Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.
Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.
Je, kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?
Muda utaongea