Kwanini kesi ya Mbowe imejikita kwenye ushahidi wa Mapolisi kukamata kuliko zana na mipango ya ugaidi?

Kwanini kesi ya Mbowe imejikita kwenye ushahidi wa Mapolisi kukamata kuliko zana na mipango ya ugaidi?

Tabia ya polisi kubambikia kesi raia wema imejidhihirisha katika kesi ya Mbowe live kabisa
 
Ni Kwa vile Watanzania ni waoga, na kuhoji ni Kesi. Angalia jinsi Speaker alivyopanic..

DPP akishafungua Kesi mahakamani, police igp hawezi kusema fulani ni Gaidi Bila mahakama kudhibitisha

Rais hawezi kusema fulani ni Gaidi Bila mahakama kumkuta na hatia.

Ccm walimkana HAMZA, na ni mfadhili wao, na vitendo alifanya. Hiyo intelligence ya police Iko Wapi?

Mpaka Magaidi wanaingia kibiti, intelligence ilikuwa wapi?

Yaani mpaka Magaidi wafanye tukio ndio mkamate

Ushahidi: ziko wapi powersaw za kukata miti?

Wako wapi watu walioandaliwa kukata miti..
[/QU
Kwa hili hata kijani tunarukana wenyewe kwa wenyewe
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]mission failed
Serikali huwa haishindwi, Jaji atatoa hukuma kwa maelekezo na asiyeridhika akate rufaa kwani iko wazi, huyooo anasepa anawaacheni mkiwa vikundivikundi kila mmoja na neno lake.
 
Bado ninajiuliza idadi kubwa ya mashahidi wa aina moja ni yanini? Unakuwa na mashahidi 20 wote ni wa aina moja, umedhamiria nini?
 
Unanimously, hii siyo kesi ya UGAIDI...

Hii ingekuwa ni kesi ya jinai ya kawaida yenye makosa mawili;.

1. Adamoo kukutwa/kumiliki silaha isivyo halali kisheria [japo mpaka sasa hakuna shahidi aliyekwisha kuthibitisha pasipo shaka kuwa Adamoo ndiye alikutwa na silaha hiyo]

2. Adamoo kukutwa na madawa ya kulevya [lakini cha ajabu kosa hili halimo ktk hati ya mashitaka japo linasemwa sana na karibu kila polisi shahidi]

##Huyu Mbowe, Ling'wenya na Bwire kwa haraka haraka haieleweki wako mahabusu kwa kosa gani hasa...!!

## In short, hao hawastahili kuwa hapo walipo. Waachiwe huru Mara moja ili waendelee na kazi zao
Labda wanaogopa wakiwaachia wanaccm wenye hasira kali watawadhuru.
 
Vitu vingine ukivifatilia inaumiza unaona kabisa hapa ndio uwezo wetu wa kufikiri ulipoishia ni mbaya sana kwa kweli..tena Jaji anakuja na vifungu kabisa kwa vitu vya hovyo hovyo watu wa mbege na magaidi wapi na wapi...anaetuhumu Polisi shahidi polisi anaehukumu Jaji hapo hapo kesi ya Nyani kuliwa na Fisi hakimu Fisi na shahidi Fisi...
 
Hii kesi inadhihirisha maneno ya Waziri wa mambo ya ndani kuwa huwa wanawachukua wasio na akili.
 
Mimi nasubiri tu siku ambayo Afande Zirro atapandishwa kizimbani na Kibatala kutoa ushahidi.
 
Tangu kesi ya Mbowe ianze ilielezea kidogo sana matukio ya Moshi ambako ndiko tulitegemea milango ilifanyika, sana tulichoshuhudia mbege party, manunuzi ya vocha za simu na safari za hapa na pale.

Wengi walitegemea hatua ya mwanzo wangeona zana za kutendea ugaidi kama vifaa vya kushambulia vituo vya mafuta, masoko, madaraja na si nyamachoma na mo eneji.

Hivi sasa kila shahidi upande wa mashitaka anaelezea matukio ya Dar baada ya ukamataji na si kisa cha ukamataji! Ni nini maana ya hii.

Mimi naona hapa kinachoendelea ni nani anajua kuongea zaidi ya mwenzake, na nani ameweka kumbukumbu ya alichofundishwa kuongea zaidi ya mwenzake

Sijui Jaji anayetakiwa achukue uamuzi atajikita kwenye ushahidi gani unaohusu vitendea kazi ya ugaidi, maneno au zana?

Tuone shahidi wa leo atatokea kwenye vikao vya Moshi au polisi wa Dar?
Labda mbele ya safari watajitokeza wajuzi zaidi ya hawa kamata na hoji.
 
Police na DPP wamefungua mashtaka ya kuhisi - yaani walihisi kina Mbowe wanakwenda kulipua vituo vya mafuta visivyojulikana, kupanga maandamano yasiyojulikana, kukata magogo na kuyalaza barabarani, barabara zipi haijulikani - ushahidi wa moja kwa moja wa namna mipango ilivyopangwa kufanyika haupo, tarehe na wahusika kamili hakuna, ni kuhisi kama vile wapiga ramli.

Kwa ushahidi huu yaani tunaishia kunywa Mbege tu pale Rau Madukamani kwa Mama Pendo.
Mhisiwa kulipia vituo vya mafuta kesi ina muda inaendelea. Mhusika na wizi wa mafuta ya mabilioni kigamboni alihukumiwa kifungo miaka 2 au faini sh 100,000,000 milioni mia moja. Alikupa akarudi kuendelea na biashara zake.
 
Yule mwehu mbambikaji kesi na mkuu wa watekaji Siro kazi imemshinda, alikula pesa za kununua mashahidi kaishia na wauza mbege na makarani wa tigo wasiojua majina yao, chifu Hangaya lazima amle kichwa yule katia aibu sana
 
Back
Top Bottom