Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

MAHORO, hili jina tu linatosha kutoa utambulisho wako Mkuu!! Kwahiyo sishangai haya uliyoandika hapa mkuu! Halafu ubora wa elimu haupimwi kwa kugawia watoto laptop mkuu, tafakari.
Kwa kuanzia inatia moyo , mi nakumbuka nimeanza kutumia kompyuta nikiwa pale mlimani udsm , nilipata shida Sana kutumia mouce , na siyo Mimi tu , tuko wengi Sana
 
Bado ni mkabila wa chinichini, bado anawasideline wahutu kwenye nafasi nyeti, hata scholarship kwa wanafunzi wa Kinyarwanda nje ya nchi wengi ni Watutsi na Wahutu ni mmoja mmoja sana

Pili badala ya kujenga Misingi ya kitaasisi kwa nchi yake ili hata kama yeye hayupo nchi isonge, ameijenga Rwanda around him, yeye ndo Taifa na Taifa ndo yeye!, hii ni hatari sana kwa mustakbali wa Taifa hilo, maana yake ni kwamba mafanikio yake mengi ni house of cards anytime yanaporomoka kwa sababu hayajajengwa juu ya misingi ya Taasisi imara, bali juu ya Strongman

Hakubali kuapologise kwa matendo ya kidhalimu ambayo askari wa RPF walifanya katika makambi ya Wakimbizi huko Congo etc, ambapo vikosi vya serikali mpya ya waasi ya rwanda (kagame akiwa miongoni mwao) kuvamia na kuua wakimbizi wengi sana.

Ni muonevu, anaonea wapinzani wake wa kisiasa, yaani mwanaume mzima anaenda kuonea mwanamke eti kwa sababu kabinti kale kanataka kugombea uraisi, hii ni aibu. haheshimu demokrasia, anadhani yeye ndiyo Rwanda na Rwanda ni yeye

Vitu hivi vyote vinahatarisha mustakbali mzuri wa ndugu zetu Wanyarwanda ndiyo maana simkubali Mr Slim Tall
 
Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi

Angalieni , katika inchi za Afrika au duniani kote , Ni raisi gani amefanikiwa katika kuiletea maendeleo inchi yake ?

Amewaunganisha wanyarwanda wote , makabira ya Rwanda yote ni wamoja na wanampenda Sana kagàme , hiii Ni kupitia kampeni yake iliyoitwa SOTE NI WANYARWANDA.. na Sasa umoja na mshikamano vinaonekana

Amaefanikisha kumaliza rushwa katika inchi yake , ambapo inchi nyingine zimeshindwa kabisa ..

Elimu Ni Bora kuliko inchi yoyote , mfano kila mtoto ana laptop yake , pia kuonesha ubora wake wa elimu , Tanzania imeazima wataalamu wa IT kutoka rwanda

Anatengeneza ndege zisizotumia rubani maalufu Kama DRONES , na ndizo zinatumika kusambaza madawa inchini

Amewagawia wanyarwanda Ngombe na kuwajengea nyumba nzuri

Ameitangaza rwanda kupitia timu ya kubwa ya England ya ARSENAL kupitia VISIT RWANDA, Leo kila mtu duniani anaulizia RWANDA , watalii wanaongezeka kila kukicha ((nitawaletea takwimu )

Kwakweli Mimi siyo mnyarwanda ila nimependa uongozi wa huyu mjeshi , Ni uongozi unaotakiwa kuigwa na watawala wengine , na tukipata kiongozi wa hivi hata akitawala milele ni sawa tu ..

Angalia Burundi , imepitia matatizo sawa na RWANDA , lakin kimaendeleo na usalama bado iko nyuma Sana , hii Ni kwasababu ya kiongozi mubovu

Nawaomba watanzania wenzangu , tuache chuki binafsi juu ya Paul Kagàme , acha achape kazi kwa ajili ya watu wake ,

Anawaoenda watu wake na watu wake wanampenda Sana , Ni wachahe Sana mainterahamwe ndio hawampendi ,

Kiongozi Bora hawezi kukaa kimya akiona watu wake wanauawa , Ni kiongozi mpumbavu Sana anayeweza kuona watu wake wananyanyaswa na akakaa kimya ..!!

KAGAME ni kiongozi wa watu , na ingewezekana tungefanya awe rais wa Afrika ,

Acheni chuki za kipuuzi
Uwe unaacha uongo mkuu, wametengeneza drones lini? Zile zilizofanyiwa majaribio hazikutengenezwa Rwanda, saa nyingine uongo wenu ndo unafanya tumchukie
 
Bora tu maana vi9ngozi wa vyama v8ngine wanateseka sana pale, kama kuna dada mmoja mpinzani alifabyiwa mambo ya ajabu sana yeye hadi wazazi wake , eti kisa tu kusema ukweli uvundo wa serekali
ndio inakoelekea
 
Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi

Angalieni , katika inchi za Afrika au duniani kote , Ni raisi gani amefanikiwa katika kuiletea maendeleo inchi yake ?

