Kwanini katika vita vyote, ni hii RUSSIA-UKRAINE tu ndio wanajeshi WANAFICHA nyuso zao? Wanaogopa nini?

Kwanini katika vita vyote, ni hii RUSSIA-UKRAINE tu ndio wanajeshi WANAFICHA nyuso zao? Wanaogopa nini?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Asilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao. Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi.

Sababu kubwa ni nini wakuu.

Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa nyuso tu. Je kuna jambo jipya la kujifunza katika hili?

Karibuni wajuvu,
1670774656731.png
1670774805075.png
 
Naipenda SANA AK
Asilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao.
Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi.

Sababu kubwa ni nini wakuu.

Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa nyuso tu. Je kuna jambo jipya la kujifunza katika hili?

karibuni wajuvu,
View attachment 2443260View attachment 2443266
103

Naipenda sana AK 103 daah
 
Simple,, kwanza corona.. huko Ulaya bado wanaiogopa ogopa.
Pili, hizo nchi zilikuwa nchi moja, kuepuka visasi, maana utakuta wanajuana hadi family zao
Hakuna kitu , factor kubwa ni weather, hasa bardi
 
Hakuna kitu , factor kubwa ni weather, hasa bardi

kuna baridi sana inawabidi kufunika vichwa kwa mtindo uo maana ukivaa kikawaida ya kufunika kichwa ni mzigo

Baridi...
... tulihabarishwa humu kwamba huu ndio ule msimu Mrusi alikuwa anausubiri sana ili amalize mchezo maana ni mzoefu wa kupiganisha vita kwenye theluji kama alivyohitimisha WWII msimu wa baridi kali.

Inaaminika warusi kwa asili na dongo lao ni aina ya binadamu ambao miili yao haiathiriwi kabisa na baridi kama walivyo Ukraine na asili nyingine za binadamu duniani.
 
𝒖𝒏𝒂𝒅𝒉𝒊𝒃𝒊𝒕𝒊 𝒑𝒖𝒂, 𝒌𝒘𝒂 𝒉𝒊𝒐 𝒃𝒂𝒍𝒂𝒄𝒍𝒂𝒗𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒐 𝒌𝒘𝒂 𝒉𝒊𝒚𝒐 𝒎𝒊𝒘𝒂𝒏𝒊, 𝒌𝒖𝒆𝒑𝒖𝒌𝒂 𝒉𝒆𝒘𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒇𝒖 𝒏𝒂 𝒗𝒖𝒎𝒃𝒊 𝒍𝒂 𝒎𝒊𝒍𝒊𝒑𝒖𝒌𝒐!!
 
Wanaficha sura kwa sababu hawajui kesho yao itakuwaje

Mfano leo unaweza kuwa mjeda ila kesho ukawa mkimbizi

Sababu kubwa wanaficha utambulisho wao kuepuka visasi na kujulikana sura zao na maadui mbinu za jeshi huwa zinabadilika leo upo front kesho inatakiwa ukafanya hujuma ndani ya aridhi ya adui so lzm ufunike uso

Kuna askari 3 wa Rwanda waliwai kukamatwa tanga sababu kipindi wapo kozi Russia waliwai kupiga picha na kombati zao alafu huku Tz wakaja kama wafanyabiashara
 
Sawa mkuu
 
Wamepiganaji wa urusi wanaficha nyeusi zao ksbb wengi sio wanajeshi wa urusi,wengi ni mamluki na wafungwa. URUSI wameishiwa wanajeshi wameanza kutumia wafungwa. Kuna mfungwa raia wa Zambia mwenye miaka 23 alihukumiwa kwa kosa la madawa ya kulevya. Amefariki mwezi wa 9 kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Zambia imejua mwezi huu. Nafikiri baada ya kuawawa alifichwa.
 
Hii vita inahusisha mamluki toka pembe zote za dunia ndio maana wanafunika sura zao...
 
Back
Top Bottom