Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Ni kweli.hachukiwi ila anahofiwa
Basi tuseme ni chuki itokanayo na woga. Anachukiwa sababu anaogopwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli.hachukiwi ila anahofiwa
Ni sawa na mtoto anayeogopa kutembea usiku kisa kasimuliwa hadithi ya majini/anaogopa kukutana nayoNi kweli.
Basi tuseme ni chuki itokanayo na woga. Anachukiwa sababu anaogopwa.
[emoji3][emoji3][emoji3]Inchi-nchi
Mubaya-mbaya.
Mtutsi uliejaribu sana kujificha katika uandishi wako ila umefeli.pelekeni chuki zenu huko huko
Vua kiatu tuone kama mguu wako una uvunguNimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi
Angalieni , katika inchi za Afrika au duniani kote , Ni raisi gani amefanikiwa katika kuiletea maendeleo inchi yake ?
Amewaunganisha wanyarwanda wote , makabira ya Rwanda yote ni wamoja na wanampenda Sana kagàme , hiii Ni kupitia kampeni yake iliyoitwa SOTE NI WANYARWANDA.. na Sasa umoja na mshikamano vinaonekana
Amaefanikisha kumaliza rushwa katika inchi yake , ambapo inchi nyingine zimeshindwa kabisa ..
Elimu Ni Bora kuliko inchi yoyote , mfano kila mtoto ana laptop yake , pia kuonesha ubora wake wa elimu , Tanzania imeazima wataalamu wa IT kutoka rwanda
Anatengeneza ndege zisizotumia rubani maalufu Kama DRONES , na ndizo zinatumika kusambaza madawa inchini
Amewagawia wanyarwanda Ngombe na kuwajengea nyumba nzuri
Ameitangaza rwanda kupitia timu ya kubwa ya England ya ARSENAL kupitia VISIT RWANDA, Leo kila mtu duniani anaulizia RWANDA , watalii wanaongezeka kila kukicha ((nitawaletea takwimu )
Kwakweli Mimi siyo mnyarwanda ila nimependa uongozi wa huyu mjeshi , Ni uongozi unaotakiwa kuigwa na watawala wengine , na tukipata kiongozi wa hivi hata akitawala milele ni sawa tu ..
Angalia Burundi , imepitia matatizo sawa na RWANDA , lakin kimaendeleo na usalama bado iko nyuma Sana , hii Ni kwasababu ya kiongozi mubovu
Nawaomba watanzania wenzangu , tuache chuki binafsi juu ya Paul Kagàme , acha achape kazi kwa ajili ya watu wake ,
Anawaoenda watu wake na watu wake wanampenda Sana , Ni wachahe Sana mainterahamwe ndio hawampendi ,
Kiongozi Bora hawezi kukaa kimya akiona watu wake wanauawa , Ni kiongozi mpumbavu Sana anayeweza kuona watu wake wananyanyaswa na akakaa kimya ..!!
KAGAME ni kiongozi wa watu , na ingewezekana tungefanya awe rais wa Afrika ,
Acheni chuki za kipuuzi
mmekumbuka kwenuThere is thin line between hate and love, most of kagame haters are loosers and genocide perpetrators
Safi Sana mkuu, wee una mawazo Kama yangu , kiukweli hata Mimi namuheshimu Sana kagàme,
Nachukia Sana watu wanavyomutukana Sana humu jf kana kwamba hakuna anachokifanya ,
Nkurunziza na Burundi yake Hari yake ni mbaya lakin sijawahi kuona humu wakimuponda ,
Nimegundua watu hawamupendi kwasababu ya maendeleo anayopiga
Hilo halitotokea kamwe.Utatoweka kwanza wewe
Na ndio anahusika na umwagaji wa damu Congo kwa asilimia kubwa,Mkwere ndio alikuwa kiboko yake maana majeshi yetu ndio yalikuwa yanamuweza!hata mm simpendi kwasababu anajifanya mbabe,kumbuka alivyoleta unnecessary beef na prezident kikwete sababu tu alimshauri wakae chini na waasi wazungumze,vilevile alichukia baada wanajeshi walinda amani wa UN from tanzania walivyopelekwa kongo kagame hakufurahi na ilipelekea kutengeneza fitina na kuunda east africa yenye nchi 3 kenya,rwanda na uganda lkn kwa bahati mbaya ule umoja ulisambaratika baada ya kagame kutoelewana na mu7
Nimeona sehemu juzi kati kafyatua makombora ya maana,nikajua ile kitu itakua na maana yake!kiufupi huyu jamaa asianzishe vita na taifa llt ukanda huu,maana atajikuta anapigana na nchi za zaidi ya 2 plus waasi hapo mapema tu watu watakua waahammalizaKwenye elimu kafanikiwa vipi? Asilimia kubwa ya wasomi wake wamesoma Tanzania
Kagame hachukiwi Bali anaambiwa ukweli ni mtu wa kulialia anapobanwa kende na anafikiri EAC ni kama Kigali na wanyarwanda wanaombia walale saaa 12 jioni na wanatekeleza
PK ni mtoto mdogo ila anataka kuleta sharubu zake kwa baba zake .
