Kwanini Kalemani na Chamuriho? Je, ni kuvunja mtandao?

Kama hao ndio brain behind Gang basi hicho kinachoitwa Gang ni nadharia isiyokuwa na uhalisia !
 
Watanzania mlivyo wanafiki....mafuta ya petroli na dizeli kila siku yanapanda bei na chanzo ni huyo mpiga dili na kundi lake kupandisha bei ya usafirishaji kwa kisingizio Cha kuwapa wazawa tenda. Mama Samia amemtumbua mnaanza kutengeneza majungu.

Inshort toka zamani niliona anabebwa na Mwendazake. Umeme vijijini kazi kubwa ilifanywa na Profesa Muhongo. Huyu ndie aliyehakikisha nyaya zenye umeme mkubwa kufika vijijini na sehemu kubwa kuwekewa mita na kufungiwa umeme kwa ufadhiri wa Wamarekani. Ndiye aliyeweka tozo ya umeme vijijini kwenye mafuta kipindi cha Jakaya akishirikiana na Waziri wa fedha yule mwanamama.
Kwahiyo unataka kututhibitishia ya kwamba sasaafuta yatashuka bei angalau kwa jero? Ngoja nisubiri!
 
Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.

Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.

Je kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?

Muda utaongea
Dr. Chamuriho ni mwalimu mzuri tu UDSM - CoET.. bora arudi akapige zake mapindi huko maana anahitajika sana huko kuliko kwenye siasa kwa sasa.
 
Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.

Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.

Je kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?

Muda utaongea
Mama ana safari 2025??? 😃😃🤣🤣🙄🙄😁😁
 
Watanzania mlivyo wanafiki....mafuta ya petroli na dizeli kila siku yanapanda bei na chanzo ni huyo mpiga dili na kundi lake kupandisha bei ya usafirishaji kwa kisingizio Cha kuwapa wazawa tenda. Mama Samia amemtumbua mnaanza kutengeneza majungu.

Inshort toka zamani niliona anabebwa na Mwendazake. Umeme vijijini kazi kubwa ilifanywa na Profesa Muhongo. Huyu ndie aliyehakikisha nyaya zenye umeme mkubwa kufika vijijini na sehemu kubwa kuwekewa mita na kufungiwa umeme kwa ufadhiri wa Wamarekani. Ndiye aliyeweka tozo ya umeme vijijini kwenye mafuta kipindi cha Jakaya akishirikiana na Waziri wa fedha yule mwanamama.
Acha uongo mafuta yamepanda na yataendelea kupanda sababu ya kodi zilizowekwa kwenye mafuta.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kama chifu hangaya Lazima nitengue watu maana nisingeliweza kutengua bila chifu booster
 
Nadhani hata lile bomba la mafuta watu walilojiunganishia lilikuwa la Kalemani na genge la sukuma gang. Ndio maana habari zake zikawa siri maana taarifa ingewekwa wazi ingeleta picha mbaya.
 
Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.

Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.

Je, kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?

Muda utaongea
Axis of Evil ..... Lazima wasafishwe. Kuendelea nao ni hatari kwa Maza.

Mwendazake aliwapiga chini akina Ngeleja kwa sababu wangemdumbua.
 
Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.

Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.

Je, kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?

Muda utaongea
Sisi kanda ya ziwa tunachukulia hii issue kama discrimination against watu wa lake zone na off course January hawezi kuwa bora kuliko Dr. Medard. Tutakutana 2025. Huo uHangaya kama mnadhani ni wa kiukweli you will get to know that you were conned during the next elkection. Matogoro was the best minister ever. Unampigia hakufahamu na anapokea simu na kuifantia kazi hapo hapo. He was so good na amefanya kazi kwa nguvu zake zote. Tukutane 2025.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
NAFANYA KAZI NA WATU WANAOJUA BAYA NA JEMA SINA MDA WA KUROPOKA KWA WATU WAZIMA TUTAMALIZANA KWA
###KALAMU#####
KAMA ULISIKIA HILI NENO NA BADO UKAULIZA HIKIKITUKO UNA SHIDA
 
Hawa wakubwa huenda Wana mkandokando au ni wababaishaji,wenye kupenda kutumia media, lakini katika hali halisi hakuna lolote
 
Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.

Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.

Je, kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?

Muda utaongea
Kama huyo mwendazake mnakiri alikuwa na mtandao wake.. kwann na mama asiunde wake?!!
Mnaumiaje
 
Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.

Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.

Je, kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?

Muda utaongea
Si kweli Dr. Chamuliro alitokea Tanroads. Ni mhadhiri wa UDSM. Sijui nini kimetokea
 
Sisi kanda ya ziwa tunachukulia hii issue kama discrimination against watu wa lake zone na off course January hawezi kuwa bora kuliko Dr. Medard. Tutakutana 2025. Huo uHangaya kama mnadhani ni wa kiukweli you will get to know that you were conned during the next elkection. Matogoro was the best minister ever. Unampigia hakufahamu na anapokea simu na kuifantia kazi hapo hapo. He was so good na amefanya kazi kwa nguvu zake zote. Tukutane 2025.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Labda kwa ukabila
 
Back
Top Bottom