Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

Pole Sana Mh Dr. S.S. Hassan tunaye mpaka 2030. Hizo kalenda za hayati labda zinanunuliwa na wale aliowapendelea au kuwatumia kuwatesa bàadhi ya watu Fulani Fulani. Tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mama ambaye ametufanya wengi tuwe na furaha na Amani. Yaani hatusikii tena matukio ya kutisha ya watu kupotea na mengine mengi. Familia zilidhalilishwa, viongozi kadhaa kudhalilika kama vile hawana mchango kwenye hii nchi. Yaani hebu mwacheni our Queen our Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan. Kazi Iendelee.
 
Hizo takwimu umezitoa wapi? Labda huko chato ndo zinanunuliwa sana!! Ukiwa chato unahisi ndo upo Tanzania nzima!!

Mh Samia yupo sana na ataendelea kuwa Rais wako mpaka 2030!! Hutaki jitundike au kunywa sumu!!
duh we jamaa mbona mahaba yamezidi,nani kazungumzia uraisi?
 
Kama mjuavyo katika kipindi hiki Cha mwisho na mwanzo wa mwaka vijana wengi hujishughulisha na uuzaji wa kalenda zilizonakishiwa kwa sura na picha mbali mbali.

Mojawapo ya picha ambazo zimezoeleka kupamba kalenda hizo ni picha mbali mbali za viongozi wa kitaifa, ambapo wanunuaji hununua kutokana na namna hizo picha zimenakishiwa.

Ila kilichonishangaza ni kwamba Kila kijana anayepita na hizo kalenda anakwambia zenye picha ya mama sina solo lake ni gumu kidogo, ila zenye picha ya hayati hizo zinatoka sana.

Kwa wajuvi wa mambo naomba ufafanuzi.
Kama unampenda sana nenda kanywe nae chai - JK Nyerere.
 
Pole Sana Mh Dr. S.S. Hassan tunaye mpaka 2030. Hizo kalenda za hayati labda zinanunuliwa na wale aliowapendelea au kuwatumia kuwatesa bàadhi ya watu Fulani Fulani. Tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mama ambaye ametufanya wengi tuwe na furaha na Amani. Yaani hatusikii tena matukio ya kutisha ya watu kupotea na mengine mengi. Familia zilidhalilishwa, viongozi kadhaa kudhalilika kama vile hawana mchango kwenye hii nchi. Yaani hebu mwacheni our Queen our Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan. Kazi Iendelee.
Sijaongelea urais naongelea mauzo ya kalenda zenye picha ya hayati
 
Kubalini ashakufa na zama zake zimeisha na hakuna mtu kama yeye atakuja tawala tena

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na wewe zamu yako ikifika uta kufa tu hakuna namna,kwa hiyo kaa kwa kutulia usubiri siku yako,pia wewe ukifa siku hiyo kuna watu watalia lakini kuna wengine wata shelekea dunia ipo hivyo mkuu.
 
Mh Samia yupo sana na ataendelea kuwa Rais wako mpaka 2030!! Hutaki jitundike au kunywa sumu!!
Watu wenye mawazo km yako ndiyo aina ya viongozi tulionao. Hawana mawazo ya kuendeleza nchi ila wamejaa majigambo na matusi ndiyo maana mpk sasa nchi inahangaika na umeme wa mgao, maji, elimu, madawati, matundu ya choo na afya.
Mfano hai Nape.
 
Asante kwa taarifa..tutazipiga marufuku hutaziona Tena..mambo ya kutugombanisha awamu ya 5 na ya 6 hatutaki!
 
hvi wasukuma wa chato mtamaliza lini msiba wa Magu jamani....mama dr samia yupo yupo sana mpka 2030.
kama unaumia kunjwa sumu .....
 
Look. I get it. When you like someone, you want them to be the noble hero. (Why do we do that? Many reasons, but the biggest being ego. Our mind knows that if we choose the wrong hero, we fear losing tribal standing for poor judgment. So even when we are wrong, we’ll fight and even kill just to preserve our ego**. This is funny, because it takes the exact opposite action to gain trust; it’s just that our intuition doesn’t serve us well here.)

So, while history isn’t done (and leaders that succeed him may well progressively worsen making him the last greatest president we have had in our lifetime) , the evidence right now is clear. I know it hurts those who need him to be a hero for EVERYBODY (and who feel this weird obsession with throwing themselves in front of valid criticism), the reality is is that a human made very human mistakes, primarily due to his arrogance but others can argue evil or otherwise. When ego drives your decision making, there can only be one outcome. Invariably.

If he is your hero, icon, role model and/or messiah, you will interpret an attack on him as an attack on yourself. (In the same way that religious people get angry when you attack a popular figurehead or some avatar of a deity.) We personalize the tribal and it’s what makes tribalism so successful, and so terribly, terribly ugly. People who idolize him need to do better at selecting heroes; other people are under no obligation to avoid criticizing him just because it gets his fans triggered.
 
Kama mjuavyo katika kipindi hiki Cha mwisho na mwanzo wa mwaka vijana wengi hujishughulisha na uuzaji wa kalenda zilizonakishiwa kwa sura na picha mbali mbali.

Mojawapo ya picha ambazo zimezoeleka kupamba kalenda hizo ni picha mbali mbali za viongozi wa kitaifa, ambapo wanunuaji hununua kutokana na namna hizo picha zimenakishiwa.

Ila kilichonishangaza ni kwamba Kila kijana anayepita na hizo kalenda anakwambia zenye picha ya mama sina solo lake ni gumu kidogo, ila zenye picha ya hayati hizo zinatoka sana.

Kwa wajuvi wa mambo naomba ufafanuzi.
Hata shetani hatoki midomoni mwa watu kila kukicha kuliko anavyotajwa Mwenyezi Mungu.
 
Kama mjuavyo katika kipindi hiki Cha mwisho na mwanzo wa mwaka vijana wengi hujishughulisha na uuzaji wa kalenda zilizonakishiwa kwa sura na picha mbali mbali.

Mojawapo ya picha ambazo zimezoeleka kupamba kalenda hizo ni picha mbali mbali za viongozi wa kitaifa, ambapo wanunuaji hununua kutokana na namna hizo picha zimenakishiwa.

Ila kilichonishangaza ni kwamba Kila kijana anayepita na hizo kalenda anakwambia zenye picha ya mama sina solo lake ni gumu kidogo, ila zenye picha ya hayati hizo zinatoka sana.

Kwa wajuvi wa mambo naomba ufafanuzi.
Uwongo uwongo uwongo tuu. Mnajifariju. Mfuateni huko kuzimu umsaidie kukusanya kuni mbanikwe pamoja
 
Hata waimbaji wakubwa wanapokufa ndio nyinbo zao hupanda chati na kuuzika sana
 
Uwongo uwongo uwongo tuu. Mnajifariju. Mfuateni huko kuzimu umsaidie kukusanya kuni mbanikwe pamoja
Hapana mkuu sio uwongo labda kama huko uliko hali ni tofauti lakini Kwa huku niliko hali ni hiyo labda tuwasubiri wanaoelewa hii maana yake nn
 
Back
Top Bottom