PostGE2025 Kwanini kataa maandamano inahimizwa Sana kuliko kataa utekaji?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana.

Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.

Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si sawa watu kuandamana kuuliza ni kwa nini watu wanatekwa na kuuawa?
Hizi kelele wanapiga kupinga mandamano wangezielekeza kwenye kupinga utekaji na upotevu wa raia wangekuwa watu wa maana sana.

.........ila jamaa wapo bize kupigania kubaki madarakani waendelee kugawana vyeo kifamilia.

Aibu sana.
 
Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana.

Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.

Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si sawa watu kuandamana kuuliza ni kwa nini watu wanatekwa na kuuawa?
Hofu ya kuondoka madarakani lakini nani awezaye kupinga yaliyotabiriwa
 
Kama mali sio kitu mbona hamkuchona nyumba za baba zenu na ndugu zenu badala yake mkaenda kuchoma mali ambazo mnajua aziwahusu?
Kama mali ni rahisi kuzipata mbona baba yako hana hizo mali pumbavu.
Hoja hapa sio kipi chenye thamani kuzidi kingine hoja ni kwanini ufanye uharibu na kuiba mali za watu ambao hujawahi kuwasaidia kuzitafuta?

Yaani mtu atumie miaka 30 kusimamisha biashara yake uje umuibie alafu ubwabwaje eti mali haina thamani mbele ya uhai.
🤔🤔🤔🤔
 
Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana.

Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.

Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si sawa watu kuandamana kuuliza ni kwa nini watu wanatekwa na kuuawa?
Hiyo ni moja ya agenda ya kudemo hapo kesho..
 
Back
Top Bottom