inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Shule zote za serikali zilikua za katoliki!?..mazengo ilikua ya katoliki?..minaki!?Mkuu wewe naona una uelewa mdogo sana wa mambo.Hata namna ulivyo andika hukueleza vizuri hivyo kuwafanya wasomaji wasikuelewe. Kama eneo unalozungumzia ni Pugu sekondari basi elewa kuwa hiyo shule ilikuwa ni milki ya kanisa Katoliki. Baadae ilitaifishwa na serikali lakini serikali haikutaifisha kanisa hivyo wakatoliki Bado wanalimiliki na kutumia kanisa hilo. Na Kwa nyongeza tu ni kuwa shule zote za sekondari za serikali zilikuwa za wakatoliki Zina makanisa ambayo serikali iliwaachia wenyewe Kwani lengo la serikali ilikuwa ni majengo mengine ili wanafunzi wa dini zote waweze kusomwa hapo.