Kwanini Kalemani na Chamuriho? Je, ni kuvunja mtandao?

Kwanini Kalemani na Chamuriho? Je, ni kuvunja mtandao?

Hazikufungwa za akina Kalamagi,Tibajiuka,Chenge.ufunge account za Kalemani kaiba Nini?
Chuki na fitina zenu hazitawafikisha popote.
Hapana shaka hakuna utawala utadumu milele.
Zifungwe na zichunguzwe, akakae safe house miezi 6, muweka hazina wa sukuma gang kwa ajili ya 2025
 
mimi ni mfadhili wa Chadema , natoa pesa zangu kuhakikisha Tanzania inapata uhuru , sikumbuki mwaka niliokuwa na njaa , ni tajiri ambaye nina makazi africa na America
Ha ha ha, tajiri mwenzangu umeamua ufunguke kabisa yaani...
 
Mwaka 2025 hatuwezi kuongozwa na wazanzibari. Yaani Mzanzibari atawale Zanzibar halafu tena Mzanzibari atawale Tanganyika, hilo halipo.
Mliwabania wazanzibari , eti si lazima kupokezana,, bila kudra za mungu wazanzibar wasingeweza kamwe kuja kuwa rais wa jamhuri ya muungano,,
Mungu nae kumbe akapanga yake,, wabara tuweni wapole, tumeshika hicho kiti kwa miaka zaidi ya 25,, bila wazanzibar kulalamika
 
Kwa nini asigombee 2025? Lazima atagombea ili kuleta heshima kwa akina mama. Na ni lazima atashinda uchaguzi mkuu wa 2025. Mwaka 2030 atamwachia mwanamke mwingine shupavu kushika nafasi hiyo nyeti ya urais kwa miaka mingine 10 hadi 2040. Naye ataachia mwanamke mwingine na kadhalika. Ni zami ya akina mama nao kujinafsi kama ambavyo wanaume walivyofanya tangia tupate uhuru. Haya mambo ni ccm tu ndiyo inayaweza.

Tax huenda
 
Sisi kanda ya ziwa tunachukulia hii issue kama discrimination against watu wa lake zone na off course January hawezi kuwa bora kuliko Dr. Medard. Tutakutana 2025. Huo uHangaya kama mnadhani ni wa kiukweli you will get to know that you were conned during the next elkection. Matogoro was the best minister ever. Unampigia hakufahamu na anapokea simu na kuifantia kazi hapo hapo. He was so good na amefanya kazi kwa nguvu zake zote. Tukutane 2025.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Tutawanyosha 2025...
 
mimi ni mfadhili wa Chadema , natoa pesa zangu kuhakikisha Tanzania inapata uhuru , sikumbuki mwaka niliokuwa na njaa , ni tajiri ambaye nina makazi africa na America

Wewe kama ni chawa wa mtu huwezi kutuelewa , endelea na imani yako

Hakuna hela ya bure duniani. Na kama unaishi nje ya Afrika utajua kuwa Kodi inakula sana mapato. So kuchezea hela kwa biashara halali it’s out of question. Ungekuwa mhalisia ungejenga tu shule na Vyuo. Hospital nk. Na ukaweka bei ndogo kwa kuwa unafiidia na mapato yako ya „ America na Afrika „.

If you are a not a Robot, then Unajua na mi najua kuwa hawa wanasiasa, 85% wanaanza na malengo Yao binafsi. So huo ‚uhuru‘ unaousema Sijui wa aina gani na Nani atauleta. Unaonekana una mahaba na unakimbia Uhalisia. Tazama watanzania. Ishi nao. Utajua Shida Yao KUBWA wala sio Siasa.

Watanzania wengi tunamiss uhalisia wa maisha. Elimu yetu lazima ibadilike. Malezi yetu. Umissiontown uko karibu kwa kila mtz. Kufizia muda wa kula keki ya Taifa. Ni Tz tu wanajenga watu nyumba bila Mikopo ya kulipa Karibu maisha yote. Marekani Unajua kabisa watu wanaishi kwa Credit almost maisha Yao yote.

System inasaidia. Tena afadhali Tz. Wanaanza na Hii sensa. Muhimu sana kujulikana watu wanapoishi na shughuli zao. Na Ni Sisi watanzania tutaharibu. Uongo na kukwepa the due process. Usajili wa Laini ulipaswa kusaidia sana. Lakini Ni Sisi watanzania, hapa Hakuna vyama, wote, wanapeana vitambulisho. Wanasajiliana line. Nawaza Leo niende kwa jirani ynagu mzungu mjerumani nimwambie eti kanisajilie line kwa kitambulisho chako. Unvorstellbar! Kitakachotokea. Asilimia 98% nitaondolowa haki zangu na kurudi Home Sweet Home.

Mkuuu kama Una hela ya kuchezea. Jenga shule. Vyuo vya Music. Ubunifu. Weka mabweni. Tumia experience yako ya „ Amerika-Afrika „ kuwasaidia watoto na Vijana kuvumbua Talent zao. It’s worthy it than hao watu unaowamini. You know it and I know it. Ila Ndo hivyo mahaba Ni sumu kali. Haina dawa. Endeleeni na kupoza uhalisia. Being actor Ni jambo zuri sana. You run away from reality, from personal responsibility, accountability and involvement.
 
Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.

Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.

Je, kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?

Muda utaongea
Safisha nyumba toa mabaki yote..
 
Dotto James .....Katibu mkuu wizarani
Kheri James .....mkuu wa wilaya
Watoto wa dada yake Mwendazake,unataka watoka Chato wote wapewe nyadhifa?
 
Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.

Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.

Je, kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?

Muda utaongea
Litafute Gazette la jamhuri wiki moja kabla hajatenguliwa ndo utajua kalemani ni risasi kiasi gani! Sikumbuki tarehe
 
Back
Top Bottom