Atafumuliwa
Ndio maana kila leo wajeda wetu wanauawa Congo,hapati kashikashi kama enzi za Mkwere,naw anajilia kiulaini! Ila nnachompendea ni MTU wa stratejia na intrerejensia Sana kama hutumii akili ngumu kumuelewa,maraisi wengi wa Afrika kawakamata ufahamu,ndio maana alipogundua kuwa kikwazo pekee kilikuwa ni Mkwere na jeshi letu alivyoingia Jiwe kamkamata fasterUkiona Kagame hapendwi na watanzania ujue hata jiwe hapendwi....uongozi wa jiwe ni purely wa PK na nimarafiki haswaa....
Acha kutumia neno cocroach , pumbavu kabisa ,Oparesheni tokomeza sijui iliwezaje kuwaacha wahamiaji haramu kama wewe.
Mwenyewe waweza kudhani unajuwa kuongea na kuandika kiswahili kumbe mwandiko wako unatowa utambulisho wewe siyo Mtanzania.
Angalia hayo uliyoyaandika siyo mwandiko wa Kitanzania,
"Wanavyomutukana" = wanavyomtukana.
"Wakimuponda" = Wakimponda.
"Hawamupendi" = Hawampendi.
Ziko njia nyingi rahisi sana za kuwakamata wahamiaji haramu hata kwa muandiko tu.
Mcongoman hawezi kuita ng'ombe ataita ngombe, mmakonde wa msumbiji sigara sports hawezi kuitamka atatamka chigara chipoti.
Sasa na wewe mtutsi uliyejifunza kiswahili usidhani huwezi kutambulika unakuja kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe.
Hima Empire yenu haina nafasi katika Taifa letu, no any Cockroach who can be double Agent here.
Interahamwe weweOparesheni tokomeza sijui iliwezaje kuwaacha wahamiaji haramu kama wewe.
Mwenyewe waweza kudhani unajuwa kuongea na kuandika kiswahili kumbe mwandiko wako unatowa utambulisho wewe siyo Mtanzania.
Angalia hayo uliyoyaandika siyo mwandiko wa Kitanzania,
"Wanavyomutukana" = wanavyomtukana.
"Wakimuponda" = Wakimponda.
"Hawamupendi" = Hawampendi.
Ziko njia nyingi rahisi sana za kuwakamata wahamiaji haramu hata kwa muandiko tu.
Mcongoman hawezi kuita ng'ombe ataita ngombe, mmakonde wa msumbiji sigara sports hawezi kuitamka atatamka chigara chipoti.
Sasa na wewe mtutsi uliyejifunza kiswahili usidhani huwezi kutambulika unakuja kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe.
Hima Empire yenu haina nafasi katika Taifa letu, no any Cockroach who can be double Agent here.
kumbuka tanzania lzm iwe upande wa slim hyo ni lzm sababu tz ya sasa sio ya ukombozi now ni tz ya uchumi wa kati ifikapo 2025 rwanda anafaida zaid kwa tanzaniaNimeona sehemu juzi kati kafyatua makombora ya maana,nikajua ile kitu itakua na maana yake!kiufupi huyu jamaa asianzishe vita na taifa llt ukanda huu,maana atajikuta anapigana na nchi za zaidi ya 2 plus waasi hapo mapema tu watu watakua waahammaliza
kumbuka tanzania lzm iwe upande wa slim hyo ni lzm sababu tz ya sasa sio ya ukombozi now ni tz ya uchumi wa kati ifikapo 2025 rwanda anafaida zaid kwa tanzania
Kawambie walio kutuma Kuwa umefikisha ujumbe but cdhani wewe Kuwa Ni mtanzaniaNimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi