Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Kama mjuavyo katika kipindi hiki Cha mwisho na mwanzo wa mwaka vijana wengi hujishughulisha na uuzaji wa kalenda zilizonakishiwa kwa sura na picha mbali mbali.

Mojawapo ya picha ambazo zimezoeleka kupamba kalenda hizo ni picha mbali mbali za viongozi wa kitaifa, ambapo wanunuaji hununua kutokana na namna hizo picha zimenakishiwa.

Ila kilichonishangaza ni kwamba Kila kijana anayepita na hizo kalenda anakwambia zenye picha ya mama sina solo lake ni gumu kidogo, ila zenye picha ya hayati hizo zinatoka sana.

Kwa wajuvi wa mambo naomba ufafanuzi.
 
Unauza kalenda!?
 

Hiyo ni dalili kuwa wasukuma hawajaenda kula Christmas kwao.
 
Unaanza kuipa tangazo ! kwa faida ya nani
 
Acha hizo......
 
Simu yangu ina calendar siwezi jaza makaratasi yenye picha za magufuli. Labda baba wa taifa
 
Upuuzi.com
 
Àsa Ilo swali lako mbona halina faida ...au Kuna tuzo za picha ya kalenda iliyouza xnaa afu hatujui 🤣
 
Hata mifuko yenye picha zake inauza sana kuliko mingine. Ni fursa kwa wa machinga hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…