Kwanini kasisi Martin Luther aliwachukia Wayahudi na kushauri masinagogi na nyumba zichomwe moto kwa heshima ya Mungu na Ukiristo?

Kwanini kasisi Martin Luther aliwachukia Wayahudi na kushauri masinagogi na nyumba zichomwe moto kwa heshima ya Mungu na Ukiristo?

haya mafundisho aliyatoa akiwa ameisha asi kanisa la rumi au akiwa kwnye kanisa lake jipya aliloanzisha?
Kuiweka historia mahali pake vizuri. Martin Luther hakuanzisha dhehebu jipya, yeye alikua akifundisha habari za "wokovu unapatikana kwa Neema" na hiyo ndio ilikua slogan yake hadi anakufa. Baada ya kifo chake ndio wafuasi wake wakaweka jina la Imani hiyo kama "Wafuasi wa Luther" na ndio mwanzo wa dhehebu la Lutheran todate. Kuhusu kuwachukia Wayahudi, hi ndio naisikia leo; ukizisoma sababu za Adolf Hitler za kuwaua Wayahudi na anacho kisema mleta uzi, mambo ni tofauti kabisa. Halafu hawa watu wameishi kwenye karne mbili tofauti kabisa, tena kwa tofauti kubwa mno ya miaka.
 
Una uhakika kwamba
Mgogoro haujaanza October 7,2023

Israel ina tabia ya kunyakua ardhi za wapalestina kwa nguvu tangu walipoletwa hapo mashariki ya kati.

Yani wanajiamulia tu kufanya watakalo kwakuwa wanapewa saport na mataifa ya magharibi...unakuta upo zako na familia unapewa oda ya kuachia nyumba yako na mashamba/kiwanja uende unakojua wewe ili tu walowezi wa kiyahudi wapanue nchi yao. Je, hii ni sawa?
Israel walishachukua ardhi ya waarabu bila kuchokozwa?
 
Mimi ni mrutheli
Amini nakwambia tunaamini sana katika uteule wa Wana Israeli. Hata Abshalom longan amepokelewa zaidi hapa nchini na warutheri na molavian kuliko madhehebu mengine. Nimeona tangu DMP mpaka Konde Kuna Siri warutheri tumeing'amua kwa hawa watu. Ndio màna hata mrutheli mwakasege anawaheshimu sana.
Mtandaoni Kila kitu chaweza andikwa
haujaelewa somo kabisa. martin luther aliyeanzisha kanisa lako alichangia sana kusambaza chuki dhidi ya wayahudi ujerumani kwa sababu alipotaka wawe wakristo walikataa, yeye akawa anahubiri mahubiri ya chuki kuwalazimisha na mbegu hiyohiyo ndio ilizaa ulaya nzima kuwaona wayahudi kama wachawi na watu wabaya. hatuongelei ninyi masalia wa sasaivi ambao mmeadopt tabia nyingi sana za kilokole.
 
Chanzo sio Oktoba 7,
Chanzo sio Oktoba 7,chanzo ni uchokozi wa wayahudi wenyewe uliopelekea watu kushindwa kuvumilia hadi kufanya yale ya Oktoba 7.Wee unadhani babaako akitekwa na ccm ,utavumilia? Ndio maana wapalestina uvumilivu aliwashinda.wakaamua yao Oktoba 7.Chanzo cha yote ni hao wazayuni.
Waliamua kwa upanga October 7th wanalipwa kwa upanga
 
hii ndio dhambi kubwa Martin Luther ilimpeleka hadi jehanum, atakuwa anaungua moto huko. holocost ilichangiwa sana na huyu, waliingiza kwenye minds za wakristo kwamba wayahudi ni watu wabaya walimuua Yesu, kumbe it was necessary for Jesus to die ili tukombolewe, yeye aliweka uadui uliokuja kurahisisha hata Hitler kuua sana wayahudi. na hadi leo walutheran wana nyimbo nyingi za kukebehi wayahudi na kulaumu wayahudi, badala ya kuona ulikuwa ni mpango wa Mungu kukomboa roho zao wenyewe. ndio maana huwa tunasema hata mwelimu wenu aondoke huko, ni dhehebu la antisemitism tangu zamani.
Yesu akija lazima akukane maana haezi kua na mfuasi bogasi kama ww
,
 
