Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Saada Mkuya the food of pipoWatanzania mlivyo wanafiki. Mafuta ya petroli na dizeli kila siku yanapanda bei na chanzo ni huyo mpiga dili na kundi lake kupandisha bei ya usafirishaji kwa kisingizio Cha kuwapa wazawa tenda. Mama Samia amemtumbua mnaanza kutengeneza majungu.
Inshort toka zamani niliona anabebwa na Mwendazake. Umeme vijijini kazi kubwa ilifanywa na Profesa Muhongo. Huyu ndie aliyehakikisha nyaya zenye umeme mkubwa kufika vijijini na sehemu kubwa kuwekewa mita na kufungiwa umeme kwa ufadhiri wa Wamarekani.
Ndiye aliyeweka tozo ya umeme vijijini kwenye mafuta kipindi cha Jakaya akishirikiana na Waziri wa fedha yule mwanamama.