Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Huyo fala tu... Kiukweli simpendi jinsi anavowatesa wapinzani tu! Kitakufa tu soon
 
Wadau wa humu jf ,l
Nashukuru wote kwa jinsi mlivyichangia ,
Nimeona wengi bado mna chuki na kagàme ,
Nawaomba tuondoe chuki binafsi , tuongee uhalisia wa mtu ,
Binafsi namkubali Sana kagàme , hata rais wangu magufuli pia namkubali Sana
huwezi Tumikia mabwana wawili
 
Mbona watu wanamsifia Trump hatuwaiti eti Ni wamarekani ??

Kumsifia tu kagàme eti mnanipa uraia wa rwanda wakati mi mtanzania,

Na kabira pia mnanipa jipya kabisa
 
Haya makosa mengine ni ya viongozi wetu huwezi kuwapa uraia hawa cockroach hii ndo pay back sasa wanatupa humu jf....mtoa mada ni mtutsi aishie Tanzania upande wa Kagera huko sasa kuishi kwake miaka kadhaa anajiona ni mtanzania.. Stupid
 
Mimi sitaki kutukana , maana sioni faida yoyote..

Lakin huu ubaguzi ulishapitwa na wakati
 
Mimi ukiniambia siyo mtutsi hujanibagua ila umesema ukweli. Wewe kuambiwa kuwa ni mtutsi uishie mipakani unahisi umebaguliwa??? Ungeitwa banyamulenge je?
Mimi sitaki kutukana , maana sioni faida yoyote..

Lakin huu ubaguzi ulishapitwa na wakati
 
Mbona watu wanamsifia Trump hatuwaiti eti Ni wamarekani ??

Kumsifia tu kagàme eti mnanipa uraia wa rwanda wakati mi mtanzania,

Na kabira pia mnanipa jipya kabisa
Kumbuka tu nyie ni watu mnao amini katika monolithic society(TUTSI) hamjifunzi inatoka moyoni hata uzuge utajulikana tu.
kweli mnakaa juu ya historia ya GENOCIDE VS TUTSI?As if journey to Kigali ilikuwa ibada ya kusifu?
tafadhari ..ni vema mkatafuta slogan nyingine hii yenu ...ni kama kujipalilia makaa ya moto vichwani mwenu.
Ni hatua njema kumwachia Kizito na Ingambire na wengine sasa muwalipe..anzisheni mahakama huru mashahidi aina ya kina Judi Rever waacheni wasimame mshindane kwa hoja...ondoene kinga za kushitakiwa kwa maslahi ya vizazi vyenu...labda jirani zetu mna mkataba na Mungu bilashaka..lakini naamini kuna watu hata mimi tunafunga na kuliombea taifa lenu yasije jitokeza ya 1990~2013.
Mkiendelea nyie na sie pia...kusifia watu wenye walakini ni kama kujitwika nira ambayo siku moja tutahukumiwa kwa kukaa kimywa.
 
Mi naona ni kawaida rais akiwa madarakani kutopendwa.enzi za jk hapa tz hakupendwa kabisa,amekuja jpm tena kwa kuendesha nchi kama vile maoni na mawazo yawatu yalivyohitaji ktk utawala wa jk maana walidai jk ni dhaifu tunahitaji rais imara kama kagame. Wtz wengi waliishabikia upande wa kagame kipindi jk akikwaruzana nae. DRC Burundi,Uganda hawapendwi pia huko kwako hata humu jf lilipoungua ghala LA kuhifadhia vifaa vya uchaguzi wengi walituhumu ni mbinu ya kabila tu lkn uchaguzi u pale pale tofauti na ilivyozaniwa baada ya moto kuunguza.kabla kaweka mgombea labda anayemwamini nalo kosa tena kumbe ni mkakati labda wa kuepuka vibaraka kushika nchi(Rwanda+western countries) USA nako kulikua na maandamano ya kumpinga trump pia france. Nchi nyingi zilizotulia zisizo za kibepari ni za mkono wa chuma. Mswati kakaa mda mrefu wala haitwi majina mabaya labda anakidhi matakwa ya mabepari.UKIWAKIONGOZI ONGOZA TU VILE UNAONA INAFAA usipotezwe miruzi. Labda ni asili ya wanadamu kupinga pinga.
 
Mkapa was the best na ilikuwa hacheki na kima na alishakiri blunder zake ubinafsishaji
 
Kumbuka tu nyie ni watu mnao amini katika monolithic society(TUTSI) hamjifunzi inatoka moyoni hata uzuge utajulikana tu.
kweli mnakaa juu ya historia ya GENOCIDE VS TUTSI?As if journey to Kigali ilikuwa ibada ya kusifu?
tafadhari ..ni vema mkatafuta slogan nyingine hii yenu ...ni kama kujipalilia makaa ya moto vichwani mwenu.
Ni hatua njema kumwachia Kizito na Ingambire na wengine sasa muwalipe..anzisheni mahakama huru mashahidi aina ya kina Judi Rever waacheni wasimame mshindane kwa hoja...ondoene kinga za kushitakiwa kwa maslahi ya vizazi vyenu...labda jirani zetu mna mkataba na Mungu bilashaka..lakini naamini kuna watu hata mimi tunafunga na kuliombea taifa lenu yasije jitokeza ya 1990~2013.
Mkiendelea nyie na sie pia...kusifia watu wenye walakini ni kama kujitwika nira ambayo siku moja tutahukumiwa kwa kukaa kimywa.
Interahamwe hawajaisha tu ?
 
Mtoa mada ni bogus sana, hujui kuwa huyo Kagame ndiye aliyemuua Fred Rwigyema, Juvenal Habyerimana, Patrick Karegeya na wengine wengi.

Unamshabikia mtu ambaye hataki kusikia kitu demokrasia na ni majuzi tu wazungu wamemlazimisha awaachilie akina mama wale Ingabire Victoire, Dianne Rwigara na Mama yake.

Ni mtu wa ovyo na anayejiona "Indispensable" ktk nchi ya Rwanda. Amebadilisha katiba ili atawale milele.

In fact, I don't see any value in somebody who wants to perpetuate himself in power while hiding behind genocide. Kagame has outstayed his welcome in office and it's high time he quit, development can be brought by anybody and not necessarily Kagame, after all, he is an ordinary mortal just like others. Down with your post.
 
Mtu unapendwa namna hiyo na watu wako unao waongoza (kama unavyo taka tuamini) sasa ulinzi mkubwa namna ile ndani ya nchi yake mwenyewe ni wa nini!? I mean una hofia nini ili hali watu wako wanakupenda!? Eti kafuta UKABILA Rwanda; una uhakika!? Wahutu hadi kesho wanabaguliwa tu, sema anapendwa na Watutsi wenzie. Wanyarwanda hata kujadiri siasa tu hawatakiwi, labda hujawahi kukaa nao, mambo mengi ya Kagame may be unayasikia tu, humfahamu vizuri au laa wewe utakua either Mtutsi au Muha na au Mhaya mwenye asili ya Kitutsi, sio vinginevyo
 
Back
Top Bottom