matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
103Asilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao.
Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi.
Sababu kubwa ni nini wakuu.
Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa nyuso tu. Je kuna jambo jipya la kujifunza katika hili?
karibuni wajuvu,
View attachment 2443260View attachment 2443266
Naipenda sana AK 103 daahAsilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao.
Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi.
Sababu kubwa ni nini wakuu.
Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa nyuso tu. Je kuna jambo jipya la kujifunza katika hili?
karibuni wajuvu,
View attachment 2443260View attachment 2443266
Wanaogopa sura zao kuonekana wakipigwa picha...Asilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao. Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi.
Sababu kubwa ni nini wakuu.
Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa nyuso tu. Je kuna jambo jipya la kujifunza katika hili?
Karibuni wajuvu,
View attachment 2443260View attachment 2443266
Hakuna kitu , factor kubwa ni weather, hasa bardiSimple,, kwanza corona.. huko Ulaya bado wanaiogopa ogopa.
Pili, hizo nchi zilikuwa nchi moja, kuepuka visasi, maana utakuta wanajuana hadi family zao
Baridi
Hakuna kitu , factor kubwa ni weather, hasa bardi
kuna baridi sana inawabidi kufunika vichwa kwa mtindo uo maana ukivaa kikawaida ya kufunika kichwa ni mzigo
... tulihabarishwa humu kwamba huu ndio ule msimu Mrusi alikuwa anausubiri sana ili amalize mchezo maana ni mzoefu wa kupiganisha vita kwenye theluji kama alivyohitimisha WWII msimu wa baridi kali.Baridi...
Shuleni kwetu zilikuwepoNaipenda SANA AK
103
Naipenda sana AK 103 daah
Sawa mkuuWanaficha sura kwa sababu hawajui kesho yao itakuwaje
Mfano leo unaweza kuwa mjeda ila kesho ukawa mkimbizi
Sababu kubwa wanaficha utambulisho wao kuepuka visasi na kujulikana sura zao na maadui mbinu za jeshi huwa zinabadilika leo upo front kesho inatakiwa ukafanya hujuma ndani ya aridhi ya adui so lzm ufunike uso
Kuna askari 3 wa Rwanda waliwai kukamatwa tanga sababu kipindi wapo kozi Russia waliwai kupiga picha na kombati zao alafu huku Tz wakaja kama wafanyabiashara