Kwanini kesi ya Mbowe imejikita kwenye ushahidi wa Mapolisi kukamata kuliko zana na mipango ya ugaidi?

Cha ajabu mbunge wa ccm huko Shinyanga aliyekutwa na silaha zaidi ya 10 yuko nje na hana tuhuma za ugaidi. Kisha kila siku magari ya serikali yanachoma mafuta kwenda mahakamani kulazimisha bastola moja ndio ilikuwa iende kutenda ugaidi!
Wameshabikia sana namba za bastola ili kujua kama Rambo aliwahi kuitumia.
 
Hi kesi ni ngumu sana wasinge poteza pesa za Umma bure, ina vipengere vitatu muhimu ila ha
wajathibitasha hata kimoja
1.indetification the suspect imeshindikana.
2. Indentification of weapons used. nayenyewe bado.
3. Indentification of the victims and location.
Katika sheria huwezi kuhukumu mtu bila kuweka bayana hivyo vitu vitatu, katika ushahidi wameshindwa kuuhusisha Mbowe moja kwa moja, wemeshindwa kutaja viongozi na shelli zizopangwa kulipuliwa..........basitola ambaye imeshindikana kujulikana kwamba ya nani aiwezi kua dhana kubwa kufanyiwa ugaidi.
 
Sasa idadi ya miti iliyopangwa kukatwa wangeweza kuitaja!
 
Na bageni yeye alikuwa anafwata maamuzi ya mkubwa wake ambae n Zombie lkn cha ajbu Zombi aliachwa na Bageni kuhukumiwa kunyongwa hi ndo Tanzania bn

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Nionavyo mimi kuanzia mwanzo hadi mwisho wa kesi hii ya Mbowe kitakachoamua ni hisia na maoni ya Jaji. Kwa habari ya ushahidi ukweli ni kwamba haupo. Tangu kesi inaanza hadi sasa maamuzi mengi yamekuwa yakiegemea maoni ya Jaji na ile Kauli ya Mama Samia ndio umekuwa na utakuwa mwongozo wa Jaji kutoa hukumu.

Hebu fikiri watu wamefikia hatua ya kuiba nyaraka toka kwenye chumba cha mahakama cha kuhifadhia nyaraka lakini wala Jaji hachukui hatua zozote zile. Jaji Kiongozi alipaswa alitolee tamko hili jambo la wizi wa nyaraka za mahakama.
 
Hicho ndio wanauhakika nacho kwakuwa walifika wanaloita eneo la ukamataji, mengine ni mazito kwao kwani maigizo ni kipaji, na sii kila mmoja anacho
Kufika eneo la ukamataji si ushahidi wa kosa, ushahidi wa kosa ni kitendo ulichowakuta wanakifanya mpaka ukaamua kuwakamata.
Yule shahidi aliyewahi kuwa msaidizi wa Sabaya alikuwa muhimu sana upande wa mashitaka kwani yeye alikutana sana na Mbowe, lakini alisema hakuwahi kumuona Mbowe akiashiria au kutenda maovu!
 
Hawezi kwani adhma ya kumfunga Mbowe lazima itimizwe kwa vyovyote vile.
 
Mashahidi wengi kuwa ni poliMbowe na wenzake walikuwa wanafanyia uhalifu kwenye makazi ya polisi ndiyo maana raia hawakuona na hawakuwepo.
 
Mashahidi wengi kuwa ni poliMbowe na wenzake walikuwa wanafanyia uhalifu kwenye makazi ya polisi ndiyo maana raia hawakuona na hawakuwepo.
Hilo nalo neno.
Kwanini polisi hufuga bata kuliko wafugwao uraiani.
 
Ila wange taja hiyo miti iko wapi na wangeisafirisha je paka sehemu ya kufanyia tukio?
Miti iko kando ya barabara, wao ni kuikata na kusimamisha magari ili waweze kuisambaza barabarani huku wenye magari wakiwaangalia tu!
 
Miti iko kando ya barabara, wao ni kuikata na kusimamisha magari ili waweze kuisambaza barabarani huku wenye magari wakiwaangalia tu!
Sawa ila hiyo miti ingekatwa je? Na hiyo basitola ya lisasi tano au?....... hapo bado ushahidi haupo.
 
Je zile pastola na risasi walizokutwa nazo je
 
Nilitegemea mbowe kukutwa na mabomu ,vifaru, makombora[emoji1787]

Eti shilingi laki 600 sawa na tecno camon ikafanye ugaidi wa mass destruction [emoji2][emoji1787]

Polisi na jamhuri wandhani sisi wajinga sana
 
Unanimously, hii siyo kesi ya UGAIDI...

Hii ingekuwa ni kesi ya jinai ya kawaida yenye makosa mawili;.

1. Adamoo kukutwa/kumiliki silaha isivyo halali kisheria [japo mpaka sasa hakuna shahidi aliyekwisha kuthibitisha pasipo shaka kuwa Adamoo ndiye alikutwa na silaha hiyo]

2. Adamoo kukutwa na madawa ya kulevya [lakini cha ajabu kosa hili halimo ktk hati ya mashitaka japo linasemwa sana na karibu kila polisi shahidi]

##Huyu Mbowe, Ling'wenya na Bwire kwa haraka haraka haieleweki wako mahabusu kwa kosa gani hasa...!!

## In short, hao hawastahili kuwa hapo walipo. Waachiwe huru Mara moja ili waendelee na kazi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…