haujaelewa somo kabisa. martin luther aliyeanzisha kanisa lako alichangia sana kusambaza chuki dhidi ya wayahudi ujerumani kwa sababu alipotaka wawe wakristo walikataa, yeye akawa anahubiri mahubiri ya chuki kuwalazimisha na mbegu hiyohiyo ndio ilizaa ulaya nzima kuwaona wayahudi kama wachawi na watu wabaya. hatuongelei ninyi masalia wa sasaivi ambao mmeadopt tabia nyingi sana za kilokole.

Ruther 1600 s mauaji 1900s hivi wewe unaakili kweli au imetumwa kumchafua ruther
Miaka 300 mbele useme ameeneza chuki unaakili wewe??
 
Usijisahaulishe; mgogoro wa sasa chanzo ni Oktoba 7, 2023! Nakukumbusha tu.
SHika adabu yako wewe.
Mgogoro wa sasa chanzo ni Agosti 23 2023 ambapo Israel na walowezi wa kiyahudi walipovamia mashamba ya Khani Younis na kukanyaga wabedui na vifaru.
 
Kitendo cha kukataa kumpokea Yesu kiwe chuki? Huyo kasisi alikuwa na ushetani ndani yake.
 
Dada angu akili za wakristo ni za kikondoo kama walivoitwa .
Sasa tumuamini yupi?
Wanasema akili za kiislam ni za kigaidi na kiuwaji.
Sasa wasio na dini waamini yupi yuko sawa?
 
Per Meta AI.

Was Martin Luther anti-semitic?

Martin Luther, the 16th-century German theologian and reformer, held complex and controversial views on Jews and Judaism. While Luther's early writings expressed hope for Jewish conversion to Christianity, his later works revealed increasingly anti-Jewish and anti-Semitic sentiments.

Early Writings (1523):

In "That Jesus Christ Was Born a Jew," Luther advocated for:

1. Kind treatment of Jews
2. Conversion efforts
3. Criticism of Catholic mistreatment of Jews

Later Writings (1543):

In "On the Jews and Their Lies," Luther's tone shifted dramatically:

1. Condemned Jewish people and Judaism
2. Accused Jews of blasphemy, greed, and plotting against Christians
3. Advocated for expulsion, confiscation of property, and destruction of synagogues

Luther's anti-Semitic views were influenced by:

1. Medieval Christian anti-Judaism
2. Disappointment with Jewish refusal to convert
3. Fear of Jewish influence on Christianity

Consequences:

Luther's later writings contributed to:

1. Increased anti-Semitism in Germany and Europe
2. Persecution and violence against Jewish communities
3. Nazi ideology and the Holocaust (though Luther's influence was not sole or direct)

Modern Lutheran Response:

The Lutheran Church has officially:

1. Disavowed Luther's anti-Semitic writings
2. Condemned hatred and violence against Jews
3. Encouraged Jewish-Christian dialogue and reconciliation

Examples:

  • The Evangelical Lutheran Church in America (ELCA) issued a statement in 1994, "Declaration of the ELCA to the Jewish Community," condemning Luther's anti-Semitic writings.
  • The Lutheran World Federation (LWF) issued a statement in 2012, "Lutheran-Jewish Relations," acknowledging Luther's harmful views and affirming Jewish-Christian dialogue.

In conclusion, Martin Luther's views on Jews and Judaism were complex and evolved over time. While his early writings showed hope for conversion, his later works revealed anti-Semitic sentiments. Modern Lutherans have acknowledged and repudiated these harmful views.

