Zifungwe na zichunguzwe, akakae safe house miezi 6, muweka hazina wa sukuma gang kwa ajili ya 2025Hazikufungwa za akina Kalamagi,Tibajiuka,Chenge.ufunge account za Kalemani kaiba Nini?
Chuki na fitina zenu hazitawafikisha popote.
Hapana shaka hakuna utawala utadumu milele.
What is sukuma gangFlash out Sukuma gang
Yule lazima atakuwa super bilioneazi,kuna bei gani kwani ?
Ha ha ha, tajiri mwenzangu umeamua ufunguke kabisa yaani...mimi ni mfadhili wa Chadema , natoa pesa zangu kuhakikisha Tanzania inapata uhuru , sikumbuki mwaka niliokuwa na njaa , ni tajiri ambaye nina makazi africa na America
Mliwabania wazanzibari , eti si lazima kupokezana,, bila kudra za mungu wazanzibar wasingeweza kamwe kuja kuwa rais wa jamhuri ya muungano,,Mwaka 2025 hatuwezi kuongozwa na wazanzibari. Yaani Mzanzibari atawale Zanzibar halafu tena Mzanzibari atawale Tanganyika, hilo halipo.
Kama ulijui Sukuma gang basi wewe ni Mrundi, mateso waliyopitia Watanzania kutoka kwa hawa Sukuma gang hakuna ambaye hana maumivu.What is sukuma gang
Kwa nini asigombee 2025? Lazima atagombea ili kuleta heshima kwa akina mama. Na ni lazima atashinda uchaguzi mkuu wa 2025. Mwaka 2030 atamwachia mwanamke mwingine shupavu kushika nafasi hiyo nyeti ya urais kwa miaka mingine 10 hadi 2040. Naye ataachia mwanamke mwingine na kadhalika. Ni zami ya akina mama nao kujinafsi kama ambavyo wanaume walivyofanya tangia tupate uhuru. Haya mambo ni ccm tu ndiyo inayaweza.
Jidanganye...Mwaka 2025 hatuwezi kuongozwa na wazanzibari. Yaani Mzanzibari atawale Zanzibar halafu tena Mzanzibari atawale Tanganyika, hilo halipo.
Jidanganye...utakuwa uchaguzi rahisi mno !
What is sukuma gang
Tutawanyosha 2025...Sisi kanda ya ziwa tunachukulia hii issue kama discrimination against watu wa lake zone na off course January hawezi kuwa bora kuliko Dr. Medard. Tutakutana 2025. Huo uHangaya kama mnadhani ni wa kiukweli you will get to know that you were conned during the next elkection. Matogoro was the best minister ever. Unampigia hakufahamu na anapokea simu na kuifantia kazi hapo hapo. He was so good na amefanya kazi kwa nguvu zake zote. Tukutane 2025.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
mimi ni mfadhili wa Chadema , natoa pesa zangu kuhakikisha Tanzania inapata uhuru , sikumbuki mwaka niliokuwa na njaa , ni tajiri ambaye nina makazi africa na America
Wewe kama ni chawa wa mtu huwezi kutuelewa , endelea na imani yako
Safisha nyumba toa mabaki yote..Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.
Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.
Je, kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?
Muda utaongea
Kijana. Tax atakuwa amekongoroka.Tax huenda
Kijana. Tax atakuwa amekongoroka.
Litafute Gazette la jamhuri wiki moja kabla hajatenguliwa ndo utajua kalemani ni risasi kiasi gani! Sikumbuki tareheInajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.
Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya kiutendaji ndio walioshika wizara kubwa na zinazofanya vizuri na kusimamia miradi mikubwa na ziko hadi vijijini kwenye wananchi.
Je, kulikuwa na harufu ya mtandao wa kumkwamisha mama katika safari yake kuelekea 2025?
Muda utaongea