Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

Hizo takwimu umezitoa wapi? Labda huko chato ndo zinanunuliwa sana!! Ukiwa chato unahisi ndo upo Tanzania nzima!!

Mh Samia yupo sana na ataendelea kuwa Rais wako mpaka 2030!! Hutaki jitundike au kunywa sumu!!
Wala sio za chatu ni za hapa hapa bongo
 
Lakini wanafikia mahali pa kumpamba kwenye sebule zao? Au hawataki kusikia chochote kuhusu shetani?
Wale wasiotaka kusikia chochote kuhusu shetani wapo wengi sana na kupamba sebule zao kwa vitu wanavyo vinasibisha na ushetani/shetani.
 
Back
Top Bottom