PostGE2025 Kwanini kataa maandamano inahimizwa Sana kuliko kataa utekaji?

PostGE2025 Kwanini kataa maandamano inahimizwa Sana kuliko kataa utekaji?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana.

Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.

Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si sawa watu kuandamana kuuliza ni kwa nini watu wanatekwa na kuuawa?
 
Mwizi unataka ajisalimishe kwa mwamposa kusema aliiba spika za mwamposa siku hiyo upako wa mwamposa unaweza kuwa kipako.
 
Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana.

Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.

Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si sawa watu kuandamana kuuliza ni kwa nini watu wanatekwa na kuuawa?
Maandamano ni ya wananchi utekaji ni wa kwao
 
Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana.

Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.

Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si sawa watu kuandamana kuuliza ni kwa nini watu wanatekwa na kuuawa?
Mwenzako Robert Heriel Mtibeli amefungwa siku tano ili Maandamano yasitokee ila wakati watu wanatekwa yeye alikuwa anaongeza resho ya msosi.
 
Kama maandamano yenyewe ndo hayo ya tarehe 29 basi hayana tofauti na utekaji maana vote ni uharifu ulio vuka mipaka.
 
Kilicho tokea tarehe 29 ulikuwa ni uharifu mkubwa na hakuna serikali yeyote ile duniani ambayo ingeuvumilia.
Kwa ivo umeelewa mada lakini? Kabla ya maandamano kulikuwa na utekaji na uuaji. Wewe uliona juhudi za kulaani ?
 
kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.
Hawawezi kupigia kelele utekaji na mauaji kwa kuwa wao ndo wanafanya hayo.

Hata sasa utekaji bado unaendelea kama kawa ila hawaongelei hilo maana ni kazi yao.

 
Kwa hiyo uhai wa watu huna thamani kuliko hizo Mali?
Kama mali sio kitu mbona hamkuchona nyumba za baba zenu na ndugu zenu badala yake mkaenda kuchoma mali ambazo mnajua aziwahusu?
Kama mali ni rahisi kuzipata mbona baba yako hana hizo mali pumbavu.
Hoja hapa sio kipi chenye thamani kuzidi kingine hoja ni kwanini ufanye uharibu na kuiba mali za watu ambao hujawahi kuwasaidia kuzitafuta?

Yaani mtu atumie miaka 30 kusimamisha biashara yake uje umuibie alafu ubwabwaje eti mali haina thamani mbele ya uhai.
 
Wazee kama hakina Kimiti wamenyamaza kimya utekaji
 
Mali zinatafutwa, vp kuhusu uhai?!.
Chawa akili kisoda kama mwenyekt wenu!
Kama mali ni rahisi kuzitafuta mbona ww ulishindwa kuzitafuta badala yake ukaenda kuziiba?
Au kipindi anatafuta hizo mali zingine utakuwa unalisha,unasomesha,unatibu,unavalisha familia yake ?
 
Back
Top Bottom