Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Vua kiatu tuone kama mguu wako una uvungu
 

Oparesheni tokomeza sijui iliwezaje kuwaacha wahamiaji haramu kama wewe.

Mwenyewe waweza kudhani unajuwa kuongea na kuandika kiswahili kumbe mwandiko wako unatowa utambulisho wewe siyo Mtanzania.
Angalia hayo uliyoyaandika siyo mwandiko wa Kitanzania,
"Wanavyomutukana" = wanavyomtukana.
"Wakimuponda" = Wakimponda.
"Hawamupendi" = Hawampendi.

Ziko njia nyingi rahisi sana za kuwakamata wahamiaji haramu hata kwa muandiko tu.

Mcongoman hawezi kuita ng'ombe ataita ngombe, mmakonde wa msumbiji sigara sports hawezi kuitamka atatamka chigara chipoti.

Sasa na wewe mtutsi uliyejifunza kiswahili usidhani huwezi kutambulika unakuja kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe.

Hima Empire yenu haina nafasi katika Taifa letu, no any Cockroach who can be double Agent here.
 
Anachota Congo anajenga kwake! Angekuwa mwema pia kwa waafrika wenzie tungemwita taa ya Afrika! Utajiri kwa damu za wanyonge ulishapitwa na wakati
 
Na ndio anahusika na umwagaji wa damu Congo kwa asilimia kubwa,Mkwere ndio alikuwa kiboko yake maana majeshi yetu ndio yalikuwa yanamuweza!
 
Nimeona sehemu juzi kati kafyatua makombora ya maana,nikajua ile kitu itakua na maana yake!kiufupi huyu jamaa asianzishe vita na taifa llt ukanda huu,maana atajikuta anapigana na nchi za zaidi ya 2 plus waasi hapo mapema tu watu watakua waahammaliza
 
Ukiona Kagame hapendwi na watanzania ujue hata jiwe hapendwi....uongozi wa jiwe ni purely wa PK na nimarafiki haswaa....
Ndio maana kila leo wajeda wetu wanauawa Congo,hapati kashikashi kama enzi za Mkwere,naw anajilia kiulaini! Ila nnachompendea ni MTU wa stratejia na intrerejensia Sana kama hutumii akili ngumu kumuelewa,maraisi wengi wa Afrika kawakamata ufahamu,ndio maana alipogundua kuwa kikwazo pekee kilikuwa ni Mkwere na jeshi letu alivyoingia Jiwe kamkamata faster
 
Acha kutumia neno cocroach , pumbavu kabisa ,
Suala la lugha siyo kigezo Cha kuniita mkimbizi , wengine hatujazaliwa mujini
 
Interahamwe wewe
 
Nimeona sehemu juzi kati kafyatua makombora ya maana,nikajua ile kitu itakua na maana yake!kiufupi huyu jamaa asianzishe vita na taifa llt ukanda huu,maana atajikuta anapigana na nchi za zaidi ya 2 plus waasi hapo mapema tu watu watakua waahammaliza
kumbuka tanzania lzm iwe upande wa slim hyo ni lzm sababu tz ya sasa sio ya ukombozi now ni tz ya uchumi wa kati ifikapo 2025 rwanda anafaida zaid kwa tanzania
 
Kuna siku nilikwambia wewe ni Mnyarwanda ukabaki kutoa macho, sasa leo nimeprove kuwa wewe ni Mnyarwanda, hii "user" name yako ni ya kinyarwanda...
 
Kijiografi kinamna yyt ile rwanda na Tanzania zitafaidika kwa pa1 hata akija rais mwingine,yan hata slim boy aking'oka akija rais mwingine lzm atashirikiana na Tanzania,kikubqa tu kwa ss slim boy asijaribu kujifanya yuko against TZ,ataondolewa mchana kweupe na waasi
kumbuka tanzania lzm iwe upande wa slim hyo ni lzm sababu tz ya sasa sio ya ukombozi now ni tz ya uchumi wa kati ifikapo 2025 rwanda anafaida zaid kwa tanzania
 
Anajifanya mjuaji sana,hata hao wakuitwaga mitume hawakupendwa na watu wote,yeye ni Nani miaka 10 kiuongozi ni mingi,achia ngazi waachie wengine nao Watawale
Nalog off
 
Kawambie walio kutuma Kuwa umefikisha ujumbe but cdhani wewe Kuwa Ni mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…