Kwanini kasisi Martin Luther aliwachukia Wayahudi na kushauri masinagogi na nyumba zichomwe moto kwa heshima ya Mungu na Ukiristo?

Kwanini kasisi Martin Luther aliwachukia Wayahudi na kushauri masinagogi na nyumba zichomwe moto kwa heshima ya Mungu na Ukiristo?

Ruther 1600 s mauaji 1900s hivi wewe unaakili kweli au imetumwa kumchafua ruther
Miaka 300 mbele useme ameeneza chuki unaakili wewe??
tafuta kitabu alikiandika kinaitwa "The Jews and their Lies", ukikisoma, utaokoka na utaacha kwenye kwenye hilo kanisa lenu ambalo ni nusu catholic.
 
Kuchoma moto nyumba na mali za mnayetofautiana mtazamo si roho ya Kikristu. Wakatoliki wanafundisha kuwa na upendo hata kwa wanaotofautiana nao. Hilo ni tofauti kwa Waprotestanti na Muslims
Just to be clear.

Ulaya chuki dhidi ya Wayahudi ilikuwapo kote. Hata kwa Wakatoliki.

Hapo juu kuna bandiko linaloeleza kuwa Luther alianza vizuri kwa kuwasema Wakatoliki walivyokuwa wanawachukia Wayahudi.

Ila baadaye aliingia kwenye mtego wa chuki hiyo na yeye.

Kwa hivyo hata Wakatoliki walifanya chuki hii, tena wao ndio waanzilishi.
 
Lugha yenyewe ni ya kikatoliki, halafu maneno unamuwekea Luther, Papa ndio huwa anachekacheka na mashehe huku wakristo uarabuni wakipata shida, hajawahi kulaani kukundi chochote cha kigaidi, wakati ISIS inaua wakristo Papa ndio ndio walikuwa jamaa zake
 
Back
Top Bottom