Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu sio mtzNi Mtutsi mwenzake
huwezi Tumikia mabwana wawiliWadau wa humu jf ,l
Nashukuru wote kwa jinsi mlivyichangia ,
Nimeona wengi bado mna chuki na kagàme ,
Nawaomba tuondoe chuki binafsi , tuongee uhalisia wa mtu ,
Binafsi namkubali Sana kagàme , hata rais wangu magufuli pia namkubali Sana
Utakufa wewe kabla yakeHuyo fala tu... Kiukweli simpendi jinsi anavowatesa wapinzani tu! Kitakufa tu soon
In praise of blood.Pumba wewe hufai
Kwa hiyo Russia wanamsifu trump sio?Mbona watu wanamsifia Trump hatuwaiti eti Ni wamarekani ??
Kumsifia tu kagàme eti mnanipa uraia wa rwanda wakati mi mtanzania,
Na kabira pia mnanipa jipya kabisa
Nini maana ya umaskini??????????Wanyarwanda munapenda kujisifia, lakini maskini wa kutupwa na watu dhaifu sana.
Mimi sitaki kutukana , maana sioni faida yoyote..Haya makosa mengine ni ya viongozi wetu huwezi kuwapa uraia hawa cockroach hii ndo pay back sasa wanatupa humu jf....mtoa mada ni mtutsi aishie Tanzania upande wa Kagera huko sasa kuishi kwake miaka kadhaa anajiona ni mtanzania.. Stupid
Mimi sitaki kutukana , maana sioni faida yoyote..
Lakin huu ubaguzi ulishapitwa na wakati
Kumbuka tu nyie ni watu mnao amini katika monolithic society(TUTSI) hamjifunzi inatoka moyoni hata uzuge utajulikana tu.Mbona watu wanamsifia Trump hatuwaiti eti Ni wamarekani ??
Kumsifia tu kagàme eti mnanipa uraia wa rwanda wakati mi mtanzania,
Na kabira pia mnanipa jipya kabisa
Mkapa was the best na ilikuwa hacheki na kima na alishakiri blunder zake ubinafsishajiMi naona ni kawaida rais akiwa madarakani kutopendwa.enzi za jk hapa tz hakupendwa kabisa,amekuja jpm tena kwa kuendesha nchi kama vile maoni na mawazo yawatu yalivyohitaji ktk utawala wa jk maana walidai jk ni dhaifu tunahitaji rais imara kama kagame. Wtz wengi waliishabikia upande wa kagame kipindi jk akikwaruzana nae. DRC Burundi,Uganda hawapendwi pia huko kwako hata humu jf lilipoungua ghala LA kuhifadhia vifaa vya uchaguzi wengi walituhumu ni mbinu ya kabila tu lkn uchaguzi u pale pale tofauti na ilivyozaniwa baada ya moto kuunguza.kabla kaweka mgombea labda anayemwamini nalo kosa tena kumbe ni mkakati labda wa kuepuka vibaraka kushika nchi(Rwanda+western countries) USA nako kulikua na maandamano ya kumpinga trump pia france. Nchi nyingi zilizotulia zisizo za kibepari ni za mkono wa chuma. Mswati kakaa mda mrefu wala haitwi majina mabaya labda anakidhi matakwa ya mabepari.UKIWAKIONGOZI ONGOZA TU VILE UNAONA INAFAA usipotezwe miruzi. Labda ni asili ya wanadamu kupinga pinga.
Eti democracy. Kamtoe malikia wa uingereza basiasa kama amewaunganisha ao manyarwanda ndo akiuke democracy? nchi iliyo ya wazi na ukweli lazima democracy iwepo bila figisu figusi
Interahamwe hawajaisha tu ?Kumbuka tu nyie ni watu mnao amini katika monolithic society(TUTSI) hamjifunzi inatoka moyoni hata uzuge utajulikana tu.
kweli mnakaa juu ya historia ya GENOCIDE VS TUTSI?As if journey to Kigali ilikuwa ibada ya kusifu?
tafadhari ..ni vema mkatafuta slogan nyingine hii yenu ...ni kama kujipalilia makaa ya moto vichwani mwenu.
Ni hatua njema kumwachia Kizito na Ingambire na wengine sasa muwalipe..anzisheni mahakama huru mashahidi aina ya kina Judi Rever waacheni wasimame mshindane kwa hoja...ondoene kinga za kushitakiwa kwa maslahi ya vizazi vyenu...labda jirani zetu mna mkataba na Mungu bilashaka..lakini naamini kuna watu hata mimi tunafunga na kuliombea taifa lenu yasije jitokeza ya 1990~2013.
Mkiendelea nyie na sie pia...kusifia watu wenye walakini ni kama kujitwika nira ambayo siku moja tutahukumiwa kwa kukaa kimywa.
najua inyenzi mpo madarakani...please..Mahoro should not be your name ....what about igihuteInterahamwe hawajaisha tu ?
Haya bananajua inyenzi mpo madarakani...please..Mahoro should not be your name ....what about igihute