Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Ni kuhusu msimamo wa mjerumani Martin Luther profesa wa theolojia , kasisi na baba wa mageuzi ya kidini duniani.
Mtazamo wa kasisi huyu wa kijerumani kwa Wayahudi ulikuwa chanya akiwaonea huruma kwa shida zao lakini ulibadilika siku za mwishoni za maisha yake na kuwa hasi yasemekana ni kushindwa kuwashawishi Wayahudi kuachana na Imani yao na kumpokea Yesu
Hili litathibitishwa kwa kauli na maneno yake mwenyewe alipowashauri Wakiristo wawatendee yasiyofaa Wayahudi akiamimi k wamelaaniwa:
Martin Luther alishauri kuwa:
Masinagogi ya Wayahudi yachomwe moto kwa heshima ya Bwana na Ukiristo Ili Mungu atuone na kututambua Wakiristo
Nyumba za mayahudi zichomwe moto na kuangamizwa.
Kuchomwa moto vitabu vya kiimani vya mayahudi na maandiko ya Talmud ambavyo aliamini kuwa vinafundisha kuabudu sanamu, uongo, laana na makufuru.
Waalimu wa kiyahudi yaani Rabbis wapigwe marufuku kufundisha elimu ya dini yao
Wayahudi waporwe hazina zote walizokuwa wanamiliki ikiwemo fedha taslimu na dhahabu.
Yasemekana kuwa mawazo ya martin Luther yalichangia kutengeneza chuki dhidi ya Wayahudi iliyokuja kuzaa mauaji ya kimbari ya Wayahudi million yaliyofanywa na Adolph Hitler.
Wasomi na wanazuoni tuombe maoni yenu kuhusu tabia hii ya kasisi huyu.
Kwa maelezo zaidi naweza pitia kitabu cha #Martin Luther's On the Jews and Their Lies. Wittenberg, 1543.
Niwatakie siku njema