Amewaunganisha wanyarwanda wote , makabira ya Rwanda yote ni wamoja na wanampenda Sana kagàme , hiii Ni kupitia kampeni yake iliyoitwa SOTE NI WANYARWANDA.. na Sasa umoja na mshikamano vinaonekana

Amaefanikisha kumaliza rushwa katika inchi yake , ambapo inchi nyingine zimeshindwa kabisa ..

Elimu Ni Bora kuliko inchi yoyote , mfano kila mtoto ana laptop yake , pia kuonesha ubora wake wa elimu , Tanzania imeazima wataalamu wa IT kutoka rwanda

Anatengeneza ndege zisizotumia rubani maalufu Kama DRONES , na ndizo zinatumika kusambaza madawa inchini

Amewagawia wanyarwanda Ngombe na kuwajengea nyumba nzuri

Ameitangaza rwanda kupitia timu ya kubwa ya England ya ARSENAL kupitia VISIT RWANDA, Leo kila mtu duniani anaulizia RWANDA , watalii wanaongezeka kila kukicha ((nitawaletea takwimu )

Kwakweli Mimi siyo mnyarwanda ila nimependa uongozi wa huyu mjeshi , Ni uongozi unaotakiwa kuigwa na watawala wengine , na tukipata kiongozi wa hivi hata akitawala milele ni sawa tu ..

Angalia Burundi , imepitia matatizo sawa na RWANDA , lakin kimaendeleo na usalama bado iko nyuma Sana , hii Ni kwasababu ya kiongozi mubovu

Nawaomba watanzania wenzangu , tuache chuki binafsi juu ya Paul Kagàme , acha achape kazi kwa ajili ya watu wake ,

Anawaoenda watu wake na watu wake wanampenda Sana , Ni wachahe Sana mainterahamwe ndio hawampendi ,

Kiongozi Bora hawezi kukaa kimya akiona watu wake wanauawa , Ni kiongozi mpumbavu Sana anayeweza kuona watu wake wananyanyaswa na akakaa kimya ..!!

KAGAME ni kiongozi wa watu , na ingewezekana tungefanya awe rais wa Afrika ,

Acheni chuki za kipuuzi
Huyo mtu ndio anamuendesha huyu wa kwetu, amemshika mashikio.
 
wewe ni mtanzania wa wapi?
Huyu jamaa ni myarwanda tena ni mtusi.
Kiswahili sio cha mtanzania wala mkenya.

Kagame namkubali sana tena sana ila kuna mambo hapo yameongezwa chumvi na mleta mada.

Kagame ni mtu wa maendeleo na ni mdau mzuri wa kutekeleza masuala ya uhuru wa biashara na ajira kwa wakazi wa nchi zote za EAC.

Nakumbuka kipindi cha mwisho cha JK Rwanda walikuwa wanatoa ufadhili wa elimu ya masters na kuendelea kwenye mambo ya ICT kupitia tawi la chuo kikuu cha kimarekani kinachoitwa The Carnigie Melon University lililopo Rwanda.

Ufadhili zaidi ya $10,000 kwa mwanafunzi yeyote toka nchi za EAC, fedha hizo ni toka serikali ya Rwanda au tuseme walipa kodi wa Rwanda.

Raisi gani EAC aliwahi kufanya utu na undugu kama huo? Labda mzee Nyerere (R.I.P), nasema tena labda..

Kipindi hicho hicho mwana EAC yeyote mwenye sifa alikuwa anaruhusiwa kufanya kazi Rwanda bila usumbufu kama Mnyarwanda tu.

Chuki zingine dhidi ya Kagame ni za kupandikizwa na watu wanaodhania kushindwa kwao kisiasa au kiuchumi ni sababu ya Rwanda hasa Kagame.
 
Huyu jamaa ni myarwanda tena ni mtusi.
Kiswahili sio cha mtanzania wala mkenya.

Kagame namkubali sana tena sana ila kuna mambo hapo yameongezwa chumvi na mleta mada.

Kagame ni mtu wa maendeleo na ni mdau mzuri wa kutekeleza masuala ya uhuru wa biashara na ajira kwa wakazi wa nchi zote za EAC.

Nakumbuka kipindi cha mwisho cha JK Rwanda walikuwa wanatoa ufadhili wa elimu ya masters na kuendelea kwenye mambo ya ICT kupitia tawi la chuo kikuu cha kimarekani kinachoitwa The Carnigie Melon University lililopo Rwanda.

Ufadhili zaidi ya $10,000 kwa mwanafunzi yeyote toka nchi za EAC, fedha hizo ni toka serikali ya Rwanda au tuseme walipa kodi wa Rwanda.

Raisi gani EAC aliwahi kufanya utu na undugu kama huo? Labda mzee Nyerere (R.I.P), nasema tena labda..

Kipindi hicho hicho mwana EAC yeyote mwenye sifa alikuwa anaruhusiwa kufanya kazi Rwanda bila usumbufu kama Mnyarwanda tu.

Chuki zingine dhidi ya Kagame ni za kupandikizwa na watu wanaodhania kushindwa kwao kisiasa au kiuchumi ni sababi ya Rwanda hasa Kagame.
hachukiwi ila anahofiwa
 
Mtoa mada ni mtutsi
Paulo tunampenda ila Tabia yake ya kibeberu hatuipendi
 
Back
Top Bottom