Would you like more information on:

1. Luther's theology and its impact?
2. Christian-Jewish relations and dialogue?
3. Anti-Semitism throughout history?
 
Ruther 1600 s mauaji 1900s hivi wewe unaakili kweli au imetumwa kumchafua ruther
Miaka 300 mbele useme ameeneza chuki unaakili wewe??
ulishawahi kusoma makala zake hata moja ili tubishane? unajua kama hata kama aliexist 1600 makala zake hadi leo bado zipo? alipublish vitabu kabisa. unajua kuwa alichoandika ndicho wazungu waliishi nacho dhidi ya wayahudi kwa miaka hiyo 300? ana mchango mkubwa sana na ilifika kipindi imani hiyo hiyo ya kishetani aliyokuwa nayo, wayahudi waliaminika kuwa ni wanyonya damu, wachawi, wauwaji wa Kristo, wezi ambao hawawezi kuishi bila kitu cha wizi, biashara zao za wizi tu n.k, na roho hiyo lutheran mnayo hadi leo na ndio maana hata sinema zenu zile za yesu mkionyeshwa huwa hamlii kwamba Yesu alishawahi kufanya hivyo, ila kwa nini wayahudi wanamtesa na kumuua, the save hatred. na ndio maana huwa tunasema hamjaokoka.

unafikiri unaujua ulutheran sana ila jua wengi wetu huko ndio tulizaliwa tena kwenye familia za sio za kiumini, ila za kichungaji. kwa kukusaidia, antisemitism haijaanza leo, ilikuwepo tangu kipindi cha warumi, na miaka ya 1600 n.k luther alipokuwepo ilikuwepo pia, na hadi leo ipo. ishi ukijua kuwa, martin luther alichangia sana kwenye kupanda hatred against Jews hadi kipindi cha hitler. umeandika kama wewe ndio una akili, ila hauna hata chembe ndugu.
 
Watu wengi wanamlaumu Hitler kama chanzo cha chuki dhidi ya Wayahudi, lakini ukisoma habari kama hizi utaona chuki dhidi ya Wayahudi Ulaya kiujumla na Ujerumani hususan zina mizizi mirefu sana.
 
Sasa tumuamini yupi?
Wanasema akili za kiislam ni za kigaidi na kiuwaji.
Sasa wasio na dini waamini yupi yuko sawa?
yaani hata usiseme, kama wewe akili yako mtu anakudanganya ujilipue na bomu ili uende ahera ukapewe mabikira 72 na unaamini, tukuite kondoo au tukuie mwanadamu asiye na ubongo kabisa?
 
Watu wengi wanamlaumu Hitler kama chanzo cha chuki dhidi ya Wayahudi, lakini ukisoma habari kama hizi utaona chuki dhidi ya Wayahudi Ulaya kiujumla na Ujerumani hususan zina mizizi mirefu sana.
waumini wa kilutheri hapa watamtetea hadi mwisho, ila hawajui tu.
 
Martin Luther alishauri kuwa:

Masinagogi ya Wayahudi yachomwe moto kwa heshima ya Bwana na Ukiristo Ili Mungu atuone na kututambua Wakiristo
Nyumba za mayahudi zichomwe moto na kuangamizwa.
Kuchomwa moto vitabu vya kiimani vya mayahudi na maandiko ya Talmud ambavyo aliamini kuwa vinafundisha kuabudu sanamu, uongo, laana na makufuru.
Kuchoma moto nyumba na mali za mnayetofautiana mtazamo si roho ya Kikristu. Wakatoliki wanafundisha kuwa na upendo hata kwa wanaotofautiana nao. Hilo ni tofauti kwa Waprotestanti na Muslims
 
waumini wa kilutheri hapa watamtetea hadi mwisho, ila hawajui tu.
Sisi kwetu wa Lutheri, tena si wa kujiunga jana. Sisi familia ya kichungaji, kwetu kanisani.

Kanjsa la Azania Front hapo Dar es salaam kashiriki kujenga baba yake bibi yangu, wamrmaliza kujenga mwaka 1903. Na alikuwa mtu wa kanisani tangu miaka ya 1800 huko.

Lakini yote hayo hayanizuii kuutambua na kusema ukweli kwamba Martin Luther alikuwa na chuki dhidi ya Wayahudi.

Martin Luther ni mtu muhimu katika historia ya dunia na maandiko yake yametunzwa vizuri tu.
 
Back
Top Bottom