Tigo na Voda zasumbua network Majohe,Buyuni,Chanika na Zingiziwa (Wilaya ya Ilala)
AIRTEL,Halotel,Tgo Zasumbua Mwasonga,Pemba mnazi (Wilaya ya Kigamboni)
Nenda Bunju B,Mabwe Pande na line yako ya Tigo, nenda Msumi,Makabe hata Mikocheni kuna maeneo Halotel ni shida.
Aya sasa nenda Arusha:Moshono,Olorien,Kwa Mrefu ,Chekereni uone Tgo inavyo feli...
Kondoa Tigo ndiyo ipo vizuri,zengine zote zafeli.
Mbeya bila voda hautoboi.
Chalinze pande za miono Voda inafeli...
Morogoro pande za Tubuyu, Tigo inafeli...
Itakuwa unaleta ushabiki na kuacha uhalisia...itakuwa una malizia mizunguko yako Posta na Kariakoo mkuu.