sawa na RWANDA , lakin kimaendeleo na usalama bado iko nyuma Sana , hii Ni kwasababu ya kiongozi mubovu
Nawaomba watanzania wenzangu , tuache chuki binafsi juu ya Paul Kagàme , acha achape kazi kwa ajili ya watu wake ,
Anawaoenda watu wake na watu wake wanampenda Sana , Ni wachahe Sana mainterahamwe ndio hawampendi ,
Kiongozi Bora hawezi kukaa kimya akiona watu wake wanauawa , Ni kiongozi mpumbavu Sana anayeweza kuona watu wake wananyanyaswa na akakaa kimya ..!!
KAGAME ni kiongozi wa watu , na ingewezekana tungefanya awe rais wa Afrika ,
Acheni chuki za kipuuzi
Huyu jamaa ni myarwanda tena ni mtusi.wewe ni mtanzania wa wapi?
hachukiwi ila anahofiwaHuyu jamaa ni myarwanda tena ni mtusi.
Kiswahili sio cha mtanzania wala mkenya.
Kagame namkubali sana tena sana ila kuna mambo hapo yameongezwa chumvi na mleta mada.
Kagame ni mtu wa maendeleo na ni mdau mzuri wa kutekeleza masuala ya uhuru wa biashara na ajira kwa wakazi wa nchi zote za EAC.
Nakumbuka kipindi cha mwisho cha JK Rwanda walikuwa wanatoa ufadhili wa elimu ya masters na kuendelea kwenye mambo ya ICT kupitia tawi la chuo kikuu cha kimarekani kinachoitwa The Carnigie Melon University lililopo Rwanda.
Ufadhili zaidi ya $10,000 kwa mwanafunzi yeyote toka nchi za EAC, fedha hizo ni toka serikali ya Rwanda au tuseme walipa kodi wa Rwanda.
Raisi gani EAC aliwahi kufanya utu na undugu kama huo? Labda mzee Nyerere (R.I.P), nasema tena labda..
Kipindi hicho hicho mwana EAC yeyote mwenye sifa alikuwa anaruhusiwa kufanya kazi Rwanda bila usumbufu kama Mnyarwanda tu.
Chuki zingine dhidi ya Kagame ni za kupandikizwa na watu wanaodhania kushindwa kwao kisiasa au kiuchumi ni sababi ya Rwanda hasa Kagame.