T The Phylosopher JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,957 Dec 27, 2022 Thread starter #41 mwanawao said: Hizo takwimu umezitoa wapi? Labda huko chato ndo zinanunuliwa sana!! Ukiwa chato unahisi ndo upo Tanzania nzima!! Mh Samia yupo sana na ataendelea kuwa Rais wako mpaka 2030!! Hutaki jitundike au kunywa sumu!! Click to expand... Wala sio za chatu ni za hapa hapa bongo
mwanawao said: Hizo takwimu umezitoa wapi? Labda huko chato ndo zinanunuliwa sana!! Ukiwa chato unahisi ndo upo Tanzania nzima!! Mh Samia yupo sana na ataendelea kuwa Rais wako mpaka 2030!! Hutaki jitundike au kunywa sumu!! Click to expand... Wala sio za chatu ni za hapa hapa bongo
T The Phylosopher JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,957 Dec 27, 2022 Thread starter #42 Chifu Sanze said: Hata shetani hatoki midomoni mwa watu kila kukicha kuliko anavyotajwa Mwenyezi Mungu. Click to expand... Lakini wanafikia mahali pa kumpamba kwenye sebule zao? Au hawataki kusikia chochote kuhusu shetani?
Chifu Sanze said: Hata shetani hatoki midomoni mwa watu kila kukicha kuliko anavyotajwa Mwenyezi Mungu. Click to expand... Lakini wanafikia mahali pa kumpamba kwenye sebule zao? Au hawataki kusikia chochote kuhusu shetani?
S Sanze M JF-Expert Member Joined Jul 20, 2021 Posts 4,141 Reaction score 8,602 Dec 29, 2022 #43 The Phylosopher said: Lakini wanafikia mahali pa kumpamba kwenye sebule zao? Au hawataki kusikia chochote kuhusu shetani? Click to expand... Wale wasiotaka kusikia chochote kuhusu shetani wapo wengi sana na kupamba sebule zao kwa vitu wanavyo vinasibisha na ushetani/shetani.
The Phylosopher said: Lakini wanafikia mahali pa kumpamba kwenye sebule zao? Au hawataki kusikia chochote kuhusu shetani? Click to expand... Wale wasiotaka kusikia chochote kuhusu shetani wapo wengi sana na kupamba sebule zao kwa vitu wanavyo vinasibisha na ushetani/shetani.