Kwanini Kenya wana copy & paste kila kitu kutoka kwetu Tanzania?

Uwe unatumia ubongo
Kuwa na sungusungu haina maana yafanyikayo Kenya
Si lazima na Tanzania yafanyike
MNA KDF nijeshi linalo julikana Duniani kwa WIZI,Unywaji pombe ktk kazi, Halina umoja wala morali wa kijeshi.

Sasa Upumbavu huo wa KDF
Sio lazima uwepo na TPDF
 
Punguza mbege na bange,ina maana gani kujibu comment yangu na ulivojibu uko 'out of topic' kabisaa,si lazima tujibizane,si sifa.Toa maoni yako kuhusu hoja kivyako bila kutag 'comment' yangu.
 
Kitu ninachoipendea Kenya ni kuwa wanawasupport na kuwaendeleza innovators wadogo ila shida IPO kwetu maana kuna vijana wanafanya mambo makubwa lakini wanapoishia hapajulikani...

Labda kwa 50m na kasi ya magufuli wataonekana
 
Kwa taarifa yako KDF ndilo jeshi pekee iliyoweza kuingia sehemu hatari dunia baada ya AMERIKA yenyewe kushindwa.
Remember EAGLE 1 DOWN? Sio movie tu, ni matukio ya ukweli AMERIKA ilipoivamia SOMALIA.
 
Hivi ligi ya wakenya na watanzania nani huwa mshindi?
 
Sisi wote ni wamoja ila siasa ndiyo zimetutenganisha. hata sisi tulikuwa tunatumia maneno toka kwao 'harambee'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…